Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
inahamia kwenye kucha
MJ1 binafsi sera za Nyamayao siziafiki,I abhor violence in any form na kwa sababu yoyote.We ukinifumania bana niache,just dump me but don't touch me,sipendi kabisa mambo ya kutiana vidole machoni eti kisa umenifumania.Tumekutana ukubwani tukawa wote kwa raha zetu,ya nini kutiana vilema? For what , ili iweje?
MJ1 binafsi sera za Nyamayao siziafiki,I abhor violence in any form na kwa sababu yoyote.We ukinifumania bana niache,just dump me but don't touch me,sipendi kabisa mambo ya kutiana vidole machoni eti kisa umenifumania.Tumekutana ukubwani tukawa wote kwa raha zetu,ya nini kutiana vilema? For what , ili iweje?
kulijibu hili swali ni lazima ujadili vitu vingi mno...
.personality za watu ..
huwezi sema ni lazima mume au mke afanye hivi wakati watu
wana tofauti za personality....
wao nyamayao na nyumba kubwa wanazungumzia kutokana na experience zao....
kuna waume au wanawake ambao ukitaka kkulikoroga basi mlazimishe kujadili makosa yake
bottomline binadamu tumeumbwa tofautii
Daughter na MJ1 ukinifumania iwe tuko ndani ya ndoa au vinginevyo,tuwe na watoto au vinginevyo,don't touch me please,nami hali kadhalika hata nikukute laivu kabisa i will not raise my hand,kama ni adhabu nitakutafutia adhabu mbadala(na ninazo nyingi na kali kuliko bakora) lakini violence absolutely no!Aksante Bishanga kwa upande wa pili wa shilingi. I appreciate but naomba kujua unazungumzia kwa upande wa wanaodate tu? Au hapa kwa wanandoa ambao tayari wana familia?
Na labda kwa mtazamo wako kama hakuna need ya kuachana atumie njia gani kudhibiti hacra zake?
Mie nahisi nishapitwa na wakati, hata kuuliza ulikuwa wapi siulizi ikifika mida najilalia kabisaaa, nastukia usiku nikienda chooni kitu kpo pembeni,wakati mwingine inaudhi, ila kama unauliza leo ulikuwa wapi anakujibu, kesho tena anachlewa unauliza unajubiwa vilevile, inachosha , mie nafanya maisha, najipa raha, nahakikisha yuko sawa na wanangu wako sawa, nahisi inanitosha kwa sasa
AshaDii ninakuelewa mpenzi ........mie nimeamua kufunguka. Nakumbuka kuna post nilimwomba nyumba kubwa atusaidie kuainisha haki zetu au atusaidie kuzijua position zetu. Mie kama mke wa ndoa (si ndoezi) ndoa halali kabisa mwenzi wangu anapoThou umewaelezea Nyamayao na Nyumba Kubwa in brief Kweli ujumbe umefika for umewaelezea vizuri na right to the point . Sijabahatika kugongana mara kwa mara na Nyamayao but nimeelewa ulicho m-wakilisha thou I can proudly say namuelewa NK na misimamo yake ya maana na msingi mara nyingi saana.
Nikija kwenye swali lako la last paragraph . Naomba nizungumzie upande wa sie akina mama IMO naamini kua Mpenzi wako akikukosea an explanation ni muhimu mno, tena bila hata ku demand ni haki yako However MJ1 ukumbuke kua kuna makosa ambayo kama wahisi tu hakuna ushahidi ni heri ukapoa na ukasubiri upate ushahidi for hapo ndo waweza mbana vizuri (hivo ndio naamini mimi); hasa makosa mazito i.e. hio ya cheating ulosema Katika early stages of your man cheating; na Woman intuation yako ikakwambia mumeo kacheat Uki react mapema kwa kudemand ukweli mapema waweza usije jua kama kweli ama lah! For naamini the beauty of knowing your Man has cheated also lies in knowing mtu alocheat nae ni nani . Kwangu la maana hapo naona sasa nikumfuatilia kwa ukaribu kujua ukweli wa mambo . Na mpaka wewe as a wife ukahisi na kuona kua mumeo ana cheat jua kabisa kua that woman is trouble and she has to be removed at all cost!
Darling Elfer ni kweli kabisa ukisemacho, hisia inamatter but hebu tujadili ile umemcatch live,,,,,,,,,,,,,,,,,,,si kucheat tu but mfano anarudi late, hafulfill responsibilities zake mf. mwanamke ameolewa, muma anatakiwa kulipa bvills halipi, si kwamba hana pesa la hasha bali halipi, mie kama mwanamke/mke ninayo au sinayo haki ya kukasirika? tuanzie hapo.Lakini next thing ni kwamba kabla hujahoji jambo lolote jiulize sababu ya kufanya hivyo,kama wewe ni mke/mume kitendo cha kuhoji ni ishara ya kuwa na wasiwasi na usalama wa nafasi yako,ukigundua hilo ni ishara ya kutokumuamini mwenzako hiyo ni ishara nyingine ya tatizo kubwa kwani ni hatari kuliko hatari yenyewe kuishi na mtu usiemwami!Bora kidogo tena kidogo sana haya yawe kwenye urafiki!
AshaDii katika vitu ambavyo niliapa ni kutokugombania mwanaume na mwanamke mwenzangu ambaye naye alifuatwa, aka'semeshwa' kama mimi. eti tindikali kwa sababu amemtamani/penda mwanamke mwingine loh ..............kwangu nitamchukulia kuwa HE WASNT MAN ENOUGH jamani ........HAKUDESERVE KUWA NA MIE. Nitamruhusu aende kwa amani na siku akijaniambia anaoa nitamchangia kwa hiariNa hio ndio hu determine everything.... Kuna mwanamke mwingine mume wake ka cheat hata habari hana na ipo wazi kabisa.... Kuna mwanamke mwingine atamuwekea hata sumu mumewe kwa hasira in the belief ya "tukose woote", kuna mwanamke mwingine ataenda mumwagia tindikali huyo nyumba ndogo mpaka aipate.... yaaani results ni nyingi mno...
Kuna mianaume mingine ukijua wala hata halishtuki maana anaona huwezi mfanya kitu na wala hajali kama ukitaka kuondoka.... Kuna mwanaume mwingine akijua unajua ndoa kabisa anahalalisha anakua mke wa pili.... Kuna mwanaume mwingine anakua mdogo mithili ya sisimizi... na mwingine anajuta hasa kosa lake - hali mwingine pia hujuta, but hujuta kakosea step umemfumania but not bcoz kafanya kosa....
Yoote hayo hapo above hutegemea nyie kama spouses mnaishi vipi?? Nafasi ya kila mmoja katika familia?? mchango wa kila mmoja katika familly?? Watoto na mahitaji?? Family back ground?? Na most importantly "kujitambua" hasa kwa mwanamke.... kama ulivosema Boss yahitaji kuangalia mambo mengi saaana.