Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Mfuasi wa kibwetere snakuwa akili mbovu kuliko kibwetere mwenyewe.
 
Jiandae kisaikolojia kuchanjwa.

Kama sio mwaka huu, ni mwakani au mwaka kesho kutwa.
 
Fool!
 
Stupid a*** **le
Stop misleading people
Nipe scientific proof that C-19 exisists.

Mnaamini udaku wa akina Bill Gates na Anthony Fauci,jamani amkeni....!.Wewe sio scientist ndio maana umekuwa rahisi kudanganywa, sio kosa lako.

Hata hivyoo,hivi kwa kufanya udadisi kidogo tu na kutumia akili yako ya kuzaliwa hujaona kwamba there is something unusual about this so called pandemic, which intelligent and informed people call a "scandemic."
 
Stupid a*** **le
Stop misleading people
Hivi nani stupid,anayeamini kwamba kitu kipo kumbe hakipo au anayeamini kwamba kitu hakipo na kweli hakipo. Ningekua wewe ningeanza ku-search ukweli kuhusu C-19.

Mjanja does not take anything for granted, he does own research. Mkuu hivi hujui kwamba most of mainstream media is fake news, wake up.
 
Historia inaonyesha tangu dunia inaanze, watu ambao wana au walikuwa na akili ya kiwango Cha juu sana sio watu Wala hawakuwa watu wakujiingiza kwenye mijadara ya kushindana au kuonyesha kuwa wao wana uwezo mkubwa kufikiri au akili nyingi

Pia wengi wao walikuwa au wamekuwa wakipata shida ya kujimuika katika jamii (kwa sehumu kubwa imejaa watu wa uwezo wa akili ya kawaida),hiyo kupelekea jamii kuwaona wao Kama hawako sawa kiakili na kupelekea watu Hawa kujitahidi kili iwezekanavyo kuwa kwepa watu au jamii..


Hivyo basi mtu yeyote yule ambaye anajipambanua yeye mwenyewe kuwa ana uwezo mkubwa wa kiakili na kutwa kujiingiza kwenye tumijadara kwa kutaka kujionyesha uwezo wake wa kiakili, na pengine kutoa majibu ya "wewe/nyie hujui/hamjui au huna/hamna akili WATU HAWA KIUHARISIA HAWANA UWEZO MKUBWA WA AKIL bali wana matatizo ya kisaikolojia yanayopelekea kujikuta wakijaribi kwa kutumia nguvu nyingi sana (bila wao kujijua) kujionyesha wao ni watofauti hasa kwenye suala zima la kufikiri na uwezo wa kiakili


all genius people have/will never engage in any debate to prove their intelligence capacity

Hawa Ni wale wajinga wenzetu tu
 
Stupid a*** **le
Stop misleading people

Soma hii 👇labda itakufungua macho.​

PROOF! The COVID-19 ‘Comedy of Errors’ was really a “Tragedy by Design”​

Posted on June 11, 2020 byState of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

G. Corona Virus, by JD Hall


”CDC admitted they screwed up COVID19 infection counts and intentionally misled the public and have apologized, clarifying that the amount of people truly infected is much lower than what was originally reported — an error so egregious it made the director of the Harvard Global Health Institute say “how could the CDC make this mistake? This is a mess.
The American Coronavirus Task Force also admitted to fudging the National COVID19 death count when Dr. Birx said the deaths are people who died “with” COVID19 not “from” COVID19, thus making the real death count much lower than what is currently being reported.
Dr. Anthony Fauci admitted masks won’t help against the virus and mask manufacturers are now including warnings that their products do not deter COVID19.
Fauci also said that continuing to close the country could cause irreparable damage.
CDC backtracked their initial claim that led governors to shutdown their states & clarified that COVID19 does not spread easily on surfaces.
Governor of New York Andrew Cuomo confirmed a recent health study showing that 70% of new infections actually originate at home, thus making stay at home orders one of the most dangerous mandates currently in place.
Trump stopped funding the WHO and threatened to cut off money permanently until they can prove they are no longer corruptly influenced by communist China after they lied to our country about human to human transmission of COVID19 in January.
The curve is flattened, the CDC, WHO, Dr. Fauci, our governors, and many more were completely wrong about the potential threat of this virus.
Even California is opening up sooner than anyone expected because the evidence contradicts the long standing and inaccurate narrative still upheld by the extremely dishonest & corrupt media.
If you are still living in fear, don’t be. The media, global organizations, the government, and its agencies “mislead” the public.
People called those of us who knew this all along conspiracy theorists, but it turns out we were just following the facts!
Open up your businesses, churches, and homes. Don’t fall for the lies any longer. If you fell for the lies this time, wake up and join the army of truth seekers fighting on the front lines.
The #CDC just confirmed a 0.2% death-rate for #COVID19
For that, we have:

• Added nearly 6 trillion to national debt
• Laid-off or furloughed 50 million workers
• Placed 60 million on food stamps
• Gone from 3.5%to 14.7% unemployment
• Crippled the petroleum industry
• Ruined the tourism industry
• Bankrupted the service industry
• Caused an impending meat and protein crisis
• Threatened, fined, and arrested church leaders
• Exacerbated mental health problems
• Shut down schools and colleges
• Given unbridled power to unelected officials
• Increased suicides higher than COVID deaths
• Delayed surgeries and treatments for profound illnesses
• Infringed upon countless important civil liberties
• Placed 300 million Americans on house arrest​

These consequences are largely due to two things:
• The first is our view of government as a god that can control Providence and plagues. In our hubris, we increasingly view the government as a deity who can stop acts of nature.
• The second is our sniveling, 21st-century commitment to safety. Our desire to be “safe” ruined our fiscal, physical, medical, food, energy, and national security.
Unfortunately there is no vaccine for cultural fragility.
 
Wazungu wangetaka kutuangamiza hata wewe usingezaliwa ungekuta tumeshakwisha long time, hapo unatumia Technolojia yao computer au simu zingeshatumaliza siku nyingi, acheni akili za vita ya Maji Maji hadi leo.

Chanjo ije mwenye kutaka apewe asiyetaka aache. Mbona tunapokea dawa zao za kufubisha HIV Virus
 
Stupid propaganda


Nifanye propaganda kuhusu C-19 nipate faida gani mkuu, mbona sipati chochote.Mimi ninacho-fanya hapa ni kutoa elimu tu,ili kila mtu afanye maamuzi from an informed position.So you want to tell me that the mainstream media ndio sio propaganda,really?Are you so misinfrmed.Are you mind controlled that much?

Inasikitisha sana.
 
Chanjo Tanzania haiji, lazima mlindwe hata vilaza kama ninyi.
Your browser is not able to display this video.
 
Wanazingua sana. Polio ilifutika duniani kote isipokuwa Nigeria na India kwasababu ya upuuzi kama huu.
 

Siri ya Chanjo, mbegu za GMO, kampeni za haki za watoto, wanawake nk ni nadra sana kwa wengi kufahamu maangamizi yake.

Mimi sichanjwi wala kuchanja mtoto wangu. Napinga kwa kauli na vitendo yote hayo
 
Siri ya Chanjo, mbegu za GMO, kampeni za haki za watoto, wanawake nk ni nadra sana kwa wengi kufahamu maangamizi yake.
Mimi sichanjwi wala kuchanja mtoto wangu. Napinga kwa kauli na vitendo yote hayo
Asante mkuu,ufahamu wako ni wa juu sana.Let's join hands in exposing the works of the Devil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…