Me namuuliza anahitaji ushahidi Gani, maana ushahidi wa kifo me najua ni cheti Cha kifo kwahiyo ndo anavitaka vyeti vya marehemu nipost hapa au sijaelewa?
Anataka link ambayo ime-dococument hivyo vifo kwa kuwa haiwezekani iwe kwamba wewe umeona vyeti vya vifo vya hao watu walio-kufa kwa Covid.
Hata hivyo hiyo link lazima iwe ya kuaminika na isiwe na conflict of interest.Kwa mfano BBC sio a reliable source of information for Covid deaths,kwa kuwa ina conflict of interest.
Mkuu his demand is genuine,na kama huna link yeyote nyamaza.
Anataka link ambayo ime-dococument hivyo vifo kwa kuwa haiwezekani iwe kwamba wewe umeona vyeti vya vifo vya hao watu walio-kufa kwa Covid.Hata hivyo hiyo link lazima iwe ya kuaminika na isiwe na conflict of interest.Kwa mfano BBC sio a reliable source of information for Covid deaths,kwa kuwa ina conflict of interest.
Mkuu his demand is genuine,na kama huna link yeyote nyamaza.
Hahaha waga unafurahisha sana ndugu yangu, hivi wewe ma Link unayoletaga humu waga kuna ata moja ya kuaminika? Au waga unayaokota okota Tu huko unakuja kujaza server humu

Weka utafiti wako hapa tupe link.
Tunavyoambiwa hizo chanjo tafiti zimefanyika hata kwa binadamu ambao walijitolea na kulipwa wengine walikufa na waliokufa walichunguzwa kwa nini walikufa na ma boresho yakafanyika.
Sasa wewe una " compare" document za mtandaoni una linganisha doc na doc huo utafiti wako wa kina ebu tujuze kidogo maana wewe unasema umefanya kwa kina, pls tell us what makes you think you are smarter than all the scientist in the world combined.
To me it seems you are so scared of DEATH, of course death is a subject which makes many folks uncomfortable to talk about including myself,but my advice to you is pls prepare yourself to meet your Maker while your still strong and healthy( after all it is God who gives us the grace to be healthy ) , so when Mr D comes knocking on the door of your heart you will be at peace, knowing your are going home, so you will not be so scared & paranoid about Death.
Hapo haijalishi kifo kitakujaje, we jipange sawa tu mwiba tu unauwa.
As for me I belong to Jesus, I don't have to worry that much, in fact I have been commanded not to worry all. Mathew 6;25-34
Weka utafiti wako hapa tupe link.
Tunavyoambiwa hizo chanjo tafiti zimefanyika hata kwa binadamu ambao walijitolea na kulipwa wengine walikufa na waliokufa walichunguzwa kwa nini walikufa na ma boresho yakafanyika.
Sasa wewe una " compare" document za mtandaoni una linganisha doc na doc huo utafiti wako wa kina ebu tujuze kidogo maana wewe unasema umefanya kwa kina, pls tell us what makes you think you are smarter than all the scientist in the world combined.
To me it seems you are so scared of DEATH, of course death is a subject which makes many folks uncomfortable to talk about including myself,but my advice to you is pls prepare yourself to meet your Maker while your still strong and healthy( after all it is God who gives us the grace to be health ) , so when Mr D comes knocking on the door of your heart you will be at peace, knowing your are going home, so you will not so scared & paranoid about Death.
As for me I belong to Jesus, I don't have to worry, 'cause Jesus said
Kwanza nikukanushe,I am not afraid of death, ila sitaki kufa kijinga.Nijiingize kichwa kichwa mahali ambapo ni wazi kuna hatari,no way.
Pia nikukanushe kwa usemi wako kwamba mimi najiona I am the smartest guy.I do not believe I am the smartest guy hapana.Tuko uncomprized,independent scientists wengi worldwide, who do not buy the fake narrative of the Covid Disease and Vaccines.Infact there is already a Court indictement by Doctors,other scientists and Lawyers(follow link below),of all those responsible for the Covid con.
