Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Katika kila jamii lazima kuna watu watatoka na kuwa na mawazo tofauti ila haamanishi wako sawa, kuandama watu wachache wala sio issue tunaona tu haya sababu wanaruhusu kuandamana hata hapa kwetu ukiruhusu watu waandamane kuonyesha misimamo yao kwa amani utaona mengi tu tunapingana. Mimi sijashauri wala siungi mkono lockdown nachopinga ni kiongozi mkuu kuzungumza kwa dhana na kutoa shutuma za dhana huna ushahidi na unajuwa wako watu wako wengine wanakubali chanjo sasa kutoka katika jukwaa unaongea kwa dhana tu au imani yako unakuwa unakosa. Mimi nakuahidi chanjo zitapigwa kila sehemu hakuna wakukataa na kukataa ndio umeingiza nchi katika majanga ya aibu utatengwa mpaka na majirani zako. Dunia hii imebadilika ni kama kitu kimoja inategemeana hao wa china ndio huwa tunakimbilia tu chanjo ipo. haya ni makubaliano wali sign nchi zote UN unataka kujitoa waende UN wajitoe ila tujifunge mikanda. Bora kuweka akiba ya maneno maana utakuja kuikubali chanjo kwa lazima kama kiongozi wa nchi itaonesha wewe ni dhaifu sio kama unavyojinadi. unavyokuwa umeingia katika mikataba ya kimataifa ni lazima uwe sehemu ya utekelezaji. Nyerere aliikataa kabisa IMF na WB lakini ilifika kipindi akaona hawezi tena kuendelea kukataa katika mabadiliko ikabidi aachie madaraka ampe Mwinyi atekelezee mikataba na IMF akiwa kama mwenyekiti wa CCM na mwanachama tu, ilikuwa ni lazima. Viongozi wetu wajifunze kwenye history, hatuna ubavu wa kupingana na dunia, majirani zetu wote wamekubali chanjo sisi ni nani?
Mkuu naomba nirudie,C-19 sio chanjo,ya Russia na China ni chanjo,kwa kuwa it uses the conventional vaccine technology of attenuated viruses.That is the one we should probably adopt,ingawa nayo ina shida,but not as serious as hii ya C-19 ambayo infact sio vaccine.It is infact a bioweapon against humanity.

Mkuu sikubaliani na wazo lako kwamba tuwe complacent,call a spade a spade,you only die once.Nimeseme tu kwamba haya maandamano ya Ulaya yanayoendelea ni sahihi kabisa.Nashangaa pia kwa nini unapigia chapua ujinga wa nchi za Magharibi wanaotufanyia.Don't you understand that it is shear evil against humanity.Utamchekeaje mtu anayekufanyia uovu wa kiwango hicho?Inashangaza sana.

Huwezi kukubaliana na kitu ambacho unajua fika kwamba ni kibaya and wrong,that is not human nature.

Tutakataa hivyo chanjo,liwalo na liwe,kwa kuwa haina nia njema kwetu.Mimi for one nimesema no,hata kama ikibidi kufa.Do you make sense out of this?!👇
 
Una ushahidi gani hii tofauti?? hata wakati polio inakuja maneno kama haya yalisemwa msipeleke watoto zenu wazungu wametia bla bla bla ujinga mtupu leo hii hatuwasikii tena kimya na chanjo zimeokoa watoto kwa mamilioni kuugua au kufariki kwa magonjwa yanayotibika. tuache kutishana bila kuwa na ushahidi. chanjo zenyewe wanaanza kujichoma wao kwa speed sisi tusibiri sana kwa misaada na kila mtu atachoma tu.

Ushahidi upo wazi huu ugonjwa formula yake ni Problem= Reaction= Solution. Vaccine gani inagunduliwa ndani ya miezi 9 bila kufanyiwa testing za long time effects katika mwili wa mwanadamu?

Chanjo ya polio ilichukua miaka 65 mpaka kutumika kwa wanadamu halafu hii mnatetea kwa utafiti wa miezi tisa ni Mimba hiyo shauri yako. Think

Na kinacho push hii chanzo ni Media kama bbc cnn na al jazeera ndo mnapotoa taarifa zenu kwani nyie ni wavivu kufanya research zenu kujiridhisha.

Chanjo sio jambo la mzaha ni kitu kinacho kaa na wewe ndani ya mwili wako maisha yako yote mpaka unakufa na pia hata watoto ukizaa watadhurika na hiyo chanjo inazunguka mwili mzima hadi kwenye via vya uzazi usikurupuke kukubali tuu kirahisi rahisi bila kuhoji.
 
Katika kila jamii lazima kuna watu watatoka na kuwa na mawazo tofauti ila haamanishi wako sawa, kuandama watu wachache wala sio issue tunaona tu haya sababu wanaruhusu kuandamana hata hapa kwetu ukiruhusu watu waandamane kuonyesha misimamo yao kwa amani utaona mengi tu tunapingana. Mimi sijashauri wala siungi mkono lockdown nachopinga ni kiongozi mkuu kuzungumza kwa dhana na kutoa shutuma za dhana huna ushahidi na unajuwa wako watu wako wengine wanakubali chanjo sasa kutoka katika jukwaa unaongea kwa dhana tu au imani yako unakuwa unakosa. Mimi nakuahidi chanjo zitapigwa kila sehemu hakuna wakukataa na kukataa ndio umeingiza nchi katika majanga ya aibu utatengwa mpaka na majirani zako. Dunia hii imebadilika ni kama kitu kimoja inategemeana hao wa china ndio huwa tunakimbilia tu chanjo ipo. haya ni makubaliano wali sign nchi zote UN unataka kujitoa waende UN wajitoe ila tujifunge mikanda. Bora kuweka akiba ya maneno maana utakuja kuikubali chanjo kwa lazima kama kiongozi wa nchi itaonesha wewe ni dhaifu sio kama unavyojinadi. unavyokuwa umeingia katika mikataba ya kimataifa ni lazima uwe sehemu ya utekelezaji. Nyerere aliikataa kabisa IMF na WB lakini ilifika kipindi akaona hawezi tena kuendelea kukataa katika mabadiliko ikabidi aachie madaraka ampe Mwinyi atekelezee mikataba na IMF akiwa kama mwenyekiti wa CCM na mwanachama tu, ilikuwa ni lazima. Viongozi wetu wajifunze kwenye history, hatuna ubavu wa kupingana na dunia, majirani zetu wote wamekubali chanjo sisi ni nani?
Mkuu hatuwezi kukubali bullshit!Does this make sense to you at all?
 
