Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu. Pambana ukishinda utanambia. Unataka kushindana na mlima??Ni jipu upuuzi,kuna hoja gani hapo,mbona hakuna.Mkuu umesahau kale kamsemo ka Kingereza kanakosema,"foolish answers for foolish questions?"
Only a loonatic under a demonic spell or a mindcontrolled individual kama wewe can take the jab.Washenzi tu na ushamba wao. Mimi mwenyewe hapa Tz nimechanja toka Juni 10. Na sina tatizo lolote. Wapuuzi hawa wa mwendazake
Thanks mkuu.Sina haja ya kushinda,nataka tu watu wafanye maamuzi from an informed position,sio kuingizwa chaka.
Hii taarifa tukubaliane ni speculation tu haipo kwenye main stream media kiufupi ni hoax tu wala hakuna hyo kesi mahakama yoyote ile ujerumani.
Anyway nachotaka kufahamu mkuu ulitaka nini kifanyike? No vaccine then what? Whether ugonjwa umetengenezwa or not ulikua unatarajia wakae tu mpka wafe wote? Coz hii nguvu unayotumia kupinga chanjo ni kana kwamba you have a better alternative to recommend.
Waliokufa baada ya chanjo ni kma watu 100 tu kati ya kila watu zaidi ya 100 Million waliochanjwa. So unaweza ona ni kma tone tu la damu baharini.Je mkuu ukipigwa chanjo hutokufa?
Kama kweli umechanja na unaficha athari unazopambana nazo, ni mbinafsi.Washenzi tu na ushamba wao. Mimi mwenyewe hapa Tz nimechanja toka Juni 10. Na sina tatizo lolote. Wapuuzi hawa wa mwendazake
Pamoja ya chapisho na taarifa unazobandika humu, kuna vichwa maji kuelewa. Athari za muda mrefu hazijathibitishwa na aliyedungwa anadai ati hana tatizo lolote, du!Only a loonatic under a demonic spell or a mindcontrolled individual kama wewe can take the jab.Mkuu nakupa a maximum of only 3yrs you will be no more.Usijifariji,hiyo sio chanjo,it is a genocidal tool.
Waliokufa baada ya chanjo ni kma watu 100 tu kati ya kila watu zaidi ya 100 Million waliochanjwa. So unaweza ona ni kma tone tu la damu baharini.
Kuna rafiki yangu alikua na kisukari akawa anatumia Insulin zilimkataa so badala ya kumsaidia zilikuwa zinammaliza kabisa hadi ikabidi aache tu akahamia kwa tiba tofauti. So sio kila dawa inakua compatible na kila mwili.
Na hii sio kwa chanjo tu bali vyakula, sabuni, maji, mazingira, ila huwezi sema insulin ipigwe marufuku kisa tu manusura imuue rafiki yangu yule.
Chanjo ina mafanikio kuliko hasara
Mtashindana lakini hamtashindaKama kweli umechanja na unaficha athari unazopambana nazo, ni mbinafsi.Pamoja ya chapisho na taarifa unazobandika humu, kuna vichwa maji kuelewa. Athari za muda mrefu hazijathibitishwa na aliyedungwa anadai ati hana tatizo lolote, du!
Paper nilizopost hapa ni za kutoka EMA, sio kwa madaktari wa uchochoroni!!! Ziko verified na peer reviewed.Nakubaliana na hoja zako kwa kuwa kimsingi ni za kisayansi. Mada kuu inahusu uwezo na ufanisi wa chanjo za C-19. Kama kuna machapisho kuhusu hoja yangu, kwenye "journal" za tiba, ITAPENDEZA ukiziweka hapa.
Hivi zitto junior kweli hujui marekani ni nani kiroho? na kama unawajua unazani ni kweli ni watu wakuwa trusted? Yaani ukishajua marekani ni nani kiroho, utaelewa nini kinaendelea kuhusu corona.Paper nilizopost hapa ni za kutoka EMA, sio kwa madaktari wa uchochoroni!!! Ziko verified na peer reviewed.
Huyu most likely ni "sleeper agent" wa CIA mkuu,tunao wengi sana Tanzania na hata humu JF,kwa hiyo sishangai sana.Kama kweli umechanja na unaficha athari unazopambana nazo, ni mbinafsi.Pamoja ya chapisho na taarifa unazobandika humu, kuna vichwa maji kuelewa. Athari za muda mrefu hazijathibitishwa na aliyedungwa anadai ati hana tatizo lolote, du!
Uliyoandika hapa ni upuuzi ambao ndio wanaozungumza pia watesi wako.Ni ajabu kwamba una unga mkono watu wanaopanga kukua.You must be a loon,mind controlled or under a demonic spell.Si amini kwamba yupo mwanadamu leo anaye weza kudiriki kupigia chapua sumu hii inayoitwa kiunafiki kabisa chanjo.Waliokufa baada ya chanjo ni kma watu 100 tu kati ya kila watu zaidi ya 100 Million waliochanjwa. So unaweza ona ni kma tone tu la damu baharini.
Kuna rafiki yangu alikua na kisukari akawa anatumia Insulin zilimkataa so badala ya kumsaidia zilikuwa zinammaliza kabisa hadi ikabidi aache tu akahamia kwa tiba tofauti. So sio kila dawa inakua compatible na kila mwili.
Na hii sio kwa chanjo tu bali vyakula, sabuni, maji, mazingira, ila huwezi sema insulin ipigwe marufuku kisa tu manusura imuue rafiki yangu yule.
Chanjo ina mafanikio kuliko hasara
Hii figure umeitoa wapi? Unaweza tupa source?Figures provided by the CDC shows that 9,000 plus people in the US alone have died as of Friday last week,10th July,2021
Chanjo ipi specifically? Nimeweka paper hapo juu ina monitor zaidi ya chanjo nane ni ipi hyo imeua zaidi ya watu 5? Tupe na chanzo maana so far hizo deaths sio vaccine-related bali changamoto za kimwili alizonazo mteja.hii:chanjo ikisababisha 5 deaths is recalled for more research,
Sadly this is true..... Chanjo imekua effective kuliko njia zote zilizotumika kupambana na Covid 19. Labda ulitaka waache wawe wanakufa tu kma zamani mpka elfu 3 kwa siku?? Huoni mabadiliko??Hata hivyo bado tunaambiwa its' benefits outweighs its side effects
Is it mainstream media?? Misinformation zipo nyingi so umakini ni muhimu sanaUpdates:
You need to view this clip to see how evil humans have become.These are new revelations with regards to C-19.Don't miss this,it will equip you with the right C-19 knowledge.
This is science real science mkuu,hakuna misinformation hapo. Kwanza unapata faida gani ukitahadharisha watu kuhusu ubaya wa C-19 jab,mbona hakuna.Is it mainstream media?? Misinformation zipo nyingi so umakini ni muhimu sana
Mkuu zitto junior, jibu la Mathanzua lina busara zaidi kuliko ubishi wako. Kisayansi ya tafiti za tiba (medical research), "marginal error, (p)" ya tiba yoyote lazima iwe "p<0.05".Is it mainstream media?? Misinformation zipo nyingi so umakini ni muhimu sana