Lesotho wakishinda Taifa Stars itasonga mbele?

Lesotho wakishinda Taifa Stars itasonga mbele?

Wewe ni Yanga enhe???maana Yanga ndio mnaenjoy sana kushangilia wageni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamshangaa huyu popoma. Licha ya kuwa chura hata jina la kike kachukua kutoka Kenya. Mwanaume kuitwa Wanjiru ni hatari. Sasa usishangae kushangilia wageni imekuwa fashion yao siku hizi.
Unajua kidogo kidogo mpaka imekuwa mazoea.
 
Nimeangalia lakini nimeona imekaa kitaalamu mno, hebu nifafanulie nielewe. Maana nimeangalia nimeona kama sote tuna Poinnt tano tano. Maana hiyo wakishinda wote watakuwa na Pointi nane nane. Tatizo liko wapi?
Mkuu kimtindo we ni mfuasi wa kampeni kama mimi maana hiyo kitu iko wazi sana kwa watu wa soka[emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio goal difference bali head to head meatings.
Tumedroo nao hapa wakatuchapa kwao. Ukilinganisha wao wana point nne kati ya sita siai tuna moja kati ya sita.
Hawa watu wa hamasa sijui walikuwaga wapi enzi hizo. Hii mechi na lesotho ni kama haikuchezwa maana ilipooza kwa sababu haikutangazwa. Madhara ya kukumbuka shuka asubuhi tutang'atwa tu na mbu usiku.
Unajua hata alieanzisha hii campaign alikuwa hajui hii kitu kaja kustuka baadae ila ndio hivyo si sio mtu wa soka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamshangaa huyu popoma. Licha ya kuwa chura hata jina la kike kachukua kutoka Kenya. Mwanaume kuitwa Wanjiru ni hatari. Sasa usishangae kushangilia wageni imekuwa fashion yao siku hizi.
Unajua kidogo kidogo mpaka imekuwa mazoea.
Unapowajumlisha yanga kwenye maoni ya mtu mmoja ni kama unataka kuifanya kesho mechi ni ya simba labda kwa taarifa yako tu simba na yanga zimeanza kuombeana mabaya kwa timu za nje juzi sana baada ya manara na muro kuingilia soka tafuta mechi ya simba na Ismailia taifa au yanga na casablanca haya maupuuzi hayakuwepo binafsi ni yanga lakini hakuna mechi iliniuma kama mechi ya simba na ile timu ya sudani second leg usipowasikiliza hawa wasemaji utabaki na ushabiki wako ila ukiwasikiliza wao utakuwa wa ajabuajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Uganda ndo wanaonekana wako siliasiiii na hii mecchi kuliko sisi ,sisi maneno wao wapo njian kutokea misri kisa point 3 zetu
Kocha wa uganda anataka record mkuu haya mambo mengine ye hayajui kenya kawahi kumzuia uganda kenya akiwa kaishafuzu tayari sio rahisi mchezaji anapochezea timu ya taifa aingie na mentality ya kufungwa afu hii campaign imeharibu kidogo maana imefanya game igeuke derby ya east africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unamshangaa huyu popoma. Licha ya kuwa chura hata jina la kike kachukua kutoka Kenya. Mwanaume kuitwa Wanjiru ni hatari. Sasa usishangae kushangilia wageni imekuwa fashion yao siku hizi.
Unajua kidogo kidogo mpaka imekuwa mazoea.
Kesho saa mbili usiku nitakupakata huku nakunywesha bia kwa hela zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom