ok.1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭

This is giving lissu oponents ammunition and war plans, it is not safe1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Basi, then Lisu should he extra careful with the type of examination questions!This is giving lissu oponents ammunition and war plans, it is not safe
Hili swali limekaa kama swali la cross examination.1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Basi, then Lisu should he extra careful with the type of examination questions!
watu hupewa mitihani na bado wanafeli kiongoziThis is giving lissu oponents ammunition and war plans, it is not safe
Ni kama leading questionHili swali limekaa kama swali la cross examination.
Ile siku sitaisahau Hearing ya kwanza na ya pili zilikuwa heavy.Watu wamesahau, siku Ile Lissu anajitetea wengi walidhani ataanza na hotuba aliyoitoa ila akaanzia mbali.
Maswali moja wapo watakayoulizwa kingai na wenzake ni kwamba;1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Duh! Umefafanua vizuri chief. Kumbe Lissu janja yake ni kuwataka kama "friend witnesses" halafu humo humo awageuze hostile witness then awafirimbe sawa sawa through cross-exam! Jamaa janja sana yule.Maswali moja wapo watakayoulizwa kingai na wenzake ni kwamba;
1. Ieleze mahakama kama unafahamu chochote juu ya kesi hii inayonikabili ya uhaini, hapa lazima ajibu kuwa anaifahamu kwasababu mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada walimpelekea.
2.Taarifa za uhaini kuhusu kesi hii ulizipata lini ukiwa kama DCI, hapa kumbuka mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada lilipelekwa kwa Kingai. Hivyo kingai kwa akili yake atataja tarehe kama walizotaja mashahidi wa jamhuri. Sasa Baada ya kutaja tarehe swali litakalomfata
3. Ieleze mahakama kama uliona uhaini baada ya kuletewa jalada( hapa akijibu aliona uhaini ajue imekula kwake kwasasabu Lissu ataiomba mahakama imchukulie kama shahidi adui(Hostile witness) hivyo lissu badala ya kumuuliza maswali kwa style ya Examination in Chief ataanza kumfanyia Cross examination na hapo ndipo anapopataka Lissu. Na ikifanyika hivyo Kingai ameisha ndio maana Lissu amekuwa akisema waende wakaeleze ukweli lengo lake ni hilo. Sasa mburula wa ccm nawashangaa ukiwasikiliza unaona wanacomment ujinga ndio maana huwa nawaita nguruwe maana hata shule hawana.
Uko sahihi kabisa na naungana na wewe 100%, hiyo ndiyo janja ya mwanasheria nguli katika kutumia mbinu za kiwango cha juu za uendeshaji kesi (masterclass litigation). Kwenye sheria ya ushahidi, kuna tofauti kubwa sana kati ya kumuongoza shahidi wako (Examination-in-Chief) na kumfanyia maswali ya dodoso (Cross-Examination).Duh! Umefafanua vizuri chief. Kumbe Lissu janja yake ni kuwataka kama "friend witnesses" halafu humo humo awageuze hostile witness then awafirimbe sawa sawa through cross-exam! Jamaa janja sana yule.
Wewe jamaa ni mzamivu. Shukran.Uko sahihi kabisa na naungana na wewe 100%, hiyo ndiyo janja ya mwanasheria nguli katika kutumia mbinu za kiwango cha juu za uendeshaji kesi (masterclass litigation). Kwenye sheria ya ushahidi, kuna tofauti kubwa sana kati ya kumuongoza shahidi wako (Examination-in-Chief) na kumfanyia maswali ya dodoso (Cross-Examination).
Lissu ameweka mtego huu wa kiakili makusudi kabisa kupitia hatua hizi mbili za kiwaledi:
Huu ni mkakati wa juu sana wa kisheria ambapo Lissu amewavuta viongozi hawa kwenye uwanja wake ili kuwalazimisha kutoa ukweli utakaosambaratisha mashtaka hayo. Ni janja ya kiwango cha juu mno!
- Uwanja wa Maswali ya Uongozi (Leading Questions): Kama ulivyofafanua vizuri, sheria inakataza mawakili kuwauliza mashahidi wao wenyewe maswali ya uongozi—yaani yale maswali yanayompa shahidi jibu la 'Ndio' au 'Hapana' au yanayomuelekeza upande fulani. Lakini, kwa kuwa hawa ni wakuu wa vyombo vya dola (IGP Wambura, CDF Jenerali Mkunda, na DCI Kingai), pindi tu watakapopanda kizimbani na kuanza kutoa majibu yanayolinda upande wa serikali na kukwepa ukweli, Lissu ataiomba mahakama kuwatangaza kama 'hostile witnesses' (mashahidi wasio ushirikiano/vigeugeu). Mahakama ikiridhia hilo, anafunguliwa mlango wa kisheria wa kuwafanyia cross-examination huku akiwatandika maswali makali sana ya uongozi ili kuwabana hadi ukweli utoke.
