Lesson learned from Nyamayao and Nyumba Kubwa..........What are your Two cents on this ....!

Lesson learned from Nyamayao and Nyumba Kubwa..........What are your Two cents on this ....!

MJ1 binafsi sera za Nyamayao siziafiki,I abhor violence in any form na kwa sababu yoyote.We ukinifumania bana niache,just dump me but don't touch me,sipendi kabisa mambo ya kutiana vidole machoni eti kisa umenifumania.Tumekutana ukubwani tukawa wote kwa raha zetu,ya nini kutiana vilema? For what , ili iweje?
 
MJ1 binafsi sera za Nyamayao siziafiki,I abhor violence in any form na kwa sababu yoyote.We ukinifumania bana niache,just dump me but don't touch me,sipendi kabisa mambo ya kutiana vidole machoni eti kisa umenifumania.Tumekutana ukubwani tukawa wote kwa raha zetu,ya nini kutiana vilema? For what , ili iweje?

Aksante Bishanga kwa upande wa pili wa shilingi. I appreciate but naomba kujua unazungumzia kwa upande wa wanaodate tu? Au hapa kwa wanandoa ambao tayari wana familia?

Na labda kwa mtazamo wako kama hakuna need ya kuachana atumie njia gani kudhibiti hacra zake?
 
MJ1 binafsi sera za Nyamayao siziafiki,I abhor violence in any form na kwa sababu yoyote.We ukinifumania bana niache,just dump me but don't touch me,sipendi kabisa mambo ya kutiana vidole machoni eti kisa umenifumania.Tumekutana ukubwani tukawa wote kwa raha zetu,ya nini kutiana vilema? For what , ili iweje?

Infact (mazima kwakweli) Bishanga you have a point

Lakini hebu kumbuka ni mke/mume wako unamkuta anajibanjua na mwanamme/mke mwingine,utasimama tu umwambie sikutaki tena?
 
kulijibu hili swali ni lazima ujadili vitu vingi mno...
.personality za watu ..
huwezi sema ni lazima mume au mke afanye hivi wakati watu
wana tofauti za personality....
wao nyamayao na nyumba kubwa wanazungumzia kutokana na experience zao....

kuna waume au wanawake ambao ukitaka kkulikoroga basi mlazimishe kujadili makosa yake

bottomline binadamu tumeumbwa tofautii

Ahsante sana Mkuu,

Sina cha kuongeza......Ni muhimu kufahamu kuwa kila mtu ameumbwa kivyake vyake na malezi yake ni tofauti na watu wengine. Labda tu tuwapongeze wenzetu Nyamayao, NK na wengine wengi ambao wan-courage ya kufanya maamuzi magumu.

Siyo jambo rahisi na kila mtu atawaza na kutenda kutegemeana na kichwa chake...Kwa hiyo MJ1 achukulie kuwa upole wake nao si mbaya hata kidogo. Si ajabu hatwa wale walio ngangari wanatamani siku moja wapate walau dakika 10 tu za kuwa wapole!!

Babu DC!
 
Aksante Bishanga kwa upande wa pili wa shilingi. I appreciate but naomba kujua unazungumzia kwa upande wa wanaodate tu? Au hapa kwa wanandoa ambao tayari wana familia?

Na labda kwa mtazamo wako kama hakuna need ya kuachana atumie njia gani kudhibiti hacra zake?
Daughter na MJ1 ukinifumania iwe tuko ndani ya ndoa au vinginevyo,tuwe na watoto au vinginevyo,don't touch me please,nami hali kadhalika hata nikukute laivu kabisa i will not raise my hand,kama ni adhabu nitakutafutia adhabu mbadala(na ninazo nyingi na kali kuliko bakora) lakini violence absolutely no!
 