Ushahidi upo wazi huu ugonjwa formula yake ni Problem= Reaction= Solution. Vaccine gani inagunduliwa ndani ya miezi 9 bila kufanyiwa testing za long time effects katika mwili wa mwanadamu?

Chanjo ya polio ilichukua miaka 65 mpaka kutumika kwa wanadamu halafu hii mnatetea kwa utafiti wa miezi tisa ni Mimba hiyo shauri yako. Think

Na kinacho push hii chanzo ni Media kama bbc cnn na al jazeera ndo mnapotoa taarifa zenu kwani nyie ni wavivu kufanya research zenu kujiridhisha.

Chanjo sio jambo la mzaha ni kitu kinacho kaa na wewe ndani ya mwili wako maisha yako yote mpaka unakufa na pia hata watoto ukizaa watadhurika na hiyo chanjo inazunguka mwili mzima hadi kwenye via vya uzazi usikurupuke kukubali tuu kirahisi rahisi bila kuhoji.
Corona sio ugonjwa mpya sababu data zilikuwepo na funds zimetolewa ndio maana, jiridhishe hapo chini kuhusu corona. Corona sio ugonjwa mpyaa.

SARS-CoV-2 is a member of the coronavirus family. According to the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, there are hundreds of coronaviruses — including four that can cause the common cold, as well as the coronaviruses that sparked the SARS, or severe acute respiratory syndrome, epidemic in 2002 and the emergence of MERS, or Middle East respiratory syndrome, in 2012.

Dr. Eric J. Yager, an associate professor of microbiology at Albany College of Pharmacy and Health Sciences in Albany, NY, told MNT that scientists have been studying coronaviruses for over 50 years. This meant scientists had existing data on the structure, genome, and life cycle of this type of virus.
 
Nadhani hili swali wangeulizwa wanaongoza nchi walioenda kusign haya makubaliano sio mimi. Je walikubali huu ujinga na kama wanaona ujinga sasa waoneshe jeuri kwenda kujitoa katika haya makubaliano.

Hata suala na kutangaza takwimu ni mambo ya makubaliano. uki sign kitu tekeleza au labda huwa tuna sign hatujui tuna sign nini? viongozi wanaotuongoza ndio wajibu wao.

Mimi nitabaki na maoni yangu binafsi naamini chanjo na science ya kitabibu.
 
Mkuu naomba nirudie,C-19 sio chanjo,ya Russia na China ni chanjo,kwa kuwa it uses the conventional vaccine technology of attenuated viruses.

That is the one we should probably adopt,ingawa nayo ina shida,but not as serious as hii ya C-19 ambayo infact sio vaccine.It is infact a bioweapon against humanity.

Mkuu sikubaliani na wazo lako kwamba tuwe complacent,call a spade a spade,you only die once.Nimeseme tu kwamba haya maandamano ya Ulaya yanayoendelea ni sahihi kabisa.

Nashangaa pia kwa nini unapigia chapua ujinga wa nchi za Magharibi wanaotufanyia. Don't you understand that it is shear evil against humanity.Utamchekeaje mtu anayekufanyia uovu wa kiwango hicho?Inashangaza sana.

Huwezi kukubaliana na kitu ambacho unajua fika kwamba ni kibaya and wrong,that is not human nature.Tutakataa hivyo chanjo,liwalo na liwe,kwa kuwa haina nia njema kwetu.Mimi for one nimesema no,hata kama ikibidi kufa.Do you make sense out of this?!👇
Kwa hali hiyo chanjo ya Pfizer na Moderna wanajichoma wao sababu ya gharama zake na storage zake changamoto huku kwetu nchi tajiri tu wamenunua hizi hazitakuja kwetu. tutaletewa hizi cha China na Russia ndio bei rahisi kama dola 4 na labda astrazeneca hii shot moja tu. kwa kauli yako kuwa zile chanjo za new tech ndio mbaya hizo haziji kwetu.

tutakuwa fine tu ila nakuhakikishia tutalazimishwa na tutachomwa na hawa hawa viongozi wanaokana leo watapanda majukwaani na kupigia kampeni hii chanjo watajifanya tu tumejiridhisha ila ukweli wameambiwa lazima. utanikumbusha siku haya maandiko.
 
Kwa hali hiyo chanjo ya Pfizer na Moderna wanajichoma wao sababu ya gharama zake na storage zake changamoto huku kwetu nchi tajiri tu wamenunua hizi hazitakuja kwetu. tutaletewa hizi cha China na Russia ndio bei rahisi kama dola 4 na labda astrazeneca hii shot moja tu. kwa kauli yako kuwa zile chanjo za new tech ndio mbaya hizo haziji kwetu. tutakuwa fine tu ila nakuhakikishia tutalazimishwa na tutachomwa na hawa hawa viongozi wanaokana leo watapanda majukwaani na kupigia kampeni hii chanjo watajifanya tu tumejiridhisha ila ukweli wameambiwa lazima. utanikumbusha siku haya maandiko.
Mkuu naomba uelewe,hata kama kiongozi wetu atalazimishwa na the Deep State au NWO kuchanja Watanzania, haina maana kwamba all of a sudden hizo chanzo ni nzuri.

