Darling Elfer ni kweli kabisa ukisemacho, hisia inamatter but hebu tujadili ile umemcatch live,,,,,,,,,,,,,,,,,,,si kucheat tu but mfano anarudi late, hafulfill responsibilities zake mf. mwanamke ameolewa, muma anatakiwa kulipa bvills halipi, si kwamba hana pesa la hasha bali halipi, mie kama mwanamke/mke ninayo au sinayo haki ya kukasirika? tuanzie hapo.
Na kama tunavyojua tumeumbwa tofauti, reactions toeards hacra inategemea mtu na mtu na haimaanishi mwanamke ANAPASWA kuwa na soft reaction.
Napata picha matumizi hayatimizwi, mume anarudi late (au harudi) bila sababu za msingi, watoto wanarudishwa nyumbani kwa kukosa ada, hawana chakula e.t.c only to catch him cheating na mtu hotelini au Guest........haki yangu ya kurect hapo ikoje?? mikimvunjia kioo cha gari (reflect action) nina haki ya kuadhibiwa?? au anapaswa kunielewa kuwa my feelings were hurt and what I did was out of my controll?? That I was provoked by my feelings based on my position and rights within our relationship??