Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

Huyu Lissu anacheleweshwa sana kupatiwa haki ya hati ya matokea. Ungewekwa utaratibu wa kuanza kupiga kwa simu. Serikali sikivu na inayotenda haki. Imewatendea haki raia wake waliopoteza viparata vya tume ya uchaguzi. Wangeongeza na kiparata cha machinga maana kina barcodes ingependeza sana.
 
Hapa kuna harufu ya utapeli wa kuongeza mamluki wasiokua wamejiandikisha. CCM inatafuta bao la mkono.
Hamna utapeli hii ni fursa kwa watu waliopoteza vitambulisho lakini wapo katika orodha ya wapiga kura katika jimbo husika.
Sio wewe umejiandikisha ubungo alafu umepoteza kadi ya kupiga kura eti uende kupiga kura jimbo la Ilala, hapana.
 
NEC IPO kuhakikisha Jiwe anabaki. Hakuna lolote linalofanyika Kwa Nia nzuri.Nape alichosema na Polepole hakuna tofauti na yanayotokea.
 
Safi sana NEC mnachoma kila kichaka ambacho wazee wa krolokwini iliyopakwa sukari wangejificha na kuuhadaa ulimwengu kuhusu kushindwa kwao vibaya
 
Baada ya uchaguzi na mkang'amua ili jambo ni tobo la kupitia msije mkalalamika kuwa ndo njia mliyopigwa.

"CCM ndo mabingwa wa karne nyingi zijazo"
 
"Tushasukuma sana milango iliyoandikwa vuta"
Sikia bosi wako mwenyewe amesema Leo watanzania tufanye mabadiliko
IMG_20201019_222544.jpeg
 
Nilimaanisha kura zipigwe kidijiti
Na technology ilivyokua sasa ivi, hofu ya watu wabaya kuingilia mfumo inakua rahisi, siunasikia ata uko duniani mataifa makubwa yanashutumiana nchi moja kuingilia chaguzi ya nchi nyingine.
 
Na technology ilivyokua sasa ivi, hofu ya watu wabaya kuingilia mfumo inakua rahisi, siunasikia ata uko duniani mataifa makubwa yanashutumiana nchi moja kuingilia chaguzi ya nchi nyingine.
Tumchague shetani aliye nafuu kwetu. Maana hata kwenye huu mfumo wetu wamakaratasi shutuma za wizi wa kura ziko lukuki.
 
Hapa kuna harufu ya utapeli wa kuongeza mamluki wasiokua wamejiandikisha. CCM inatafuta bao la mkono.
Wana uhakika gani watawapigia kura? Bado ni tight, this time kuna uwezekano wa kura kuibiwa in favor of TAL
 
Wapinzani tusikubali hata siku moja NEC hawawezi kuwa na Nia njema na vyama vya Upinzani kwenye suala la upigaji kura.

Hapa inatafutwa njia ya kuingiza kura zilizokwisha pogwa Tayari na kuhalalisha kura za wizi ambazo Sasa hivi zimeshachapishwa mahala fulani.

Tazama Mataga wanavyoshangilia goli la mkono.
 
Back
Top Bottom