Umesema "atalazimishwa," that is important,kwa kuwa inaonyesha kwamba hakubaliani na ujinga huo.Na ngoja niweke wazi, NWO hawatataka chanjo za China na Russia zije kwetu kwa kuwa wanajua athari zake ni kidogo,kwa hivyo watahakikisha zile za kwao ndizo zinazokuja kwetu ili wa-cause maximum damage.The C-19 bioweapon so called vaccine is made to kill and enslave before death.Naomba hata hivyo usisahau kwamba Africans ndio wa kwanza kwenye their genocide agenda.

Na as kuanzia chanjo ya the C-19 disease more deadly so called vaccine kwao,ni kwamba tulipiga kelele sana,ndio maana wakaona aibu. Hii ni strategy ya kutufanya sisi tuikubali.Watasema kama tumechanja watu wetu,na ninyi hamna sababu ya kuikataa,you have a moral duty to accept it.Lakini mwenye akili anaona,chanjo yenyewe na strategies zote walizoweka za ku-combut the so called C-19 disease are useless,infact they are extremely dangerous to human health.

Naomba pia niweke wazi,si kwamba the NWO wanaona whites are to be spared,no agenda yao ni moja for all of humanity,ila they dislike Africans more than any other race.

Heijah watu ni lazima watambue the sad reality,that the Deep State/NWO have nothing good for us,I repeat nothing,their intentions are perpetually evil towards us.Nia yao itabaki siku zote kutuibia resources,enslavement and domination,they will never change.Nashangaa watu wanaosema there are some good things from the West,hakuna!Ni umbu mbumbu.
 
Mkuu naomba uelewe,hata kama kiongozi wetu atalazimishwa na the Deep State au NWO kuchanja Watanzania,haina maana kwamba all of a sudden hizo chanzo ni nzuri.Umesema "atalazimishwa," that is important,kwa kuwa inaonyesha kwamba hakubaliani na ujinga huo.Na ngoja niweke wazi,NWO hawatataka chanjo za China na Russia zije kwetu kwa kuwa wanajua athari zake ni kidogo,kwa hivyo watahakikisha zile za kwao ndizo zinazokuja kwetu kwa kuwa malengo yao maovu yatatimia haraka kweli.Those are made to kill and enslave before death.Naomba hata hivyo usisahau kwamba Africans ndio wa kwanza kwenye their genocide agenda.

Na as kuanzia chanjo ya the C-19 disease more deadly so called vaccine kwao,ni kwamba tulipiga kelele sana,ndio maana wakaona aibu.Ni kwamba hii ni strategy ya kutufanya sisi tuikubali.Watasema kama tumechanja watu wetu,na ninyi hamna sababu ya kuikataa,you have a moral duty to acçept it.Lakini mwenye akili anaona,chanjo yenyewe na strategies zote walizoweka za ku-combut the so called C-19 are useless,infact they are extremely dangerous to human health.Naomba niweke wazi,si kwamba the NWO wanaona whites are to be spared,no agenda yao ni moja for all humanity,ila they dislike Africans more than any other race.

Heijah watu ni lazima watambue the sad reality,that the Deep State/NWO have nothing good for us,I repeat nothing,their intentions are perpetually evil towards us.Nia yao itabaki siku zote kutuibia resources,enslavement and domination,they will never change.Nashangaa watu wanaosema there are some good things from the West,hakuna!Ni umbu mbumbu.

Ziko nchi hazijawahi kuwa colonized lakini hali zao mbaya tu na ziko nchi zilikuwa colonized na wamepiga hatua sana na hiyo mifano ya nchi za Asia.

Sisi tukibaki na haya mawazo wanataka kutuibia hakuna mtu atakuja kuchukuwa kitu kwa nguvu ni biashara tu. Labda kweli wanatuchukia tuseme kweli kwani sisi ndio tunawapenda? tofauti tu wao wanatuchukia kimyakimya sisi tunasema wazi tu nakuwaita majina.

Beberu, sasa sisi tungeitwa majina tu hapa tungelalamika mpaka 2022. Nimesoma kitabu cha Mkapa, kasema kweli wakoloni hawaku invest katika public education ila missionaries ambao ni wazungu walifanya makubwa katika kuwapa elimu wana Tanganyika wakati huo. wana mazuri yao na wana mabaya yao kama sisi tu, hakuna mtakatifu.
 
Ziko nchi hazijawahi kuwa colonized lakini hali zao mbaya tu na ziko nchi zilikuwa colonized na wamepiga hatua sana na hiyo mifano ya nchi za Asia. Sisi tukibaki na haya mawazo wanataka kutuibia hakuna mtu atakuja kuchukuwa kitu kwa nguvu ni biashara tu. Labda kweli wanatuchukia tuseme kweli kwani sisi ndio tunawapenda? tofauti tu wao wanatuchukia kimyakimya sisi tunasema wazi tu nakuwaita majina. Beberu, sasa sisi tungeitwa majina tu hapa tungelalamika mpaka 2022. Nimesoma kitabu cha Mkapa, kasema kweli wakoloni hawaku invest katika public education ila missionaries ambao ni wazungu walifanya makubwa katika kuwapa elimu wana Tanganyika wakati huo. wana mazuri yao na wana mabaya yao kama sisi tu, hakuna mtakatifu.
Mkuu unawapigia watoto wa Shetani chapua, people who have sold their souls to Satan!

Mtu aliyeuza roho yake kwa Shetani hawezi kuwa mwema, he constantly thinks and does evil. Niseme ukweli huwajui the Deep State, ungewajua vizuri usingewapigia kabisa chapuo, they are so distasteful and evil.
 