wat il do to some1 who hv hurted me will defenitely depend on who am i n how do i react to issues, at wat point do i need to exercise my right of demanding certain explanations it is also a question of my personality..... Hatufanani hata kidogo kuna issues inaweza ikaoneka ni kubwa kwangu na nikalipuka ile mbaya bt kwa mwingine inakuwa ni minor issue..Halafu pia kwenye mahusiano reaction ya mtu kwenye issues flani huwa inategemea mambo mengi,
past experience ,lets say nimejua mume wangu amenicheat, kama hicho kitu hakikuwahi kutokea b4 katika kipindi chote cha mahusiano yetu naamini kabisa reaction yangu(mimi) itakuwa tofauti iwapo hiyo cheating si mara ya kwanza kutokea!!
reality vs expectations, kila mtu anamatarajio yake ambayo anaamini spouse wake atatimiza, na uwezo wa kabalance matarajio na uhalisia wa maisha ni vitu ambavyo vinaadhiri sana maamuzi yetu n reactions zetu kwenye mahusiano.
family matters kuna times katika maisha reactions za spouses huwa hazipo tena kuangalia their own interest but watoto n other stuffs ambazo mmeshafanya pamoja as spouses
society...yes especially katika jamii yetu wanawake wengi reactions zao kwa spouses wao huwa zinaangalia macho ya watu kwanza, jamii itanionaje? hata kama unahaki ya kucharuka au blast kwa hasira kwa sababu umekosewa mara nyingi wanawake wanashindwa kufanya hivyo kwa sababu malezi yetu hayaturuhusu, kicheni party unaambiwa mumeo akirudi saa saba usiku hata kama hajasema kuwa atachelewa , mfungulie mlango, mwambie pole mume wangu, na mabusu juu, mpokee, muulize utakula, msubiri ale, mwandalie maji ya kuoga, then mpe huduma yake ya kitandani.., halafu ndio ummulize kiulaini 'mume wangu mbona umechelewa leo'....

MJ1 hiyo haki unayouliza haipo tanzania aiseee, si umeona mwenyewe yule matroni wako anatukanwa mbele za watu na anakaa kimya anaogopa kuitwa mwanamke mpumbavu anayebomoa nyumba yake mwenyewe... kama wataka kuondoa kero kwenye ndoa basi hili suala la kuhoji sijui kutaka explanations sahau.., ni mbaya sana pale unapojua unayo haki lakini huwezi kuitumia.
 
Mie nahisi nishapitwa na wakati, hata kuuliza ulikuwa wapi siulizi ikifika mida najilalia kabisaaa, nastukia usiku nikienda chooni kitu kpo pembeni,wakati mwingine inaudhi, ila kama unauliza leo ulikuwa wapi anakujibu, kesho tena anachlewa unauliza unajubiwa vilevile, inachosha , mie nafanya maisha, najipa raha, nahakikisha yuko sawa na wanangu wako sawa, nahisi inanitosha kwa sasa
 
Mie nahisi nishapitwa na wakati, hata kuuliza ulikuwa wapi siulizi ikifika mida najilalia kabisaaa, nastukia usiku nikienda chooni kitu kpo pembeni,wakati mwingine inaudhi, ila kama unauliza leo ulikuwa wapi anakujibu, kesho tena anachlewa unauliza unajubiwa vilevile, inachosha , mie nafanya maisha, najipa raha, nahakikisha yuko sawa na wanangu wako sawa, nahisi inanitosha kwa sasa

Gaga umeonaeee, raha jipe mwenyewe my dea, unashukuru Mungu karudi salama salimini hayo mengine matokeo, but hapo unakuwa umekubali ukweli kuwa huyo mtu wako yupo hivyo, ila kuna wengine wabishi anachelewa kurudi na bado anataka mkewe ndio aamke kumfungulia mlango,apewe chakula na umsubirie ale then aoge , halafu ndio mrudi kulala.
 
Hakuna kilicho halisi mpaka umekifanya kuwa halisi!
 
Lakini next thing ni kwamba kabla hujahoji jambo lolote jiulize sababu ya kufanya hivyo,kama wewe ni mke/mume kitendo cha kuhoji ni ishara ya kuwa na wasiwasi na usalama wa nafasi yako,ukigundua hilo ni ishara ya kutokumuamini mwenzako hiyo ni ishara nyingine ya tatizo kubwa kwani ni hatari kuliko hatari yenyewe kuishi na mtu usiemwami!Bora kidogo tena kidogo sana haya yawe kwenye urafiki!
 
Thou umewaelezea Nyamayao na Nyumba Kubwa in brief… Kweli ujumbe umefika for umewaelezea vizuri na right to the point…. Sijabahatika kugongana mara kwa mara na Nyamayao but nimeelewa ulicho m-wakilisha… thou I can proudly say namuelewa NK na misimamo yake ya maana na msingi mara nyingi saana.

