Lest we forget, High Court Temporarily Blocks Hiring of Tanzanian Doctors

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
2,092
Reaction score
2,128
By JULIET MUTAHI on Friday, 31 March 2017 - 3:14pm

The High Court has issued an order blocking the Government from hiring over 500 foreign medical practitioners and dentists.

The directive was issued after five Kenyan medics moved to court to petition against the hiring of the doctors from Tanzania by the Ministry of Health.

The decision to bring in the foreign practitioners was made after Health Cabinet Secretary Cleopa Mailu held talks with President John Magufuli two weeks ago.

President Magufuli said the doctors would help mitigate the effects of the recently ended strike and address the shortage of medical professionals in public hospitals.

Kenya Medical Practitioners Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Ouma Oluga, strongly opposed the move claiming that Kenya had over 1400 unemployed medics.

The case will now be mentioned on April 9th.

Government Issued with New Order Over Tanzanian Doctors
 
Tanzanian doctor their good hope they will help Kenyan people as soon as possible
 
Baaaas thank you kilam for bringing this up
Mtu akae kwao, sisi kama wakenya tunataka trade ikue zero, na kila kitu abacho kinacho husiana na Tanzania kiishe alafu mwambie uyo dikteta ajenge ukuta kutoka namanga hadi lake Victoria muone kama maisha itaendelea juu hatuna uhusiano na Tanzania.
 
Tanzanians Don't need Kenya, but Kenya need Tanzania to death. Mtakoma
 
Mtu akae kwao, sisi kama wakenya tunataka trade ikue zero, na kila kitu abacho kinacho husiana na Tanzania kiishe alafu mwambie uyo dikteta ajenge ukuta kutoka namanga hadi lake Victoria muone kama maisha itaendelea juu hatuna uhusiano na Tanzania.
Dikteta bibi yako ,

Na mtakufa na kihoro hadi , 2025
 
Mtu akae kwao, sisi kama wakenya tunataka trade ikue zero, na kila kitu abacho kinacho husiana na Tanzania kiishe alafu mwambie uyo dikteta ajenge ukuta kutoka namanga hadi lake Victoria muone kama maisha itaendelea juu hatuna uhusiano na Tanzania.
Pole sana, sindano ya awamu hii naona imedungwa kwa mtindo wa "Intravenous injection".

Haijawaacha salama kabisa, mnagalagala wote.
 
Baaaas thank you kilam for bringing this up

Serikali ya Kenya ndio ilikua inataka kuwaajiri madaktari wenu kwa pesa za kodi zetu, hivyo hapo palikua na haja ya kuingiliwa kati na kuhakikisha watu wanashauriana kwanza. Lakini hilo la nyie kuzuia makampuni binafsi kufuata Wakenya kisa uwoga wenu dhidi ya utenda kazi wa Kikenya ni jambo la aibu sana kwa kweli. Ifike siku mjifunze kujiamini na kutia bidii, sio kuishi kimajungu majungu.

Kenya tunafundishwa jinsi ya kupambana, jinsi ya kutia bidii na kujiamini, hilo unalifahamu wewe binafsi maana kuna siku niliona ukijinadi kwamba umesomea Alliance ya Kenya.

Makampuni ya simu kama Voda yapo kwenye ushindani mkali, yanahitaji mtu mwenye uwezo wa kutumia ubongo kwa kasi na kufanya maamuzi ya haraka, sio mbumbumbu ambaye inamchukua wiki kuelewa hata takwimu. Halafu naona mumeanza kueneza fake news eti yule dada kanyimwa kibali cha kazi na uhamiaji.

Uhamiaji Tanzania hawatoi vibali vya kazi, mimi binafsi nimewahi kufanya kazi kwenu na nilifuata kila hatua, ambayo kawaida utaratibu wa kibali cha kazi hutolewa na wizara ya masuala ya ajira, wanakupa work permit, baada ya hapo ndio uhamiaji wanakupa kibali cha makazi. Uhamiaji huwa hawana uwezo wa kukupa work permit, lazima kwanza viambatanisho vyako vikaguliwe wizarani na kukubalika huko, baada ya hapo uhamiaji huwa hawana budi ila kukukaribisha na residential permit.

Sasa mnaposema uhamiaji wamemkatalia work permit, hiyo ni fake news.
 
With Kenya's doctor to patient ratio 9.5 : 10,000
Tz doctor to patient ratio 1:20,000

Clearly who needs doctors more?? 😀😀
 
Sasa kwa nini hiyo kampuni inafanya kazi Tanzania? Hao Watanzania unaowaita wavivu si ndio wateja wa Voda ama?

Faida mojawapo ya uwekezaji wa kigeni ni kutengeneza ajira kwa wazawa, kama wameamua kuajiri wageni watafute na wateja wa kigeni pia.
 
Meanwhile Safaricom CEO is not Kenyan, make Sylvia Safaricom CEO.
 
Kweli kuna watu wana maumivu..Hoja hapa ni ya madktari Mtu mzima analeta swala la silvya mulinge ambae kwa sasa idara ya ujamiaji imesema ni persona non grata in Tz..😀
 
Sasa kwa nini hiyo kampuni inafanya kazi Tanzania? Hao Watanzania unaowaita wavivu si ndio wateja wa Voda ama?

Faida mojawapo ya uwekezaji wa kigeni ni kutengeneza ajira kwa wazawa, kama wameamua kuajiri wageni watafute na wateja wa kigeni pia.

Kwani watakua wameanza kuajiri wageni kuanzia kwa huyo Mkenya, wazawa wameajiriwa kwenye ngazi zote isipokua maeneo maalum yanayohitaji mikakati maalum.

Ukweli sio kwamba kila mgeni anayeajiriwa ina maana hakuna wazawa wenye elimu, lakini unakuta pana uhitaji wa ziada ambao unasababisha mgeni huyo anayealikwa. Bodi ya Voda imejaa Watanzania, hao hao ndio wenye hayo maamuzi. Makampuni ambayo hutualika kuja kufanya kazi huko huwa imemilikiwa na Watanzania, wenyewe ndio hufikia maamuzi ya kutufuata.
 
Back
Top Bottom