Mkuu unawapigia watoto wa Shetani chapua,people who have sold their souls to Satan!Mtu aliyeuza roho yake kwa Shetani hawezi kuwa mwema,he constantly thinks and does evil.Niseme ukweli huwajui the Deep State,ungewajua vizuri usingewapigia kabisa chapuo,they are so distasteful and evil.
Mimi ukweli nime enjoy kujadiliana na wewe katika mambo ambayo hatubaliani labda na hii mimi kwangu ni positive tu hasa mkabishana bila watu kuvunjiana heshima. Maana hatuwezi kukubaliana kila kitu ila in constructive way.

Natamani baada ya matokea chanya katika chanjo nitakutafuta tena ku prove my point, huwezi juwa unaweza kukubaliana na mimi kwa kiasi fulani.
 
Corona sio ugonjwa mpya sababu data zilikuwepo na funds zimetolewa ndio maana, jiridhishe hapo chini kuhusu corona. Corona sio ugonjwa mpyaa.
SARS-CoV-2 is a member of the coronavirus family. According to the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, there are hundreds of coronaviruses — including four that can cause the common cold, as well as the coronaviruses that sparked the SARS, or severe acute respiratory syndrome, epidemic in 2002 and the emergence of MERS, or Middle East respiratory syndrome, in 2012.

Dr. Eric J. Yager, an associate professor of microbiology at Albany College of Pharmacy and Health Sciences in Albany, NY, told MNT that scientists have been studying coronaviruses for over 50 years. This meant scientists had existing data on the structure, genome, and life cycle of this type of virus.

Umeandika huu ugonjwa ulikuwapo inamanisha u a uelewa juu ya maginjwa Naomba kujua uelewa wako wa tofauti kati ya Virusi na bakteria
 
Umeandika huu ugonjwa ulikuwapo inamanisha u a uelewa juu ya maginjwa Naomba kujua uelewa wako wa tofauti kati ya Virusi na bakterHaya

Umeandika huu ugonjwa ulikuwapo inamanisha u a uelewa juu ya maginjwa Naomba kujua uelewa wako wa tofauti kati ya Virusi na bakteria
Haya sio maneno yangu wengi sisi kuja kisikia corona tunadhani ni kitu kimya. wachosema corona ni zaidi ya mia ila kuna hawa wanne ndio wanasababisha mafua na uwezo wa kupumua ndio wengine wale wa SAR wakati ule yote ni jamii moja sio kitu kipya haya unaweza kusoma sehemu yoyote. corona sio bacteria ni jamii ya virus toka miaka ya 60 huko mwanzo ilikuwa kwa wanyama miaka ya 60 pia ikaja kwa binadamu tatizo hili ni ugonjwa kurukia binadamu ila corona ni jamii kubwa ya virus ndio maana walikuwa na data zote za ki science. ndio maana hata test kit haikuwa shida sababu walikuwa wanatumia katika maabara yao ugonjwa kuanza testing haikuwa shida.

The earliest reports of a coronavirus infection in animals occurred in the late 1920s, when an acute respiratory infection of domesticated chickens emerged in North America.[16] Arthur Schalk and M.C. Hawn in 1931 made the first detailed report which described a new respiratory infection of chickens in North Dakota. The infection of new-born chicks was characterized by gasping and listlessness with high mortality rates of 40–90%.[17] Leland David Bushnell and Carl Alfred Brandly isolated the virus that caused the infection in 1933.[18] The virus was then known as infectious bronchitis virus (IBV). Charles D. Hudson and Fred Robert Beaudette cultivated the virus for the first time in 1937.[19] The specimen came to be known as the Beaudette strain. In the late 1940s, two more animal coronaviruses, JHM that causes brain disease (murine encephalitis) and mouse hepatitis virus (MHV) that causes hepatitis in mice were discovered.[20] It was not realized at the time that these three different viruses were related.[21][13]

Human coronaviruses were discovered in the 1960s[22][23] using two different methods in the United Kingdom and the United States.[24] E.C. Kendall, Malcolm Bynoe, and David Tyrrell working at the Common Cold Unit of the British Medical Research Council collected a unique common cold virus designated B814 in 1961.[25][26][27] The virus could not be cultivated using standard techniques which had successfully cultivated rhinoviruses, adenoviruses and other known common cold viruses. In 1965, Tyrrell and Bynoe successfully cultivated the novel virus by serially passing it through organ culture of human embryonic trachea.[28] The new cultivating method was introduced to the lab by Bertil Hoorn.[29] The isolated virus when intranasally inoculated into volunteers caused a cold and was inactivated by ether which indicated it had a lipid envelope.[25][30] Dorothy Hamre[31] and John Procknow at the University of Chicago isolated a novel cold from medical students in 1962. They isolated and grew the virus in kidney tissue culture, designating it 229E. The novel virus caused a cold in volunteers and, like B814, was inactivated by ether.[32]
 

Updates:​

MUST READ! “The mRNA VACCINE IS THE PERFECT BIOLOGICAL WEAPON” — Dr. Lee Merritt

Posted on January 30, 2021by State of the Nation

Bio-warfare & Weaponization of Medicine Amid Covid


TRANSCRIPT follows of this Critical Video: THE PERFECT BIOLOGICAL WEAPON

Dr. Lee Merritt: So, let me point out, we have never made it through an animal study successfully for this type of virus. We have never done this in humans before, at least we haven’t, maybe the Chinese have. I’ll talk about that in a second but we don’t really have a track record of success.

This vaccine was rolled out to distribution centers before they even made a show of caring about FDA approving it. Do you realize it went out for distribution? In Nebraska it was in the distribution center within days before the FDA said they were going to approve it. What?

