Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

Hiki kiatu kama kimekutosha ww kivae tu hamna namnaa
 
Nitajie hyo biashara isiokua nanchangamoto nami nikuoneshe mtu aliefanikiwa kwa kuzikimbia changamoto
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Wakati ww unaiita laana wenzio imetusomesha, imewasaidia wazaz wetu kujenga na wazaz wetu wanashukuru kwa kuwepo mikopo....endelea kukaza fuvu na kamfano kako kamoja cjui ka mjane, dua la kuku halimpati mwewe wapo waliouziwa nyumba zao na benk licha ya kua hawakua watoa mikopo think wise.
 
Hahahha ivi mkuu mbna bank hazilogwiii tukachukue huko siri nin
 
Mbinguni haendi[emoji848][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alimuua kabisa mkopeshaji kwa uchawi
 
Mtu anapotoa hoja jifunze kushambulia hoja na sio kumshambulia mtoa hoja
Hali ilivyo ni kwamba unaposhambulia hoja na mtoa hoja automatically anaingia kwa ndani....
Kwaiyo inakuwa kama vile msumeno ukipeleka mbele unakata na kinyume chake Natanguliza samahani kama kutakuwa na ukakasi.
 
Hiki kiatu kama kimekutosha ww kivae tu hamna namnaa
Nilichogundua, najibizana na mtoto mdogo aliyepata milioni zake 5 za urithi, halafu kutokana na ufinyu wake wa uelewa kuhusu hela; basi anaona kwake ni hela nyingi ya kumuwezesha kukopesha watu kwa riba!!

Eti utakaa ofisini, halafu kama mtu anataka kukopa laki 1, basi aje na kitu chenye thamani ya laki 2!! Kwanza hao watu wenyewe wa kukufuata ofisini utawapata wapi?

Wenzako waliofanikiwa kwenye hiyo biashara wanaajiri maafisa mikopo wa kutafuta wateja, na pia kusimamia zoezi zima la mikopo na marejesho yake! Sasa wewe unapanga eti kuwasubiri waje ofisini kwako! Wewe umeshafeli tayari kabla hata ya kuanza hiyo biashara yenyewe.
 
Nitajie hyo biashara isiokua nanchangamoto nami nikuoneshe mtu aliefanikiwa kwa kuzikimbia changamoto
Wewe biashara inayokufaa kwa huo mtaji, ni ile ya kuingiza nyimbo na muvi tu kwenye simu. Hiyo biashara ya kukopesha, waachie wale waliojipanga na pia wenye pesa zao.
 
Nimefanya hii Kazi ndani ya miaka 4 nimegombana na Kila MTU ,maana unaona kabisa MTU anakudhurumu Kwa maneno maneno wakati alichukua pesa ...uzuri mwenyewe nilikuwa katili kweli kweli ,mim Bora urafiki ufe ila pesa yangu ilrudi ....

Mambo ya kurogwa mim hayapo kichwani linapokuja swala la pesa Kwa sababu nakuwa nishakuwa mnyama ,mnyama hata ukimroga halogeki ....
 
Na ndo kinachotakiwa kwenye biashara mambo yakutishana uchawi yapo kila kona

Mfano
Mtu anakwambia biashara ya nyumba za kupangisha n changamoto maana mteja anaweza kukuloga kisa unamdai kodii
 
mkuu hakuna leseni ya mikopo midogo midogo , Kuna leseni yakukopesha ambayo generally nakupa breakdown ya face cost , ambayoninaweza kuwa zaid au chini ya lakini ni around hapo , na hapo jua nimeinclude service charges
1. brela registration
business name 50k
company 550k
2. tra /tax clearance 300k-500k
3. bot permit 1.2m-1.5m
4. brela , leseni yenye sura ya kitaifa hii 600k

ko hapo mkuu ukiangalia kwa kigezo cHa 20m capital almost 15%-20% ya huo mtaji utaitumia kwa registration issues na office
I stand to be corrected
 
Ahsante kwa mchango wako yakinifu nmekuelewa vizur mkuu

Kukuhusu kukusahihisha sina la kukusahihisha maana mm sielew hayo mambo, ndo maana nimeanzisha huu uzi ili nipate majibu may be tuwangoj hao wengine.
 
Siyo kuloga tu anaingia mitini mimi nimezifuatilia biashara tofautofauti za kukopesha riba yao ni kubwa wateja wenye akili zao hawarudi tena kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…