Halafu naomba Niseme hivi mkuu,nitakuwa mjinga sana kujiweka kwenye mdomo wa Simba huku nikijua kwamba atanila,sipashwi kumjaribu Mungu in any way.It is obvious through even common sense,that the so called Covid Disease is fake.Kwa hiyo to me kuchomwa the Covid killer shot ni kumjaribu Mungu,and I am not prepared to do that at any cost.Na je,hatupaswi kumwamini Mungu kwa uponyaji wetu badala yake tunaamini mkono wa Shetani?The Covid shot is an idol.
Mkuu nimefanya Utafiti wa kina sana kuhusu Covid,na bado naendelea.Kila scientific information ninayopata naiweka hapa⬇️,ili kuwa alert watu juu ya ubaya wa the so called Covid Vaccines,which I call killer shots.Wanao-nielewa wananielewa,wasio-nielewa wamekufa na wengine wameathirika vibaya,ninao hata ndugu zangu wa karibu sana.Nimehakikisha kwa kutumia utaalamu wangu,experience ya wataalamu wengine na utafiti wa wataalamu wengine,repeatedly and na nime-hakikisha beyond any reasonable doubt, that the whole mainstream media and Western political narrative about Covid is fake.
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...

Wakurochi sio lazima information available iwe yangu binafsi,jambo la msingi ni kwamba ipo and we can use it.Naomba nikufahamishe kwamba hata kutafuta scientific information from other scientists ni utafiti!
Elimu niliyo au uliyo nayo kama unayo,umepewa na Professors and Lecturers au waalimu ambao nao wameipata from various publications and sources,na hizi sources,sio lazima ziwe their own.

Basi usingesema wewe hukurupuki na kwamba umefanya utafiti wa kina,
kwa ujumla ulichofanya ni totally misleading, you want all JF partners to believe that you are the expert in the field in question and the sole source of the information published herein. Bro, hiyo haiko sawa pls.
unataka sisi wote tukubaliane na " Your Findings. Hio sio sawa,
Ungesema ume piga chabo material ya watu wengine mbali mbali kwenye net or elsewhere na umeyachunguza kwa kina na umeona yana " make sense" na umekuja na conclusion kwamba hizi vaccines hazifai blah bla blahhh.
Hata mimi kwa taarifa yako sipendi chanjo. Ila mimi mtazamo wangu ni from a different angle, it's more spiritual.
Mimi kama mlokole naamini kabisa kuna something demonic about this Covid thing, but I cannot prove it through research and publish my findings here. I also believe there is more to come hii ni trailer.
Siwezi kuamua sasa kupiga sound na kuanza kuwaaminisha watu wengine
simply beacause I cannot prove it, so i prefer to keep my information to myself though i do believe I am not alone having such beliefs. Pamoja na hayo nimechanja.
Kwanini nimechanja sio mada ya hapa ubaoni.
Basi usingesema wewe hukurupuki na kwamba umefanya utafiti wa kina,
kwa ujumla ulichofanya ni totally misleading, you want all JF partners to believe that you are the expert in the field in question and the sole source of the information published herein. Bro, hiyo haiko sawa pls.
unataka sisi wote tukubaliane na " Your Findings. Hio sio sawa,
Ungesema ume piga chabo material ya watu wengine mbali mbali kwenye net or elsewhere na umeyachunguza kwa kina na umeona yana " make sense" na umekuja na conclusion kwamba hizi vaccines hazifai blah bla blahhh.
Hata mimi kwa taarifa yako sipendi chanjo. Ila mimi mtazamo wangu ni from a different angle, it's more spiritual.
Mimi kama mlokole naamini kabisa kuna something demonic about this Covid thing, but I cannot prove it through research and publish my findings here. I also believe there is more to come hii ni trailer. Siwezi kuamua sasa kupiga sound na kuanza kuwaaminisha watu wengine

Kumbe ndio maana umekuwa mkali sana irrationaly kuhusu mada hii,pole.I can only say you did not take time to think properly.
How do you accept something ambacho hata serikali yenyeywe ilikuwa na mashaka nacho,something which not enough research has been carried out,something which even test animals died?
You nailed it!Mada imemchoma kwa kuwa kachanja,hamna lolote,na kama na wewe umechanja pole.Serikali imekuambia kama ukipata matatizo shauri yako,na wewe unachanja,how stupid!