Alex Newman [AN]: Do you get the sense that medicine is being weaponized against our freedom, and that this coronavirus is being used to trample our rights? You’re not alone. We have a very special guest her name is Dr. Lee Merritt. In brief, Dr. Merrick started her medical career at age four doing house calls with her father.
Dr. Lee Merritt: In 1980 graduated from the University of Rochester School of Medicine and Dentistry in New York, where she was elected to life membership in the Alpha Omega Alpha Honor Medical Society.

Dr. Merritt completed an Orthopaedic Surgery Residency in the United States Navy and served 9 years as a Navy physician and surgeon before returning to Rochester, where she was the only woman to be appointed as the Louis A. Goldstein Fellow of Spinal Surgery.

Dr. Merritt has been in the private practice of Orthopaedic and Spinal Surgery since 1995, served on the Board of the Arizona Medical Association, and is past president of the Association of American Physicians and Surgeons.
She has had a long interest in wellness and fitness, and has been Fellowship Certified by the American Academy of Anti-Aging Medicine. At age 63 she won a female bodybuilding championship in Physique class.

As a lifelong advocate of free market, patient-centered medicine Dr. Merritt had the opportunity to appear on the John Stossel show to speak against Obamacare. More recently she has appeared on numerous radio programs discussing Covid-19, the futility of mask mandates, and other lies and omissions from the medical “technocrats”. Her recent speech at Doctors for Disaster Preparedness on “Sars-CoV2 and the Rise of Medical Technocracy” has been widely viewed on YouTube, and forwarded on by Dr. Mercola—one of her medical heroes.

She is married and the proud mother of two sons, one of whom carries on the four generation medical tradition as a General Surgeon, and the other with a real job as an Electrical Engineer. In her spare time, Dr. Merritt raises chickens, gardens and enjoys a rural Midwest lifestyle.

https://drleemerritt.com
AN: Tell us your thoughts on covid and how it seems like the perfect excuse to take our rights, shut down our businesses, destroy our economy, overrule our personal bodily integrity. Now, they’re talking about a mandatory vaccines. What are your thoughts on this covid? Does the virus really justify the level of hysteria we’ve seen, and the massive expansion of government power we’ve seen?

DR: The simple answer is no it does not, and when I gave my talk in August at the Doctors for Disaster Preparedness, the talk was ‘SARS-COV 2 and the Rise of Medical Technocracy’I had come up with an idea years before that. Literally I had started thinking about a talk for them a couple years earlier because I go to the meetings periodically, and my talk was on theweaponization of medicine. The problem is by the time I actually was ready to give the talk I had to change things so rapidly because they already did it.
I believe we’re at war, we’re in an unconventional, unrestricted war, the kind that the military Chinese generals talked about 30 years ago, and I’m not saying this is just coming from China but that’s the approximate militarization of this.

My thought, before all this happened when I was just theoretically thinking about this, was warfare changed over time. We started just hitting each other with clubs, then we went to set piece battles, and then we as Americans kind of pioneered guerrilla warfare shooting behind trees that the British thought was unsportsmanlike, and so on. In our lifetime, what I call military conflict 4.0, and I made this up before I ever heard people now talking about 5th generation warfare but that’s really what we’re talking about.

04:03 mins 4.0 was when we were fighting say IsIs, or the Taliban, or Al Qaeda. You knew maybe who the enemy was, by the Geneva convention they appeared like a standing army, they had uniforms, they had training, they used group tactics and things, but you weren’t 100% sure who the enemy was because you didn’t know who was funding them, who was sending them weapons, who was really doing the training. So, there was plausible deniability but what if you could take it the next step further.

What I called, and what some other people called warfare 5.0, what if you had a weapon that was so stealth that not only did you not know who the enemy was, you didn’t even know you were being attacked so it looked like nature? That’s really what we’re in.
What they’ve done, and this is again my thinking, know how this thing came about.

One of the things I learned, which was confirmed by a Taiwanese engineer on an airplane I was on one night. He said the reason they didn’t get hit badly with this virus is they figured out right away, not to listen to Chinese Communist Party propaganda news. They don’t listen to them. What they do is they have a whole department that screens their social media, andwhen they see something get censored, they start looking at it because that must be the truth. That’s something we should start appreciating here in America today.

I believed early in February this was a biologically manipulated bio weapon because the minute anybody popped up with data suggesting that they were censored. I think there’s a host of evidence that shows coronavirus is a naturally occurring, very benign virus that doesn’t even give most people the cold. At the most it gives you a common cold, it doesn’t kill you, doesn’t make you very sick, but what they’ve done is make it the transmission device.

Think about years ago when we first came into the nuclear age. We couldn’t easily distribute nuclear weapons, we had to drop them onto Japanese cities of Hiroshima and Nagasaki. We had to take them in a plane but now we have the guidance missile technology. We had a lot of bio weapons over the years. The one I was very worried about was smallpox.

Most of these bioweapons were either hard to distribute or there was treatment for them and the problem here is distribution. Remember the anthrax thing? It came out in envelopes, went to congress, it’s hard to distribute anthrax. It might be deadly to some people but it’s hard to distribute.
So, let’s make a missile, and that missile is coronavirus, which is a huge, highly transmissible, very small particle virus. It can’t be masked away no matter what the propaganda is.

You can’t hide from it behind a plastic little screen that costs businesses too much money. It’s just incredibly transmissible and it’s very benign. Now, add to that basically the warhead, and the warhead is a little protein they tacked on that attaches to your Ace2 pathway. Humans have these Ace2 pathways, somewhat genetically determined. When you put on this hook or spike protein, it gets into these Ace2 pathways, which now is in your heart, in your lungs, in your testicle, in your brain. It can kill you

I believe what happened here is it was let out purposely but I can’t prove that. It was either accidentally released or it was let out purposely but whatever happened, when it first came out, like many viruses, I believe it was worse, the first generation was more deadly. It did kill a lot of people in Wuhan, it did kill people in Lombardy. I know there’s a problem when doctors are dying, and doctors and nurses in Lombardy were dying. If we can’t save ourselves, we’re in trouble.

