Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Leonida Swai, mama aliyekusanya walemavu 38 kwenye ‘guest house’ yake Tandale

Kwani kwao walikuwa hawali na kuishi?Kwa hyo kwa ajili sanalishwa na kuishi ndio watembezwe barabarani?wewe angekuwa mtoto wako ni mlemavu ungekubali atembezwe barabarani kuombaomba?
Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?
 
Huyo mama ni tabia yake tu mbovu ila hawezi kureflect tabia za kabila zima. Tabia ya mtu hutokana na makuzi na vinasaba alivyorith kwa wazazi wake.
Nikweli Mimi hua napinga mambo ya kugeneralize ...But Mambo ya hiki kabila nayasikia Tangu napata ufahamu wa Akili.

Ila niwe muwazi sijakutana na mtu wa Hilo kabila akanifanyia Ubaya hata mmoja.
.
 
Nimeshangaa sana Na kubaki mdomo wazi;
1. Watanzania tunaroho za kikatili hadi tunafikia kuwatumikisha walemavu?!!

2. Serikali ZA mitaa, wilaya, mkoa Na hata mbunge wa eneo husika walikuwa wapi hadi biashara hii haramu ikaota mizizi na kustawi?!!!!

Tafadhali ndugu zangu viongozi na wananchi wapenda amani tusifumbie macho uovu wa aina hii na mwingine.
Naomba hao walio husika wachukuliwe hatua kali ZA kisheria ili iwe funzo Kwa wengine
Just because you don't eat lion doesn't mean lion won't eat you....
.
 
Kama mtu mzima anaweza kuwatumikisha binaadamu wenzake bila huruma tena walemavu wa viungo...,,,huyo mtu anaweza kutenda dhambi yoyote bila uoga wala kujali. Wanaweza kujihusisha Na jambo lolote lile ilimradi wapate fedha!!! Hawa watu ni hatari sana ktk jamii
Shangaa ya Musa...Ndo maana Kama Wewe umeamua kuishi maisha Fulani...Wewe ishi hayo maisha...

Wengine watachukua advantage ya hayo maisha yako..wengine watakukejeli..but simamia msimamo wako.

Haya wafanyayo Watu...Mungu tu ndo ajuae mwisho wao..
 
Yaan mama katoka kula sikukuu moshi ana rudi mjini daslaam ana kutana na kisanga 😆😆😆😆 pilau lote la moshi atalitapika
 
Mkuu tusiwalaumu wachaga kwa kutafuta pesa kwa nguvu zote ,

Tuwalaumu wale wazee wao wa kimila huko Moshi ,,,,, wanaowapiga makofi na kuwaadhibu wachaga wote wazembe , wanaoshindwa kuonyesha mafanikio yeyote waliyoyapata huko mjini wanakotafuta pesa,, tangu walipoondoka huko kijijini december msimu wa xmass ya mwaka uliopita.
Haya ndio matokeo yake sasa
 
"Sisi ni next level, serikali imejaribu kutupoteza imeshindwa. Siku hizi Tunamiliki viwanda pia tunafanya Consultancy kubwa kubwa".
Pamoja na kutumia walemavu kukusanya mapato
 
Back
Top Bottom