Let guess the probable examination in chief questions Lisu might pose to his witness

1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general

Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
ok.
 
1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general

Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Maswali moja wapo watakayoulizwa kingai na wenzake ni kwamba;
1. Ieleze mahakama kama unafahamu chochote juu ya kesi hii inayonikabili ya uhaini, hapa lazima ajibu kuwa anaifahamu kwasababu mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada walimpelekea.
2.Taarifa za uhaini kuhusu kesi hii ulizipata lini ukiwa kama DCI, hapa kumbuka mashahidi wa Jamhuri walieleza kuwa jalada lilipelekwa kwa Kingai. Hivyo kingai kwa akili yake atataja tarehe kama walizotaja mashahidi wa jamhuri. Sasa Baada ya kutaja tarehe swali litakalomfata
3. Ieleze mahakama kama uliona uhaini baada ya kuletewa jalada( hapa akijibu aliona uhaini ajue imekula kwake kwasasabu Lissu ataiomba mahakama imchukulie kama shahidi adui(Hostile witness) hivyo lissu badala ya kumuuliza maswali kwa style ya Examination in Chief ataanza kumfanyia Cross examination na hapo ndipo anapopataka Lissu. Na ikifanyika hivyo Kingai ameisha ndio maana Lissu amekuwa akisema waende wakaeleze ukweli lengo lake ni hilo. Sasa mburula wa ccm nawashangaa ukiwasikiliza unaona wanacomment ujinga ndio maana huwa nawaita nguruwe maana hata shule hawana.
 
Duh! Umefafanua vizuri chief. Kumbe Lissu janja yake ni kuwataka kama "friend witnesses" halafu humo humo awageuze hostile witness then awafirimbe sawa sawa through cross-exam! Jamaa janja sana yule.
 
Duh! Umefafanua vizuri chief. Kumbe Lissu janja yake ni kuwataka kama "friend witnesses" halafu humo humo awageuze hostile witness then awafirimbe sawa sawa through cross-exam! Jamaa janja sana yule.
Uko sahihi kabisa na naungana na wewe 100%, hiyo ndiyo janja ya mwanasheria nguli katika kutumia mbinu za kiwango cha juu za uendeshaji kesi (masterclass litigation). Kwenye sheria ya ushahidi, kuna tofauti kubwa sana kati ya kumuongoza shahidi wako (Examination-in-Chief) na kumfanyia maswali ya dodoso (Cross-Examination).
Lissu ameweka mtego huu wa kiakili makusudi kabisa kupitia hatua hizi mbili za kiwaledi:
  1. Uwanja wa Maswali ya Uongozi (Leading Questions): Kama ulivyofafanua vizuri, sheria inakataza mawakili kuwauliza mashahidi wao wenyewe maswali ya uongozi—yaani yale maswali yanayompa shahidi jibu la 'Ndio' au 'Hapana' au yanayomuelekeza upande fulani. Lakini, kwa kuwa hawa ni wakuu wa vyombo vya dola (IGP Wambura, CDF Jenerali Mkunda, na DCI Kingai), pindi tu watakapopanda kizimbani na kuanza kutoa majibu yanayolinda upande wa serikali na kukwepa ukweli, Lissu ataiomba mahakama kuwatangaza kama 'hostile witnesses' (mashahidi wasio ushirikiano/vigeugeu). Mahakama ikiridhia hilo, anafunguliwa mlango wa kisheria wa kuwafanyia cross-examination huku akiwatandika maswali makali sana ya uongozi ili kuwabana hadi ukweli utoke.


  2. Kuwageuzia Mawakili wa Serikali Kibao: Hapa ndipo penye kilele cha janja yenyewe. Mawakili wa Serikali (Jamhuri) watajikuta kwenye kona mbaya sana ya kisheria. Baada ya Lissu kuwabana na kuwatoa jasho mashahidi hao, mawakili wa serikali watalazimika kusimama kuwahoji (cross-examine) viongozi wao wenyewe wa usalama ili kujaribu kurekebisha uharibifu utakaokuwa umefanyika. Ni mtihani mzito kwa wakili wa serikali kuanza 'kushambuliana' au 'kupingana' na IGP au CDF wake mwenyewe mahakamani kwani wakiteleza kidogo wanaiua kesi ya uhaini ya Jamhuri wao wenyewe.
Huu ni mkakati wa juu sana wa kisheria ambapo Lissu amewavuta viongozi hawa kwenye uwanja wake ili kuwalazimisha kutoa ukweli utakaosambaratisha mashtaka hayo. Ni janja ya kiwango cha juu mno!
NB: Naomba radhi kwa wadau wote wanaoweza kukwazika na utumiaji wangu wa misamiati ya Kiingereza katika ufafanuzi huu wa kisheria. Kazi ya sheria ina lugha yake ya kiufundi (legal jargon), na inabidi nitumie maneno haya ili kulinda maana halisi ya kimkakati na kutoa picha sahihi kwa wale wenye uelewa au taaluma ya sheria.
 
Wewe jamaa ni mzamivu. Shukran.
 
Maswali ya wanasheria nguli duniani hucheza katika mtiririko unaofanana

ZANA [TOOLS] JINSI YA KUFUATILIA KESI HII BILA USHABIKI e.g MWASWALI YA EXAMINATION IN CHIEF, CROSS EXAMINATION NA RE-CROSS EXAMINATION USHABIKI BALI KWA AKILI TUNDUIZI :

Tundu Lissu : shahidi DW6 CP Ramadhani Kingai iambie Mahakama umemfahamu vipi mshtakiwa Tundu Lissu ?

Gonga hapa uone maswali mengine :
Cheki na kusikiliza hukumu za nchi ya commonwealth zilivyoshiba umakini, tofauti na hapa kwetu


BAADA YA MAPOLISI KUHENYESHWA , HAKIMU MKAZI ATOA HUKUMU

20 January 2026
Court To Rule On Whether Nuru Okanga Has A Case To Answer In Cyber Crime Case


View: https://m.youtube.com/watch?v=qHh_3w_c1BU
 
1. Ieleze mahakama vigezo/ elements za uhaini kwa kadri ya sheria za Tanzania na Commonwealth jurisdiction in general

Jibu: Sijui. .....( Hapo si aneshakuuza tayari)😭😭😭😭
Usifikiri sheria ni gazeti la udaku au betting.
 
Unatapatapa sana, mwambieni awalete mashahidi wake Mahakama inawasubiri.
 
Exactly! Lengo ni kuwaingiza kuwa shahidi hostile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…