Lakini hata hivyoo,kwani information yote tunayo ijua sisi ndio originators,basi kusingekuwa na haja ya kwenda shule,au hata kusoma books,journal nk.We learn from others,that is the essence of knowledge.So niamini only my own field,medical research work only,yatakuwa maajabu basi,na hiyo sio Dunia ya wasomi ninayoijua,we share knowledge.
Naona mnatiana moyo,poleni sana,hamkutumia busara,mngesubiri mpate taarifa ya kutosha,mmekurupuka!You wasn't well informed about the so called Vaccine.
A team of Bill-Gates linked research scientists have announced they are developing a needle-less vaccine that spreads itself like a virus, meaning people will “catch” the vaccine like they would a cold or flu, without the need for needles and injections.The research is being subsidised by high-profile funding organisations, including the U.S. National Institutes of Health (NIH), which has longstanding financial ties to the Bill & Melinda Gates Foundation.
The drive to develope self-spreading vaccines is not without controversy. The DHSC paper notes: ‘Self-spreading vaccines are less lethal but not non-lethal: they can still kill.Some people will die who would otherwise have lived, though fewer people die overall,they argue.
The other issue is there is no consent (for vaccination) from the majority of people.But some ethics experts say there are parallels for ‘treating’ mass populations for public health issues without first getting individual consent.For example, the fluoridation of mains drinking water to prevent tooth decay already happens in some parts of the UK and the Government is considering extending it to all of England."Nobody is asked whether they give consent, even those who disagree with it,"says Professor Dominic Wilkinson, a medical ethics specialist at Oxford University. "Instead, we entrust elected officials to examine the likely health benefits and make decisions based on the evidence."
"I don’t think that there is anything intrinsically different when it comes to the idea of self-spreading vaccines," he says.
However, some scientists have serious misgivings about the risk that weakened viruses could mutate into a more potent form once they are free to spread in the population.
Dr Filippa Lentzos, a senior lecturer in science and international security at King’s College London, warns of a danger that the science behind self-spreading vaccines could be hijacked to make biological weapons.
‘Such a self-spreading weapon may prove uncontrollable and irreversible,’ she says.
And Professor Jim Bull, an infectious diseases expert at Idaho University who monitors developments in transmissible vaccines, told Good Health: ‘The big hurdle right now is knowing whether we can make them.’
The Department of Health and Social Care told Good Health that no trial for a self-spreading vaccine ‘would take place without undergoing stringent regulatory and ethics approval’.
Updates:
Niliona hii article somewhere.It's funny but tells it all about the Covid-19 so called disease and vaccines.
👇👇👇👇👇👇👇👇
Nashukuru Kwa Ujio wa Vita ya Ukraine na Urusi..Hatusikiii Watu Wanakufa Kwa Corona Tena...
UdakuspeciallyMar 11, 2022Soma halisi
NANUKUU.
"Ndio nashukuru kwa ujio wa kichapo Kati ya Ukraine na Russia, Tena isiishe mapema ,ikiwezekana na Marekani aingie na China pia aingie mzigoni ,unajua kwa Nini?
Kwa hii Vita kuja ,hivi Sasa hakuna watu wanaokufa na covid 19 Tena.
Kwa ujio wa Vita hii, hatuimbiwi mapambio ya twende tukachanje Tena, angalau Sasa tunapumua na kero za machanjo feki.
Kwa ujio wa Vita hii, hata wadau wa afya, yaani manesi wamepumzika na ile kazia ya kuzurura mtaani na madeli ya chanjo ya covid 19, utadhani wanauza ice cream au barafu.
Kwa ujio wa hii Vita, hatusikii Marekani akiendelea na propaganda ya kutoa misaada ya chanjo ya covid 19 Tena. he he he teh teh teh, mwisho wa usanii huwa ni aibu.
Kwa ujio wa hii Vita, tumeokoa pesa zetu za maandazi, tulizokuwa tukiibiwa na nchi za ughaibuni kwa kuuziwa michanjo yao feki, mwisho wa siku wao wanakula pakubwa ,na sisi tunakula padogo, kiufupi tulikuwa tunapigwa mchana kweupeee!!
Kwa ujio wa hii Vita, afya za watu duniani kote dhidi ya covid zimeimarika ghafla teh teh teh teh.
