Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Goli lamkono litapigiwa hapa

Zitaingizwa kura kibao ambazo huwezi jua ziloitokea wapi

Hii move ilitakiwa isiwe ua kushtukiza zikiwa zimebaki siku 9 kupiga kura
 
Hapo ndio mawakala inabidi wakae mkao wa uhakika. Kwa vyovyote hapa kutatumika mbinu chafu. Ifahamike idadi ya wapiga ya 29m+, idadi ambayo ni kubwa kuliko watu wazima wote.
 
NEC bado mmelala Sana. Kura ilibidi zipigwe kielekroniki.
NEC are
Kweli tunaoishi kwenye shithole country tuna matatizo makubwa na wachangiaji wa mada hii wameona mwanga wa elimu lakini kama alivyosema mzee mmoja kuhusu wasomi wa Tanzania bado ni mabwege!...
Wasomi wetu wakipewa dhamana wanajitoa ufahamu 'they become figurehead'
 
Hapo ndio mawakala inabidi wakae mkao wa uhakika. Kwa vyovyote hapa kutatumika mbinu chafu. Ifahamike idadi ya wapiga ya 29m+, idadi ambayo ni kubwa kuliko watu wazima wote.
Hapa wamenishawishi kulinda kura. Pia ukiwa na wasiwasi na mtu lazima kuhakiki Picha yake, mawakala lazima wahakiki vituo ili vituo hewa vijulikane na kukiwa vituo hewa hapo in kubariki vitasa.
 
Hapo ndio mawakala inabidi wakae mkao wa uhakika. Kwa vyovyote hapa kutatumika mbinu chafu. Ifahamike idadi ya wapiga ya 29m+, idadi ambayo ni kubwa kuliko watu wazima wote.
Yaan hata mtu mmoja anaweza kupiga kura Mara kumi
 
Nini maana ya kuboresha daftari la wapiga kura baadae vinatumika 'national ID'S and others'
 
NEC bado mmelala Sana. Kura ilibidi zipigwe kielekroniki.
Mkuu hawawezi kukubali maana CCM yao inaondoka madarakani wakat wao kila kukicha wanawaza ni nini wafanye ili ccm uendelee kutawara milele we nenda kapige kura kwa Lissu hawataziiba maana zitakuwa nyingi mno watz tumechoka kuwa wakimbizi kweny nchi yetu.
 
Kuna mchezo unataka kuchezwa ila dawa nikupiga kura za kimbunga yaani mtu anaachwa gepu hata la kura milion 5

Wenye leseni na vitambulisho vya nida Ni wachache Sana hawafiki hata milio 10.

Na Dawa ya kuwadhibiti ni wale wote wenye nida na reseni tutatumia leseni na kuacha vitambulisho vya kura nyumbani....

Ili kukwepa mtego wa vitambulisho vyetu kutumika Mara mbili kwenye wizi....

Naamini tutashinda maana hakuna watu wenye nida na leseni watampigia kura Jiwe Kama wapo ni wachache maana wengi ni wahanga wa utawala huu...

Dawa hapa ni kupiga kura kwa mafuriko na kimbunga .
Sawa kabisaa mkuu mwaka huu tume wataona aibu kwa wingi wa kura za Lissu
 
Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
Si ujiunge ccm na wewe ule mema ya nchi
 
Una ushahidi gani kuwa CHADEMA hawakuboresha taarifa zao? Yaani kuna mijitu haina akili hadi kero.
Chadema wengi hawakuboresha taarifa zao Sasa wanahaha kutafuta watapigaje kura angalau ya rais tuu maana maeneo mengi hawana wagombea ubunge.
 
Nini maana ya kuboresha daftari la wapiga kura baadae vinatumika 'national ID'S and others'
Vitambulisho vingine kama national ID HAVIONDOI ULAZIMA kwamba lazima uwe umesajiliwa kama mpiga kura, ILA kwa sababu moja au ingine, hutakuwa na kitambulisho cha mpiga kura eg umepoteza wakati wa kupiga kura utakapofika.

Kwa maana hii, msimamizi wa kituo analazimika kuhakiki usajili wako katika daftari la wapiga kura na kuhakiki majina yote yapo SAWA na kitambulisho ambacho umekuja nacho, mfano cha taifa, au leseni ya udereva, etc, kabla ya kukuruhusu kupiga kura.

Hii ni kuwapa fursa ambao wamepoteza vitambulisho vya kupiga kura waweze kupiga kura. Ni hatua nzuri sana tu.
 
Hebu fikiria scenario hii

Mtu ana vitambulisho vinne, cha mpiga kura, leseni, passport n. k

Kisha vinaandaliwa vituo hewa vitatu ambavyo kila kituo kina jina la mtu huyohuyo. Maana yake anakwenda kituo cha kwanza anapiga kwa kutumia passport, anatoka hapo anakwenda kingine anapiga kwa kutumia leseni, anatoka hapo anakwenda kingine anapiga kwa kutumia kitambulisho cha NI
Vitambulisho vingine kama national ID HAVIONDOI ULAZIMA kwamba lazima uwe umesajiliwa kama mpiga kura, ILA kwa sababu moja au ingine, hutakuwa na kitambulisho cha mpiga kura eg umepoteza wakati wa kupiga kura utakapofika.

Kwa maana hii, msimamizi wa kituo analazimika kuhakiki usajili wako katika daftari la wapiga kura na kuhakiki majina yote yapo SAWA na kitambulisho ambacho umekuja nacho, mfano cha taifa, au leseni ya udereva, etc, kabla ya kukuruhusu kupiga kura.
vikiwekwa vituo kadhaa vya wapiga kura hewa, mtu mmoja mwenye vitambulisho vinne anaweza kupiga kura nne kwenye vituo tofauti tofauti na vyote vikapata justification
 
Hii ni kuwapa fursa ambao wamepoteza vitambulisho vya kupiga kura waweze kupiga kura, ambalo ni wazo zuri sana tu.
Lakini mawakala wa vyama lazima wahakiki vituo vya kupigia kura wasikae kwenye vituo km mabua
 
Hebu fikiria scenario hii

Mtu ana vitambulisho vinne, cha mpiga kura, leseni, passport n. k

Kisha vinaandaliwa vituo hewa vitatu ambavyo kila kituo kina jina la mtu huyohuyo. Maana yake anakwenda kituo cha kwanza anapiga kwa kutumia passport, anatoka hapo anakwenda kingine anapiga kwa kutumia leseni, anatoka hapo anakwenda kingine anapiga kwa kutumia kitambulisho cha NI

vikiwekwa vituo kadhaa vya wapiga kura hewa, mtu mmoja mwenye vitambulisho vinne anaweza kupiga kura nne kwenye vituo tofauti tofauti na vyote vikapata justification
Mawakala ni wajibu wao kukagua na kuhakiki vituo vya kupigia kura
 
Back
Top Bottom