It first came out in Lombardy, went to New York that was probably first generation virus, and it did kill a bunch of people initially. Like most viruses, almost all viruses I know of, as they pass through the human host they get weaker. This is just adaptive advantage. If you’re the Napoleon of viruses and you want to take over the world, you don’t kill every host or you’re not going to spread, so what you do is you become less deadly, more transmissible. That’s what this has done over time. That’s my belief about the big picture here, but as soon as this thing came out it became easy to piggyback onto things.

If this was a planned release then we’re talking about planned warfare. If it was an accidental release then we’re talking about warfare that was piggybacked onto this accidental release because what they’ve done is they used it to create fear and fear is an incredible psychological manipulator of populations.

They’ve taken down our economy, they’re taking down our generation of children with these stupid masks, they’re damaging us in all sorts of ways. It’s a psyopat this point. We were shut down, we were sitting at home, and our response is to study. I found out we had treatment for viruses going back into the late 1970s. I graduated medical school in 1980, my son graduated just recently, and he’s a general surgeon. I asked him if he ever heard in his entire medical education, all the fellowship, all stuff you’re doing, have you ever heard we could treat viruses with these antimicrobial agents? No, he never heard it. I called my friend in Florida, 40-year internal medicine professor, a real medicine doctor. I asked him the same question and he never heard that. So, this is the biggest lie.

They lied to us for 40 years about this treatment. So, here’s the big picture. If you bring out a virus like this, we’re talking about vaccines and things, why do we have vaccines? We have vaccines because we didn’t have treatment for smallpox and it was a very deadly disease that made sense to have a vaccine. We didn’t have treatment for polio initially so it made sense to have a vaccine, but this. Even without doing anything, this disease has a 99.991% chance of survival than last viral season I’ll call it a viral season because it really isn’t just a flu season anymore. In the last winter season including New York and elsewhere that was the overall survival in the world, as opposed to a standard viral flu season it’s 99.992%.

#1 it’s not that all deadly
#2 we actually have a treatment for this that works extremely well.
In spite of all the propaganda and attempts to falsify medical literature, which they got caught at, and attempts to dismiss anything they don’t agree with. Why would they hide treatment? I came up with two reasons:
1] Your $69 billion vaccine industry goes to zero if you have an effective treatment for all these viral airborne diseases. So mumps, measles blah blah blah.
AN: You’re talking about things like chloroquine and hydroxychloroquine and ivermectin.
DR: These are called lysosomotropic agents, and one of my friends called me he’s an anesthesiologist trained in India. He was so excited when we first heard about it before Trump said anything. I first thought they said they didn’t want to go along with this because orange man bad, they just didn’t want anything that Trump said but we actually knew about it beforehand and it’s much bigger than anything to do with Trump. So he called and said “I think I know how these things work” because he got out his old textbook of infectious disease and biochemistry basically from India and he figured it out. I said if that’s the way it works we should be able to find other medications. Then I found the term lysosomatropic agents and I started looking for these and it turns out there are a number of them.
They don’t want you to know because the $69 billion vaccine industry goes to zero. Even more than that if we are at bio warfare right now, as a part of this multi-dimensional warfare, if you have a treatment in your back pocket they cannot terrorize you with viruses.That’s important because the way they’ve made this experimental treatment, it’s not a vaccine but whatever this thing is, this RNA thing, it doesn’t prevent transmission by their own admission. Even if it did, it is created to act on the warhead part of this deal, the spike protein. So, next year these guys, and these bio weapons, which is one of the other things I learned sadly, is there are these bio weaponeers all over the country. We literally have funded them
14:00 mins We funded a PLA [People’s Liberation Army, CCP] virologist to come and work in our army bio weapons lab, which is the height of insanity or treason.
Under Clinton’s administration it was completely illegal to have non-aligned foreign students, so if you were from Iran or some place that was not our ally you couldn’t even work in a biology lab with lesser pathogens. Suddenly, we’ve gone from that stance to under the Obama administration actually funding PLA Chinese Communist virologists to work in our bio weapons lab.
We have more bio weaponeers than I anticipated. I knew the soviets had them but I didn’t realize how many were in the world. They can now create another little thing to go on this coronavirus. They’ve got missile technology to put whatever they want on there, and every year you’d have to have a different vaccine. So even if you believe this type of vaccine will work, which I don’t, even if you believe that, it’s not a permanent solution. Viruses are all around us, they’re part of nature, we lived with them for millennia, we’ll live them for them hopefully if we survive all this for another few millennia but now we need a solution that doesn’t involve a vaccine of any kind.
We have those solutions, we have treatment and we have prevention, and each of us can improve our immune system.
22:42 mins I will make this military point. This is a perfect binary weapon. There’s no way I know exactly what that m-RNA is programmed to, neither do most doctors. The doctors can’t get at that data, except the guys at the very top of this project they know. They say it’s to the spike protein but how do we prove it? We don’t know.
So, if I were China, and I wanted to take down our military that’s easy, we’ve seen it happen. I make it to a something, something l could hook onto this coronavirus, like the spike protein or another protein. I just make an m-RNA to that, I know it doesn’t exist in nature so nobody’s gonna die from a vaccine, and then two years later I release whatever it is I made, the counterpart, and it causes this immune enhancement death. It’s a delayed death that’s what binary poisons are. I give you part one and then I can walk away, and then you accidentally get in contact with part two and you die and you can’t trace it. That’s not a hypothetical threat.
AN: There was a leak, of members of the Communist Chinese Party out of Shanghai and there were hundreds of them working in Pfizer, and AstraZeneca and GlaxoSmithKline, the companies making these vaccines, which is absolutely terrifying.
DR: But, we’re going to trust them, they’re acting in our best interest.
AN: Where do we go from here D. Merritt? What are your concerns about what’s on the horizon? I’ve talked to doctors who’ve said maybe we’re coming up to a covid 2021, some variation a coronavirus mutation.
DR: Don’t’ even worry about that. They’re saying it’s more transmissible, which is like saying I was going 95 on the freeway but now I’m going to go 97. This is so transmissible.Making it a little bit worse is not going to be the problem. Lethality is what you worry about and we’re not talking about that. They could come out with something else but again, if you come out with something that’s based on these airborne viruses like corona we pretty much have a treatment, which is the hydroxychloroquine or ivermectin.What we need to do is take back our world from the virology bad boys by having a supply of ivermectin and hydroxychloroquine available. Two hydroxychloroquine plants burned down and they say oh no they weren’t hydroxychloroquine plants. They made the precursors to hydroxychloroquine, so you’re being lied to at every turn.
We need to stand up now. Governor Ricketts in Nebraska is one of five governors who’s not restricted hydroxychloroquine in any way. Everybody needs to ring their governor to stop signing this stuff brought to us by medical universities that are all being paid by Fauci and the NIH. Let’s give your people the ability to defend themselves.
There are five or six things in my office: NAC, vitamin C, vitamin D, zinc, selenium and quercetin. If you do that you can improve your immune response and your own ability to fight this off and not get terribly sick.
It’s possible they are going to come around with more dangerous things in the future and then we need more than that, so that’s why we have to get the truth out, people have to spread the news that we have treatment and patients are getting it.
27:03 mins I would just make this point to doctors.
I get it if you’re in training and you can’t speak out, you’re stuck, I don’t fault you. I do fault everybody above that taking money from Fauci, the people who are taking money from the NIH, who are willing to take that money and push remdesivir and kill people, not because they’re necessarily killing them with remdesivir butthey’re killing them by omitting treatment early on as outpatient that works, and the doctors below those who are out of training, they have to make a moral decision here because we should be prophylaxing people in nursing homes. We could be saving lives for five dollars a week, we could be saving a lot of these old people but they don’t want to. They’re considered kind of not contributory to society that’s where the Nazis went with this.
People considered not worthy of living, we have to get over that because the doctors who are making the choice to be quiet because they got a mortgage, they got two kids and they don’t want to lose their university salary. It’s time to rethink your position. I think everybody in the medical community, we need to man up and be honest here.
The information’s out there, don’t tell me there’s no evidence. They’re lying to you about the evidence. If you really make any effort on the internet you can find the evidence and if not you can go to American’s front line doctorshttp://aflds.com or you can go to the Association of American Physicians and Surgeonshttp://aapsonline.org and many other organizations speaking up now. There’s The Barrington Declarationhttp://gbdeclaration.organdhttps://www.sott.nethas good articles.
If you want to get out of the pandemic right now it’s easy, turn off your tv, take off your mask, reopen your business, and live your life. Hug your relatives go see your old relatives, have neighborhood parties because let me tell you, we cannot live in a basement .
Even if you think masks work don’t do this to your children. How many decades are going to do this? Live every winter, every year in a mask from now on? NO, not doing that.