- Kuwageuzia Mawakili wa Serikali Kibao: Hapa ndipo penye kilele cha janja yenyewe. Mawakili wa Serikali (Jamhuri) watajikuta kwenye kona mbaya sana ya kisheria. Baada ya Lissu kuwabana na kuwatoa jasho mashahidi hao, mawakili wa serikali watalazimika kusimama kuwahoji (cross-examine) viongozi wao wenyewe wa usalama ili kujaribu kurekebisha uharibifu utakaokuwa umefanyika. Ni mtihani mzito kwa wakili wa serikali kuanza 'kushambuliana' au 'kupingana' na IGP au CDF wake mwenyewe mahakamani kwani wakiteleza kidogo wanaiua kesi ya uhaini ya Jamhuri wao wenyewe.
NB: Naomba radhi kwa wadau wote wanaoweza kukwazika na utumiaji wangu wa misamiati ya Kiingereza katika ufafanuzi huu wa kisheria. Kazi ya sheria ina lugha yake ya kiufundi (legal jargon), na inabidi nitumie maneno haya ili kulinda maana halisi ya kimkakati na kutoa picha sahihi kwa wale wenye uelewa au taaluma ya sheria.
MFANO NI HUU WATU WA VYOMBO WAKIPELEKEWA MOTO MAHAKAMANI
View: https://m.youtube.com/watch?v=NccKrdx5VR8
During an intense cross-examination, defence lawyer Shadrack Wambui cast serious doubt on the credibility and competence of cyber-forensic analyst Juma Mwajirani, whose report forms part of the evidence against political commentator Nuru Okanga.Wambui began by asking Mwajirani to state the specific charges Okanga faced. The analyst initially relied on a DCI request letter that cited publication of false information and cyber harassment, but later retracted his answer, admitting he did not actually know the charges.
Lawyer Shadrack Wambui Dismantles Cyber forensic Analyst in Nuru Okanga’s Case
View: https://m.youtube.com/watch?v=fGvmL6yviqA
key facts, including whether he knew that Rigathi Gachagua is a former District Officer and former Deputy President details he conceded he did not know. When questioned about his understanding of “inflammatory” content, Mwajirani added that he does not know how to use a gun and that “not everyone shot with a gun dies,” a statement that raised concerns over the basis of his analysis.
On the technical front, the analyst confirmed that TikTok and YouTube accounts can be created without Gmail, acknowledged that the videos in question were posted by Diff Media and Riba News, yet admitted he did not access or identify the owners of those accounts. Of the 22 comments under the videos, he included only three in his report prompting Wambui to question whether the investigation was selectively conducted.
Wambui also highlighted a glaring discrepancy: the DCI request letter used by Mwajirani was dated 2023, even though the case pertains to 2024. The defence argued that such inconsistencies reflect a poorly handled and unreliable investigation.
26 November 2025
Lawyer Abner Mango Discredits Cyber Analyst Over Flawed Report in Nuru Okanga’s Case
View: https://m.youtube.com/watch?v=F4HV4Bo0L6w
Defence lawyer Abner Mango, together with other lawyers representing Nuru Okanga, challenged the credibility of analyst Juma Mwajirani’s report, arguing it was incomplete and selectively focused on Riba News while ignoring Diff Media, despite both being linked to the disputed video.
Mango questioned why Mwajirani did not investigate who owns the accounts or whether Okanga had any connection to them.
The defence also raised concerns about the handling of Okanga’s seized phone. Mwajirani admitted he never examined the device, checked for malware, or verified whether other users could access it gaps the defence argued undermine the integrity and reliability of his analysis.
View: https://m.youtube.com/watch?v=CJNiDPTw66E
cyber forensic expert’s report in the case against political commentator Nuru Okanga was severely weakened today after a blistering cross-examination by defence lawyer Hon. Babu Owino.Cyber and digital forensic analyst Juma Mwajirani came under intense scrutiny as Babu methodically poked holes in both his qualifications and his conclusions. The defence questioned the credibility of Mwajirani’s certification, pointing out that the institution he cited does not issue forensic analyst credentials.Babu further discredited the report by highlighting glaring inconsistencies—among them, the use of a 2023 reference letter to support an investigation conducted in 2024
02 July 2026
Deal Ruthlessly With DCI.Orengo Tough Question to Ruto DCI Officer In Court While Representing Bob
View: https://m.youtube.com/watch?v=ZH5rUg3NSGs
Source : Court Helicopter
Usifikiri sheria ni gazeti la udaku au betting.1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general
Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Unatapatapa sana, mwambieni awalete mashahidi wake Mahakama inawasubiri.Maswali moja wapo watakayoulizwa kingai na wenzake ni kwamba;
1. Ieleze mahakama kama unafahamu chochote juu ya kesi hii inayonikabili ya uhaini, hapa lazima ajibu kuwa anaifahamu kwasababu mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada walimpelekea.
