Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Usichojua wewe ndio utaumia kuliko , wapumbavu mnajua sana kujipiga madole tena ya kati 🤮👎Naomba nchi hii irudi mikononi mwa mwamba mwanaume km Museveni, huku kubembelezani ni kwasababu ya mwanamke kuwa mkuu wa nchi! Hili gazeti ni la kufuta moja kwa moja, hivi China, Russia, North Korea unaweza kufanya huo usenge? Tunq serikali dhaifu sana!
KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6)
Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa miezi sita (6) kuanzia tarehe 19 Agosti, 2026 kutokana na kukiuka sharti la 3 katika Leseni ya machapisho linalovitaka vyombo vya habari kuzingatia Sheria ya Huduma za Habari (Sura 229) na Kanuni zake (2017).
Gazeti hili lilitenda kosa hilo kwa kuchapisha kwenye kurasa ya 1, 2, na 3 katika toleo namba 571 la tarehe 6 - 12 Agosti, 2026, maudhui yaliyobebwa na kichwa cha habari kilichosomeka "Nchimbi agoma kujiuzulu" pasipo kutimiza wajibu wa kuzingatia usahihi na mizania kabla ya kuchapisha na kusambaza habari kwa umma.
Mkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za 'uongo' na 'uzushi' wa kulisha watu maneno!.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi wake, kuchonganisha chama chake na wananchi, kutoa kauli zinazozusha taharuki kwa jamii na kuondosha umoja serikalini.
Chanzo: Mwanahalisi.
Nani anaamua ni habari za uwongo na uzushi? CCM ni zaidi ya comedyMkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za uongo na uzushi wa kulisha watu maneno!.
Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ni taarifa ya umbea na uzishi.
P
Sasa hizo nchi si ni walewale tu kidumu chamaNaomba nchi hii irudi mikononi mwa mwamba mwanaume km Museveni, huku kubembelezani ni kwasababu ya mwanamke kuwa mkuu wa nchi! Hili gazeti ni la kufuta moja kwa moja, hivi China, Russia, North Korea unaweza kufanya huo usenge? Tunq serikali dhaifu sana!
Habari ya rais mwanamke imekujaje hapa. kila nchi inataratibu zakeNaomba nchi hii irudi mikononi mwa mwamba mwanaume km Museveni, huku kubembelezani ni kwasababu ya mwanamke kuwa mkuu wa nchi! Hili gazeti ni la kufuta moja kwa moja, hivi China, Russia, North Korea unaweza kufanya huo usenge? Tunq serikali dhaifu sana!
Wawafungulie sasa na walipwe fidiaDuh noma na imekuwa kweli
mfungulie gazeti sasa kashajiuzuluMkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za uongo na uzushi wa kulisha watu maneno!.
Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ni taarifa ya umbea na uzishi.
P
Unadhani nchi ikiwa kama China au Russia/Korea machawa mtapata nafasi ya kujikomba?na hiyo ndio ndoto ya kila Mtanzania maana mafisadi watanyooka na ndio maana Magufuli alipendwa maana alikuwa anaelekea kwenye mifumo hiyo.Naomba nchi hii irudi mikononi mwa mwamba mwanaume km Museveni, huku kubembelezani ni kwasababu ya mwanamke kuwa mkuu wa nchi! Hili gazeti ni la kufuta moja kwa moja, hivi China, Russia, North Korea unaweza kufanya huo usenge? Tunq serikali dhaifu sana!
Rudi hapa mkuu.Mkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za 'uongo' na 'uzushi' wa kulisha watu maneno!.
Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, ya mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ya gazeti hili , itachukuliwa kuwa ni taarifa ya uongo, umbea na uzishi!
P
Nunua gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, unisome kwenye safu yangu!.Rudi hapa mkuu.