Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

Leseni ya umiliki silaha Vs Leseni ya udereva ipi imeleta madhara zaidi?

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
Sina takwimu kamili

Issue ya umiliki wa silaha imeleta fikra/ hisia/ mawazo mengi kwa Watanzania hasa baada ya taarifa za wiki iliyoisha(weekend).

Kikubwa nimejifunza
Wengi wanalaani umilikishwaji wa silaha kwa watu.(kiholela)
Ingawa process ni ndefu.

Wanakemea na kuiomba serikali Au taasisi husika kuweka sheria ngumu zaidi.

Mimi Niko tofauti kimtazamo.

Sijamiliki silaha.
Ninamiliki leseni ya udereva.

my point is..

Takwimu ya mauaji ya kutumia silaha ni ndogo kulinganisha na ajali za barabarani kwa watu waliomilikishwa leseni kiholela(najua hili wengine watakataa lakini ukweli mnaujua).

Katika watu 10 anaweza kua mmoja Au wawili wanamiliki silaha, lakini 9 wakawa na leseni. Ambayo ilipatikana kwa njia za kishkaji.

Mwenye leseni anabeba watu zaidi ya 50(bus) or less that 20.

Hana ujuzi
Hakuna aliye kwanini sheria za kutoa leseni sizikazwe.

Mfano mimi nilipata leseni kwenye mazingira ambayo kiukweli naamini wengi sana Tanzania wamepata namna iyo.

Kwa mitazamo ya wengi mpaka nimewaza Basi na petroli iwekewe vikwazo ili watu wasichomwe..(mfano tu)
 
Hakuna uwiano, wa uwingi kati yaleseni za magari, na ya kumiliki silaha.
 
Nadhan anamaanisha kuwa idadi ya wenye leseni ya udereva huwezi linganisha na wenye silaha unless tupate uwiano tu tuangalie madhara kipi ni zaidi
Nadhani iko wazi kwa taarifa ya matukio!
hujaona ilo bado!?

na hapa iko wazi matukio ya uwaaji wa silaha zinazomilikiwa “kihalali” haufanani na uzembe wa utoaji leseni za vyombo vya moto na kupelekea ajali zilizopoteza maisha ya wengi kwenye Ardhi yetu.

madereva bodaboda mfano hai.
Elim gani imemtosheleza mpaka awe na sifa kupata leseni!?
 
Back
Top Bottom