2.Taarifa za uhaini kuhusu kesi hii ulizipata lini ukiwa kama DCI, hapa kumbuka mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada lilipelekwa kwa Kingai. Hivyo kingai kwa akili yake atataja tarehe kama walizotaja mashahidi wa jamhuri. Sasa Baada ya kutaja tarehe swali litakalomfata
3. Ieleze mahakama kama uliona uhaini baada ya kuletewa jalada( hapa akijibu aliona uhaini ajue imekula kwake kwasasabu Lissu ataiomba mahakama imchukulie kama shahidi adui(Hostile witness) hivyo lissu badala ya kumuuliza maswali kwa style ya Examination in Chief ataanza kumfanyia Cross examination na hapo ndipo anapopataka Lissu. Na ikifanyika hivyo Kingai ameisha ndio maana Lissu amekuwa akisema waende wakaeleze ukweli lengo lake ni hilo. Sasa mburula wa ccm nawashangaa ukiwasikiliza unaona wanacomment ujinga ndio maana huwa nawaita nguruwe maana hata shule hawana.
Exactly! Lengo ni kuwaingiza kuwa shahidi hostile.Uko sahihi kabisa na naungana na wewe 100%, hiyo ndiyo janja ya mwanasheria nguli katika kutumia mbinu za kiwango cha juu za uendeshaji kesi (masterclass litigation). Kwenye sheria ya ushahidi, kuna tofauti kubwa sana kati ya kumuongoza shahidi wako (Examination-in-Chief) na kumfanyia maswali ya dodoso (Cross-Examination).
Lissu ameweka mtego huu wa kiakili makusudi kabisa kupitia hatua hizi mbili za kiwaledi:
Huu ni mkakati wa juu sana wa kisheria ambapo Lissu amewavuta viongozi hawa kwenye uwanja wake ili kuwalazimisha kutoa ukweli utakaosambaratisha mashtaka hayo. Ni janja ya kiwango cha juu mno!
- Uwanja wa Maswali ya Uongozi (Leading Questions): Kama ulivyofafanua vizuri, sheria inakataza mawakili kuwauliza mashahidi wao wenyewe maswali ya uongozi—yaani yale maswali yanayompa shahidi jibu la 'Ndio' au 'Hapana' au yanayomuelekeza upande fulani. Lakini, kwa kuwa hawa ni wakuu wa vyombo vya dola (IGP Wambura, CDF Jenerali Mkunda, na DCI Kingai), pindi tu watakapopanda kizimbani na kuanza kutoa majibu yanayolinda upande wa serikali na kukwepa ukweli, Lissu ataiomba mahakama kuwatangaza kama 'hostile witnesses' (mashahidi wasio ushirikiano/vigeugeu). Mahakama ikiridhia hilo, anafunguliwa mlango wa kisheria wa kuwafanyia cross-examination huku akiwatandika maswali makali sana ya uongozi ili kuwabana hadi ukweli utoke.
- Kuwageuzia Mawakili wa Serikali Kibao: Hapa ndipo penye kilele cha janja yenyewe. Mawakili wa Serikali (Jamhuri) watajikuta kwenye kona mbaya sana ya kisheria. Baada ya Lissu kuwabana na kuwatoa jasho mashahidi hao, mawakili wa serikali watalazimika kusimama kuwahoji (cross-examine) viongozi wao wenyewe wa usalama ili kujaribu kurekebisha uharibifu utakaokuwa umefanyika. Ni mtihani mzito kwa wakili wa serikali kuanza 'kushambuliana' au 'kupingana' na IGP au CDF wake mwenyewe mahakamani kwani wakiteleza kidogo wanaiua kesi ya uhaini ya Jamhuri wao wenyewe.
NB: Naomba radhi kwa wadau wote wanaoweza kukwazika na utumiaji wangu wa misamiati ya Kiingereza katika ufafanuzi huu wa kisheria. Kazi ya sheria ina lugha yake ya kiufundi (legal jargon), na inabidi nitumie maneno haya ili kulinda maana halisi ya kimkakati na kutoa picha sahihi kwa wale wenye uelewa au taaluma ya sheria.
Pole imekuuma chawa mtiifu.Usifikiri sheria ni gazeti la udaku au betting.