MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #81
wewe tena usimtetee mwanajamiione ? mbona siku hiyo utatuacha midomo wazi ? hahahaha!
Nikirudi kwenye topic kuna kuvumiliana kwa vitu vidogo lakini haikubaliki kufumbia macho uozo au manyanyaso.
LOL Uporoto bana, let not the keyboard fool you.........kuna mtu mkorofi kama Mbu? Huoni watu kutwa twakimbizana na ma-Expel na Marungu? hahahahaaaaaaa.
hahahaha,...dahhh...kumbe nishazoeleka ee?
aaah, anaonewa kiasi cha kutosha bana...mimi naamini hajaeleweka tu mwj1 maskini,
she's an angel kwa nafasi yake.
Aksante Soulmate ingawa nami nina cents zangu zilizochangia whatever situation it was. So I dont blame anyone else but me, I and myself.
Hahahahahh uko sawa kabisa Uporoto, huyu bwana aliliomba mwenyewe, tena kwa goti chini haha kisha akaomba nimwongezee dozi hahahhahhahunajua mkuu Mbu limbwata lingine unabugia mwenyewe wala haina haja ya kulaumu kinadada lol!
Hamna bwana, he knows his Soulmate more. (Nsijeachika bure kwa talaka ya mtandaoni)