Nikija kwenye swali lako la last paragraph…. Naomba nizungumzie upande wa sie akina mama… IMO naamini kua Mpenzi wako akikukosea an explanation ni muhimu mno, tena bila hata ku demand ni haki yako… However MJ1 ukumbuke kua kuna makosa ambayo kama wahisi tu hakuna ushahidi ni heri ukapoa na ukasubiri upate ushahidi for hapo ndo waweza mbana vizuri (hivo ndio naamini mimi); hasa makosa mazito i.e. hio ya cheating ulosema… Katika early stages of your man cheating; na Woman intuation yako ikakwambia mumeo kacheat… Uki – react mapema kwa kudemand ukweli mapema… waweza usije jua kama kweli ama lah! For naamini the beauty of knowing your Man has cheated also lies in knowing mtu alocheat nae ni nani…. Kwangu la maana hapo naona sasa nikumfuatilia kwa ukaribu kujua ukweli wa mambo…. Na mpaka wewe as a wife ukahisi na kuona kua mumeo ana cheat – jua kabisa kua that woman is trouble… and she has to be removed at all cost!
AshaDii ninakuelewa mpenzi ........mie nimeamua kufunguka. Nakumbuka kuna post nilimwomba nyumba kubwa atusaidie kuainisha haki zetu au atusaidie kuzijua position zetu. Mie kama mke wa ndoa (si ndoezi) ndoa halali kabisa mwenzi wangu anapo
1. Rudi chelewa kurudi usiku (na ikifika saa nne usiku ukipiga simu hapokei)!! au akipokea anakupa rafiki aliye naye UONGEE naye.
2. Mtu anayerudi saa saba/nane za usiku ukimwuliuza anakuwa mkali yeye kuwa unampangia muda wa kurudi nyumbani kwake; na kukukomoa kesho anarudi saa kumi alfajiri au kumi na mbili asubuhi
3. Hatoi matumizi lakini akirudi anadai nyama na mahanjumati
4. anarudi usiku wa manane na wewe unaamka kumsongea ugali wa moto (anaudai)

Haki yangu mie kama mke, kuchukia iko wapi??
 
Lakini next thing ni kwamba kabla hujahoji jambo lolote jiulize sababu ya kufanya hivyo,kama wewe ni mke/mume kitendo cha kuhoji ni ishara ya kuwa na wasiwasi na usalama wa nafasi yako,ukigundua hilo ni ishara ya kutokumuamini mwenzako hiyo ni ishara nyingine ya tatizo kubwa kwani ni hatari kuliko hatari yenyewe kuishi na mtu usiemwami!Bora kidogo tena kidogo sana haya yawe kwenye urafiki!
Darling Elfer ni kweli kabisa ukisemacho, hisia inamatter but hebu tujadili ile umemcatch live,,,,,,,,,,,,,,,,,,,si kucheat tu but mfano anarudi late, hafulfill responsibilities zake mf. mwanamke ameolewa, muma anatakiwa kulipa bvills halipi, si kwamba hana pesa la hasha bali halipi, mie kama mwanamke/mke ninayo au sinayo haki ya kukasirika? tuanzie hapo.

Na kama tunavyojua tumeumbwa tofauti, reactions toeards hacra inategemea mtu na mtu na haimaanishi mwanamke ANAPASWA kuwa na soft reaction.
Napata picha matumizi hayatimizwi, mume anarudi late (au harudi) bila sababu za msingi, watoto wanarudishwa nyumbani kwa kukosa ada, hawana chakula e.t.c only to catch him cheating na mtu hotelini au Guest........haki yangu ya kurect hapo ikoje?? mikimvunjia kioo cha gari (reflect action) nina haki ya kuadhibiwa?? au anapaswa kunielewa kuwa my feelings were hurt and what I did was out of my controll?? That I was provoked by my feelings based on my position and rights within our relationship??
 
Kwa hayo uliyosema MJ1 huna haja ya kureact unatakiwa ujue there is no love there,fungasha kisha utoke nduki,kama ni suala la kutokutimiza majukumu yake kama mume atakuwa na matatiz kimalezi atakua anahitaji ushauri wa kitaalam zaidi,lakini kama anarudi usiku wa manane amelewa kisha anacheat,ruuuun!
 