___
http://stateoftion.co/?p=50392
 
Mimi ukweli nime enjoy kujadiliana na wewe katika mambo ambayo hatubaliani labda na hii mimi kwangu ni positive tu hasa mkabishana bila watu kuvunjiana heshima. Maana hatuwezi kukubaliana kila kitu ila in constructive way. Natamani baada ya matokea chanya katika chanjo nitakutafuta tena ku prove my point, huwezi juwa unaweza kukubaliana na mimi kwa kiasi fulani.
Can you make any sense out of this Heijah?Isikilize hii video,it is so informative.
 

Update:​

Seniors DYING LIKE FLIES After COVID-19 Vaccines​

Posted on January 30, 2021by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

CNA (Certified Nursing Assistant) James speaks out​

Our Greater Destiny
I posted the following in appreciation for all health care providers starting to speak out, and because what we focus on expands so the truth can set us free. Doreen
By Brian Shilhavey
James reports that in 2020 very few residents in the nursing home where he works got sick with COVID, and none of them died during the entire year of 2020.
However, shortly after administering the Pfizer experimental mRNA injections, 14 died within two weeks, and he reports that many others are near death.
The video is long (47 minutes), and it is clear that James is suffering from emotional stress, and he admits that he has nothing to gain from going public, and that he will probably lose his job for doing so.
But he makes it very clear that these were patients he knew and cared for (he is also a “lay pastor”), and that after being injected with the mRNA shot, residents who used to walk on their own can no longer walk. Residents who used to carry on an intelligent conversation with him could no longer talk.
And now they are dying. “They’re dropping like flies.”
His superiors are explaining the deaths as being caused by a COVID19 “super-spreader.”
However, the residents who refused to take the injections, are not sick, according to James.
James makes it very clear that as a Christian, he cannot live with his conscience anymore, and that he can no longer remain silent.

The link leads to many stories of post treatment deaths​

CNA Nursing Home Whistleblower: Seniors Are DYING LIKE FLIES After COVID Injections! SPEAK OUT!!!

Nature’s natural built in immune response​

Corona vaccine injuries | Our Greater Destiny

The irony​

Most people will believe media, government, health care providers, lawyers, and others who are aware of a depopulation agenda, before listening to people who love and care about them, and their fellow man, and without doing any deep research to know the truth. Please share. Thank you.
Without Prejudice and Without Recourse
Doreen A Agostino
http://freetobewealthy.net
Via ethernet to safeguard life
___
Seniors DYING LIKE FLIES After COVID Injections | Our Greater Destiny
 
Can you make any sense out of this Heijah?Isikilize hii video,it is so informative.
Nimesikia sana kuhusu hii issue kwa muda mrefu sasa mimi sio wa kusema ni uongo au ukweli, haya mambo yanataka ushahidi wa data. Tuseme kwamba ni kweli basi wangeweza kuiweka katika chanjo ambazo tayari watu wanachomwa hasa watoto ili kuhakikisha wanapata wanachotaka lakini pia chanjo hizi mbili ndio new tech lakini ziko zinatoka China, Russia na India zao ni tofauti.

