Naunnga mkono hojaNajua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao!
Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki!
Let it be documented rather than leaving the absurdity to go unnoticed
Huu nao ni usumbufu tu. Hawa watu jana walikuwa wote Mahakamani, sasa anamtembelea leo kwa ajili gani?? Tuache unafiki hata mke wa Tundu na watoto hawana taimu na baba yao, lakini Heche anajifanya anakereketwa sana na LissuNajua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao!
Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki!
Let it be documented rather than leaving the absurdity to go unnoticed
vyombo vya ulinzi na usalama wamefanya kazi nzuri sana kumtimua huyo mropokaji asie na nidhamu na mtafuta kiki na public sympathy nonsense,Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao!
Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki!
Let it be documented rather than leaving the absurdity to go unnoticed
Kazi ipovyombo vya ulinzi na usalama wamefanya kazi nzuri sana kumtimua huyo mropokaji asie na nidhamu na mtafuta kiki na public sympathy nonsense,
asiruhusiwe kamwe kukanyanga mazingira ya magereza kutafuta kiki za kijinga.
well done magereza
huyo heche aruhusiwe tu kwenda magereza kama mahabusu kufungwa, na sio kumtembelea mahabusu yeyote yule,Kazi ipo
Mvuta bangi wa CCM wewe, pale mahakamani walikuwa wanaweza kuzumza issue yeyote?Huu nao nibusumbufu tu. Hawa watu jana walikuwa wote Mahakamani, sasa anamtembelea leo kwa ajili gani?? Tuache unafiki hata mke wa Tundu na watoto hawana taimu na baba yao, lakini Heche anajifanya anakereketwa sana na Lissu
Hata Magereza pia hawezi kuongea issue yeyote kwa kuwa mahabusu / nfungwa akiitwa kukutana na mgeni wake wanaongea chini ya ulinzi wa Prison OfficerMvuta bangi wa CCM wewe, pale mahakamani walikuwa wanaweza kuzumza issue yeyote?
Je anavunja sheria gani kwa kwenda kutembelea na kumpa mrejesho wa mambo yanayoendelea kwenye chama anachokiongoza?
Kwa mazingira ya mahakamani unaweza kumpa update yeyote? Tumia ubongo kufikiria siyo kinyeo chawaHata Magereza pia hawezi kuongea issue yeyote kwa kuwa mahabusu / nfungwa akiitwa kukutana na mgeni wake wanaongea chini ya ulinzi wa Prison Officer