Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Asanteni Nec kwa hili la vitambulisho mbadala, bado sijawaelewa vigezo kukiuka katiba kuengia wagombea, sifa kuu mgunge na diwani ni kusoma na kuandika Kiswahili kulikoni!?
 
Wangetoa hata ruhusa hiz siku zilizobaki kuna watu tulijiandikisha mkoa fulani kwasababu za kiutafutaji tuko mkoa mwingine tungeweza hata kuhakikiwa tumchague raisi tu. Ni idadi kubwa sana ya watu ambao kiukweli tutakosa kupiga kura kwasababu hii.
Chadema wengi hawakuboresha taarifa zao Sasa wanahaha kutafuta watapigaje kura angalau ya rais tuu maana maeneo mengi hawana wagombea ubunge.
 
7077B4C6-5F6A-4D84-BBF7-BBC73294BF69.jpeg

8F17A162-869F-4C04-BADD-F3E067C3C9A8.jpeg
 
Wale walionunua shahada za kupigia kura za wanyonge ili wasipige kura imekula kwao

Serikali ya Rais Magufuli kupitia Tume ya Uchaguzi imebariki wapige kura kwa vitambulisho mbadala

Mitano tena
 
Wakuu hapa hakuna harufu ya kura kuchakachuliwa? kwasababu leseni ya udereva na kitambulisho cha nida vipo kwenye
system ya serikali pengine wakatumia mwanya huo kujiongezea kura.
 
I won't work well to the opposition side.

So now wapigakura sio 29milion tena?

That means tegemeeani unsual vote counts.

Kama Dar iliandikwa 3m voters on that book so now itakua 5m as well as other regions.

Actual votes for candidate A in region X will be flipped on air to A+frauds then up to NEC center.

Deadly.
 
Kuna mchezo unataka kuchezwa ila dawa nikupiga kura za kimbunga yaani mtu anaachwa gepu hata la kura milion 5

Wenye leseni na vitambulisho vya nida Ni wachache Sana hawafiki hata milio 10.

Na Dawa ya kuwadhibiti ni wale wote wenye nida na reseni tutatumia leseni na kuacha vitambulisho vya kura nyumbani....

Ili kukwepa mtego wa vitambulisho vyetu kutumika Mara mbili kwenye wizi....

Naamini tutashinda maana hakuna watu wenye nida na leseni watampigia kura Jiwe Kama wapo ni wachache maana wengi ni wahanga wa utawala huu...

Dawa hapa ni kupiga kura kwa mafuriko na kimbunga .
 
Kuna mchezo unataka kuchezwa ila dawa nikupiga kura za kimbunga yaani mtu anaachwa gepu hata la kura milion 5

Wenye leseni na vitambulisho vya nida Ni wachache Sana hawafiki hata milio 10.
I don't think Mzee, wata flip votes

Kama mgombea amezidiwa Jimbo A, NEC wataflip Kwa kisingizio cha NIDA na licence. Pona ya opposition hapa ni results form Tu.
 
Wale walionunua shahada za kupigia kura za wanyonge ili wasipige kura imekula kwao

Serikali ya Rais Magufuli kupitia Tume ya Uchaguzi imebariki wapige kura kwa vitambulisho mbadala

Mitano tena

Na kweli walipita wakiandikisha na kutaka kujua kama una kadi ya CCM. Labda iwe kuwa kama hukuwa na kitambulisho cha mpiga kura, jina likosekane kwenye daftari! Lakini hili litanufaisha wachache, si wengi wana pasi ya kusafiria na si wengi ni madereva! Hapa kuna figisu!!
 
Kweli tunaoishi kwenye shithole country tuna matatizo makubwa na wachangiaji wa mada hii wameona mwanga wa elimu lakini kama alivyosema mzee mmoja kuhusu wasomi wa Tanzania bado ni mabwege!kura inatakiwa ipigwe kwa kutumia IDs tu na sio vinginevyo na hadi leo Watanzania hatuna !tunahitaji IDs zinazozungumza na system's zote za nchi kuanzia polisi, hospitals, mabenki, maduka ya ukopeshaji, uombaji wa passport etc etc,unapopiga kura ID number yako inakuwa recorded na hii itakuzuia kupiga kura zaidi ya mara mbili, hadi hapo nchi itakapokuwa na IDs zinazozungumza tutakuwa tumejikomboa but for now nchi ni choo,unaingia na kutoka kama choo na hakuna anayeuliza.
 
Naamini hata kadi yangu ya CCM ni kitambulisho mbadala

Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Chadema wengi hawakuboresha taarifa zao Sasa wanahaha kutafuta watapigaje kura angalau ya rais tuu maana maeneo mengi hawana wagombea ubunge.
It's true
Chadema wengi hawakuboresha taarifa zao Sasa wanahaha kutafuta watapigaje kura angalau ya rais tuu maana maeneo mengi hawana wagombea ubunge.
Sidhani km kuna mtu ambae hajajiandikisha kwenye daftari la kupiga kura leo akurupuke tu from no where akataka kupiga kura kwa ulazima. Je ni watanzania wangapi ambao kazi zao haiwalazimu kuwepo sehem moja?
 
Kwani hawa NEC hawatunzi taarifa kielectronic ili kila mwananchi aliyejiandikisha kupiga kura akatumia haki hiyo.

NEC imekuwa na sheria zinazovunja katiba ya nchi kwa kudhurumu haki zetu za msingi za kuchagua viongozi.

Tumekuwa ni taifa lisiloelewa umuhimu wa teknolojia na kutusaidia kurahisisha upigaji kura.
 
Back
Top Bottom