Mimi siwezi na wala sina uwezo wa kusema haya ni kweli au uongo maana pia wako watu wanakataa kabisa kama kuna corona wanasema fake na wanatoa hoja tu na wako wanaamini ndio hali halisi tumegawanjika.

Kama ni kweli yanini kuwachoma wazee wa miaka 80 huko kama priority wakati tunajuwa hawana uwezo wa kuzaa wangesema hii chanjo ya vijana tu wengi tumeshazaa mpaka tunafanya mipango ya uzazi.
 
Nimesikia sana kuhusu hii issue kwa muda mrefu sasa mimi sio wa kusema ni uongo au ukweli, haya mambo yanataka ushahidi wa data. Tuseme kwamba ni kweli basi wangeweza kuiweka katika chanjo ambazo tayari watu wanachomwa hasa watoto ili kuhakikisha wanapata wanachotaka lakini pia chanjo hizi mbili ndio new tech lakini ziko zinatoka China, Russia na India zao ni tofauti. Mimi siwezi na wala sina uwezo wa kusema haya ni kweli au uongo maana pia wako watu wanakataa kabisa kama kuna corona wanasema fake na wanatoa hoja tu na wako wanaamini ndio hali halisi tumegawanjika. Kama ni kweli yanini kuwachoma wazee wa miaka 80 huko kama priority wakati tunajuwa hawana uwezo wa kuzaa wangesema hii chanjo ya vijana tu wengi tumeshazaa mpaka tunafanya mipango ya uzazi.
Heijah inaelekea you are trying to bury your head in the sand while the storm is coming.Please don't leave in denial,take steps to protect yourself and loved ones,the storm is coming and too strong. Face the reality brother.
 
Updates:COVID-19 vaccine is a depopulation tool,especially for Africans,say no to it,because it is coming.Infact it will be more deadly than the European version.
 

Updates:​

BOMBSHELL COURT RULING: Bill Gates, George Soros and Rockefeller family ‘created’ coronavirus pandemic​

Posted on February 3, 2021by State of the Nation
FacebookTwitterPinterestRedditEmail

Share

Peruvian court rules that Bill Gates, George Soros and Rockefeller family “created” coronavirus pandemic

Editorial-Use-Bill-Gates-Engineering-Conference-1024x577.jpg

by: Ethan Huff
(Natural News) Three of the evilest entities on the planet were charged in a Peruvian court the other day of conspiring to create the Wuhan coronavirus (COVID-19) for world domination.
Bill Gates, George Soros, and several members of the Rockefeller family were deemed responsible for the advent and spread of the Chinese virus, which has killed tens of thousands of small businesses and forever changed the world for the worst.
The Chicha and Pisco Criminal Appeals Chamber decided that the ever-dreaded Chinese germs were the product of “criminal elite around the world” – mostly multi-billionaires with global depopulation on their minds.
These defendants had tried to appeal, but Judges Tito Gallego, Luis Legia, and Tony Changarei issued a delay, justifying it due to the “unpredictable” nature of the “pandemic.”
It was only predictable for ordinary people, however, as the alleged creators of the Wuhan coronavirus (COVID-19) “who have been involved in it and continue to manage it with particular secrecy in their environment” are entirely unaffected.
In fact, Bill Gates has never once been seen wearing a face mask, nor is he willing to take the vaccines he is now pushing everyone else to get for their “safety” and “protection” against the WuFlu.
“No world government, individuals or legal entities, nor the defense of the accused can claim that this pandemic has the quality of ‘foresight,’ except for the creators of the new world order, such as Bill Gates, Soros, Rockefeller, etc.,” the magistrates wrote in their resolution, which was posted to the LP Law portal.

Time to prosecute Bill Gates, George Soros and the Rockefellers​

One does not have to read much between the lines to see that these Peruvian judges get it. The plandemic is nothing more than a scam that was hatched by the worst kinds of criminals this world has ever seen; those with lots of money and a penchant for genocide.
Beyond a shadow of a doubt, Gates et al. funded and created the Wuhan coronavirus (COVID-19) for nefarious purposes – or as the court put it, the Chinese virus was “created by a criminal elite that rules the world.”
The document specifically names billionaire financier and globalist agitator George Soros, Microsoft co-founder Bill Gates, and the entire Rockefeller family as criminals who are guilty of “managing” and “continuing to direct” the virus straight into the “new world order.”
If only our own criminal justice system would take the same approach, then perhaps we could finally put an end to all the lockdowns, mask-wearing and superstitious paranoia that has brainwashed millions of our own people. Even better, we could finally try Gates et al. for their many crimes against humanity and punish them accordingly.
Meanwhile, in lieu of justice, Gates is already planning for the next plandemic, warning those who actually listen to what he has to say that this is war.
“We can’t afford to be caught flat-footed again,” the whiny geek is quoted as saying. “To prevent the hardship of this last year from happening again, pandemic preparedness must be taken as seriously as we take the threat of war.”
The problem for Gates, of course, is that he is the enemy in that war, and someone we should all band together to see dealt with under the law for our collective benefit.
Whether right, left, or somewhere in between, all Americans have a stake in seeing Gates and his co-conspirators locked up forever, at the very least. Humanity does not stand a chance if they are allowed to continue roaming free to commit even more atrocities.
If this story piqued your interest, you will find more like it at Pandemic.news.
Sources for this article include:
NaturalNews.com
___
 
Back
Top Bottom