Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kitambulisho.JPG

962E353C-EB1E-458B-AA24-2F60EA73DB41.jpeg

11194B01-D5DA-4275-AF25-E2A71385B068.jpeg
 
Ingekuwa popote ingekuwa safi
Hilo ni gumu sana kwa sababu idadi ya karatasi za kupigia kura zinapelekwa sawa na idadi ya waliojiandikisha. Ingekuwa ruhusa mpiga kura kupiga kura kwenye kituo chochote how could NEC predict kituo fulani watajitokeza idadi fulani ya wapiga kura ili wapeleke karasi kwa idadi hiyo?

Kwa hili naungana na NEC; haiwezekani hadi hapo itakapokuwa kwa njia ya mtandao angalau hilo litawezekana ila sio kwa utaratibu wa sasa wa makaratasi ambayo hupelekwa kwa idadi maalum.
 
Wangetoa hata ruhusa hiz siku zilizobaki kuna watu tulijiandikisha mkoa fulani kwasababu za kiutafutaji tuko mkoa mwingine tungeweza hata kuhakikiwa tumchague raisi tu. Ni idadi kubwa sana ya watu ambao kiukweli tutakosa kupiga kura kwasababu hii.
 
Naamini hata kadi yangu ya CCM ni kitambulisho mbadala
 
Hahaha NEC au Neck hawajamaliza kusikiliza rufaa zetu?!
 
Back
Top Bottom