Ngoja niishie hapo. Vita na iendelee Covid 19 itokomee kabisaaa''
You nailed it!Mada imemchoma kwa kuwa kachanja,hamna lolote,na kama na wewe umechanja pole.Serikali imekuambia kama ukipata matatizo shauri yako,na wewe unachanja,how stupid!
Lakini hata hivyoo,kwani information yote tunayo ijua sisi ndio originators,basi kusingekuwa na haja ya kwenda shule,au hata kusoma books,journal nk.We learn from others,that is the essence of knowledge.So niamini only my own field,medical research work only,yatakuwa maajabu basi,na hiyo sio Dunia ya wasomi ninayoijua,we share knowledge.
Naona mnatiana moyo,poleni sana,hamkutumia busara,mngesubiri mpate taarifa ya kutosha,mmekurupuka!You wasn't well informed about the so called Vaccine.
Me Bado sijachanja mkuu kulingana na mazingira niliyopo kwahiyo Siwezi kumbeza mtu aliechanja au kumwita amekurupuka eti kisa me sijachanja, mtu amechanja kwa sababu anajua anachokifanya
Na kwa maelezo Yako sidhani kama kuna mtu mwenye Akili timamu ataacha kuchanjwa eti kisa kasoma uzi wako, Labda familia Yako tu maana inawezekana ukawa na full control, hapa hakuna information ya uhakika ata Moja ambayo umeweka humu kama proofs ya hizi unazoita tafiti
Anyway, Unasema watu wangesubiri wapate uhakika wa hiyo chanjo, vipi ulisubiria Kwa muda gani kupata uhakika wa chanjo ya homa ya maini mkuu? Vipi chanjo za uzazi za wakina mama? Chanjo Za watoto wako je?
Utawapata watu wasioelewa chochote kuhusu Afya maana kwenye population ya watanzania huwezi kuondoka patupu, kama mfalme Zumaradi ana wafuasi wake ije kuwa sembuse wewe Mkuu, we endelea kuwashushia nondo wafuasi wako mkuu na All the best

Hii sio kweli Mkuu👉Mtu amechanja kwa sababu anajua anachokifanya👈The truth is hajui analolifanya na yuko misinformed.Utakubalije kufanywa a test animal;Utakubalije kuingiziwa dawa mwilini mwako ambayo haijafanyiwa utafiti wa kutosha,huku ukiwa umeambiwa wazi yatakayokupata utajua wewe;
Utakubalije kuingiziwa mwilini mwako dawa ambayo hujapewa taarifa zake za kutosha kuhusu athari za muda mfupi na mrefu;Utakubalije kuingiziwa mwilini mwako kitu ambacho hata CEOs wa makampuni yanayotengeneza hawatumii,halafu eti unasema anajua anachokifanya,hajui!
Hii sio kweli Mkuu[emoji117]Mtu amechanja kwa sababu anajua anachokifanya[emoji118]The truth is hajui analolifanya na yuko misinformed.Utakubalije kufanywa a test animal;kuingiziwa dawa mwilini mwako ambayo haijafanyiwa utafiti wa kutosha,huku ukiwa umeambiwa wazi yatakayokupata utajua wewe;Utakubalije kuingiziwa mwilini mwako dawa ambayo hujapewa taarifa zake za kutosha kuhusu athari za muda mfupi na mrefu;Utakubalije kuingiziwa mwilini mwako kitu ambacho hata CEOs wa makampuni yanayotengeneza hawatumii,halafu eti unasema anajua anachokifanya,hajui!
Kuna maswali nimekuuliza mkuu, ulijipa muda gani kwenye Chanjo ya Homa ya Maini? Chanjo za uzazi za Wanawake? Chanjo za watoto wako?
Au labda nikuulize bwana mbobezi, hivi Chanjo ambayo wewe hujaridhika nayo ni hii hii ya COVID-19 tu au Kuna ingine? Kama ipo ni ipi mkuu na kama hakuna Kwanini hakuna?

Chanjo zote zina madhara mkuu.Hizi zinazoitwa chanjo za C-19 sio chanjo,ni Genome Altering Therapies,DNA Altering Therapies/Technologies, Microsoft Windows 666mRNA Operating System,Graphene Oxide Nanoparticle 5G Activatable Systems and more.
Mkuu vaccines especially C-19 jabs,ni simply too dangerous for human use.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.