Hiyo million ni mengineyo. Emergiences n.khiyo million moja iliyobaki umeiweka wapi?maana Kama anatumia milioni moja kuwalisha, na million moja nyingine kwa huduma za maji nk. Basi faida ni million 7 badala ya 6. I stand to be corrected
NakaziaHakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana
Wachaga mwisho wa reli..
Mangi katumia fursa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wachaga Punguzeni tamaa ya pesa, tangulizeni utu
Ogopa sana mafanikio ya watu wawili
1. Mchaga
2. Muhindi
Hao watu janja janja sana
Hakuna kabila la washamba hapa Tanzania kama wachaga. Halafu ni wezi kwelikweli unapokaa na mchaga kuwa makini sana
Mwenyekiti aliwachangisha wenzake hela ya uchaguzi kwa miaka 5, mwisho wa siku akawaambia hakuna hata thumni...KWELI, MJINI SHULEWachagga nawaogopaga kama UKOMA!
NdioWe we una utu kwenye pesa?
ilitakiwa kuwepo kwenye bandiko lako, vinginevyo ni ubatili tu.Hiyo million ni mengineyo. Emergiences n.k
Wagogo wana ng'ombeKama wachaga watakuwa wanataabika ivi sijui wenzangu wagogo watakuwa katika hali gani
Unadhani hao 38 kila mtu anaishi chumba chake? Hapo labda kawapa vyumba vitatu tu. Wanaume, wanawake na watoto.Tumia akili dogo. Wanaishi bure wanakula bure. Unadhani angeamua kuifanya hiyo guest yake biashara ya Lodge angeingiza laki ngapi kwa siku?