Na hio ndio hu determine everything.... Kuna mwanamke mwingine mume wake ka cheat hata habari hana na ipo wazi kabisa.... Kuna mwanamke mwingine atamuwekea hata sumu mumewe kwa hasira in the belief ya "tukose woote", kuna mwanamke mwingine ataenda mumwagia tindikali huyo nyumba ndogo mpaka aipate.... yaaani results ni nyingi mno...
AshaDii katika vitu ambavyo niliapa ni kutokugombania mwanaume na mwanamke mwenzangu ambaye naye alifuatwa, aka'semeshwa' kama mimi. eti tindikali kwa sababu amemtamani/penda mwanamke mwingine loh ..............kwangu nitamchukulia kuwa HE WASNT MAN ENOUGH jamani ........HAKUDESERVE KUWA NA MIE. Nitamruhusu aende kwa amani na siku akijaniambia anaoa nitamchangia kwa hiari

Kuna mianaume mingine ukijua wala hata halishtuki maana anaona huwezi mfanya kitu na wala hajali kama ukitaka kuondoka.... Kuna mwanaume mwingine akijua unajua ndoa kabisa anahalalisha anakua mke wa pili.... Kuna mwanaume mwingine anakua mdogo mithili ya sisimizi... na mwingine anajuta hasa kosa lake - hali mwingine pia hujuta, but hujuta kakosea step umemfumania but not bcoz kafanya kosa....

Yoote hayo hapo above hutegemea nyie kama spouses mnaishi vipi?? Nafasi ya kila mmoja katika familia?? mchango wa kila mmoja katika familly?? Watoto na mahitaji?? Family back ground?? Na most importantly "kujitambua" hasa kwa mwanamke.... kama ulivosema Boss yahitaji kuangalia mambo mengi saaana.

Aksante AshaDii..........mie nilishawahi lalamika kukatiwa umeme kwa kuwa sikulipa bili kwa muda mrefu (nyumba ilikuwa ya kazini kwangu na kwa kuwa mwenzangu alikuwa mkoani nikamwambia tukakubaliana tuendelee kuishi pale kwani yeye anakuja kwa msimu na hatukuwa na watoto by that time) only kujibiwa kuwa'''''''''''' nakushangaa kwa nini hukuwa unalipa - nikamjibu hii ni bili ya miezi sita ilopita (ndoa ilikuwa na miezi 10 by that time) . Reaction yangu ilitakiwa kuweje?
 
Mapenzi hayana formular. Nachoandika ndio nachofanya lakini haina maana akifanya mwingine kita work. Wa kushauriwa ni mabinti ambao bado hawajaolewa. Mwanaume ambaye hawezi ku explain anapoulizwa na mkewe mara nyingi waweza mjua hata kabla hamjaoana. Najijua kuwa sipendi kudharauliwa kwa hiyo nilichagua mwanaume nayeweza kuishi nae. Mwanaume ambaye haoni vibaya nikimuuliza mbona amechelewa; nikimuuliza anaongea na nani kwenye simu.

Unaweza ukasema na mimi nianze kumuhoji mume wangu ukaambulia vibao. Kwa hiyo kama walivyosema wachangiaji wengine it depends on kind of man you have.

Mapenzi ni kuchagua si kuingia kichwa kichwa.
 
MJ1, kama sikosei nilisoma kwako ama kwa mtu aliyeku-quote "nobody can screw ur life unless u give them THE screw driver'' ... tafadhali zingatia matumizi ya THE na sio A, kidhungu cha kizungu! u will always get what u ask for. nilimsikia bi kharusi mmoja akiambiwa 'u shld never be understanding...kwa mumeo'. nakumbukia busara za kudokoa tu leo, well kuna mwingine aliambiwa na mama mkwe wake 'mwanangu akiharibika utanitambua!', meaning huyo kaka mlevi na mponda maisha, asipojenga nyumba mjini mama wa kichaga mkali haswaa.manake anasema yeye mumewe hakumkuta na kitu,ali-push na ku-manipulate hadi wakawa walipo!
come to think of it ni kweli.nakubaliana na nyamayao, na siogopi kusema tena i believe in fresh starts and divorce for any good reason. lol,may be practice makes it perfect
 
...SIJAELEWA wajameni!mnisamehe bure.shida yangu hapa ni kwamba inapotokea nashindwa kutimiza majukumu ya "kifedha" na ikawa proved kwamba sina "kipato" na ninapenda au nashauri kitu kizuri kinachohusiana "fedha" itakuwaje?

SIJAELEWA!....

naomba serengeti ingine tafadhali mama grace
 
Back
Top Bottom