Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wasiojulikana inatumika sana kisiasa na akili zangu haziendeshwi kisiasa bali ushahidi.Tanzania is a prison this time around!
Kama wewe huoni tatizo heri yako ndugu yangu!
Kama kuna utawala tumeuweka madarakani utulinde na kusimamia kila kitu,then mambo mabaya yanatokea consistently ndani ya nchi,then ni state sponsored,aidha directly which is true au by their sheer neglect kutimiza mandate tuliyowapa!
Tanzania at the moment declared under totalitarian dictatorship,hii huwezi kubisha!
Sometimes uwe honest!
We kweli ni fisi, kama ambavo username yako inaonyesha..Hao ni CHADEMA tu kwanza wanataka kuharibu hata mradi mkubwa wa UMEME wa stigla goji. Lazima nimlinde Mheshimiwa Rais. Hii atasema tu Bwana Msiba
Wasiojulikana inatumika sana kisiasa na akili zangu haziendeshwi kisiasa bali ushahidi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wangemteka Musiba na Bashite tusikie tafrani yake itakuwaje?!
Wizara ya fedha ndio BOT? Tuache kuzusha zusha. Tueleze ukweli ili kila kitu kiwe bayana. haya mambo ya kuhisi, yanaweza kutotoa ukweli mzima wa kwanini yeye na sio boss wake.Hapa lazima kuna jambo linafukuta chini kwa chini. Ni kwanini atekwe wakati huu wa kuelekea uchaguzi....muda ambao pesa nyingi huchotwa ovyo kutoka BoT na kuelekezwa kwenye siasa? Kagoma kutoa fedha au nini? Yajayo yanasikitisha.
Wakimaliza kututeka watatekana wenyewe kwa wenyewe.Wangemteka Musiba na Bashite tusikie tafrani yake itakuwaje?!
Hahaha, best umejuaje familia yake ni masikini?!
Awamu hii kama una mishe zako zinazokuingizia kipato ni vyema ukatulia, Mambo ya kujiingiza katika siasa mwisho wake ndio kama huu...
Kama huwezi kuisifia ni vyema ukaacha kujihusisha na siasa...
Apumzike kwa amani.
Ina sound!Wanawatisha watu wanaoikosoa serikali. Wakishindwa kukuteka, wanakuua.
Dah! basi tutegemee...kujiua na kujiteka wengi sana... maana awamu hii ... ....ni zaidi ya wengi wenye mayatizo ya kifamilia!huyu jamaa alikua na matatizo yakifamilia..nimeamini mengi yanatungwa humu
Kabisa...
Ihembe tutamkumbuka sana!R.I.P Eng LL.
Isman, Kilos, Mufind, Songe, Ihemb, Mbing nk na TZ nzima tutakukumbuka.