Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Sawa,ila inashangaza sana mkuu kuona mswahili mwenzetu akitetea majitu ambayo nia yao ni kututoa kwenye uso wa dunia!Haingii akilini kabisa.How do you treat such a person?
bonafsi naona wan madudu yao mengi tu mabaya.
ila haitufanyi waafrika kuwa weupe. sisi wenyewe tuna madudu yetu yakutisha.

and if wangeamua kutufuta ... wana 100000 ways za kufanya.
madawa asilimia kubwa kwao
technology almostnzote.. kwao
mafunzo ya kijeshi, elimu tulicopy kutoka kwao.
vifaa tiab vya mahospitali kwao..

wakiamua kutufuta kwa kutumia kimoja wapo wangeweza miaka mingi tu.

tupunguze conspiracy theories maana hazitusaiidii. kama tunataka kuwaweza hawa mabwa. africa tujitegemee kwa kila kitu. other wise tutakuwa tunapiga kelele zisizo na faida
 
Sisi hutuna conspiracy theories,tunafunua uovu wao,wao ndio wanao conspire against us.Ku-conspire ni kufanya kitu unlawful and evil against another person,sasa sisi tumefanya mambo gani evil against them?Amkeni msiwekewe maneno mdomoni.
 
halaf nikikwambia hapa ulete concrete evidence ya mashtaka yako ? utakuwa nayo?

let put this straight.. wabongo tumejaliwa perepeche nyingi sana lakin action 0.
hawa watu wataendelea kutuchukulia powa as long tunaendelea kuwategemea kwa hivyo vitu tulivyovitaja hapa juu.
oh tunafunua maovu yao? what about maovu yetu? au waafrika sisi kwa sisi hatuna maovu?

shida ya waafrika ni mona tu.. tamaa. yes tamaa
ndio maana tumefika hapa. asilimiakubwa ya viongoz wetu tunao wapata ndio wanatuvuruga

halaf tukiaribikiwa kidole tuna mnyooshea mzungu. lazima tujifunze kukubali madudu yetu na kuyafanyia kazi.

siku tutakapoacha kumtegemea mtu mweupe kwa kila kitu. ndio siku tutajikomboa.
lakin kama sisi wenyewe hatutaki kufanya jitihada za kufikia hapo walipo.. tunalalamika tu.

nakwambia mtalalamika mpaka Yesu arudi. hakuna progress itatokea.
 
Unataka evidence?Associations of doctors all over the world and independent doctors all over the world testifies to this.Wewe ni nani hata upinge,tena mpuuzi tu ambae hata biology haikupanda O-level! Usituletee ujuaji wa kijinga hapa.Tafuta taarifa mwenyewe, sina muda mchafu wa kufanya kazi hiyo.

Wewe ni mpotoshaji, kuadi na collaborator wa NWO.
 
Wote mnaoandika hapa mna chanjo mbalimbali...mnakwepa kipi!!! Mbona mna alama mabegani za chanjo?
Hii ni comment ya kipuuzi sana.So kwa kuwa watu wamechanjwa all of a sudden imefanya chanjo kuwa nzuri.Wake up,ulichoandika ni hewa!
 
Let me get this straight about COVID-19 vaccines:

1.Big Pharma are rushing the vaccines to market.

2.The FDA and other approval organizations are rushing approval.

3.These vaccines have not been fully tested.

4.Even when fully tested,vaccines in the past have proved to be very dangerous.

5.These are vaccines for a virus that has not even been isolated yet.

6.These vaccines will rewrite your DNA.

7.These vaccines will also affect the DNA of your children, grandchildren, great grandchildren, forever.

8.Politicians are considering mandating these vaccines.

May be somehow people believe taking any of the COVID-19 vaccines is something good,not at all.It is extremely dangerous.Please think twice before accepting any of the COVID-19 vaccines.

Follow the following link to see the reaction a vaccine test volunteer victim has received after getting the shot.

I also advice you strongly to read the following message from Robert F.Kennedy Jnr.before considering taking the COVID-19 shot.

The Covid-19 vaccine must be avoided at any cost!

Message from Robert F. Kennedy, Jr.

"To all my patients:

I would like to draw your attention urgently to important issues related to the next Covid-19 vaccination. For the first time in the history of vaccination, the so-called last generation mRNA vaccines are intervening directly in the genetic material of the patient and thereby altering the 'individuals' genetic material, which represents genetic manipulation, something that was already forbidden and until recently considered criminal. This intervention can be compared to the situation in genetically manipulated organisms or foods, which is also highly controversial. Even if the media and politicians currently trivialize the problem and even stupidly call for a new type of vaccine to return to normality, this vaccination is problematic in terms of health, morality and ethics, and also in terms of genetic damage,and unlike damage caused by previous vaccines, this will be irreversible and irreparable.

Dear patients, after receiving the mRNA vaccine shot, you will no longer be able to treat the vaccine symptoms in any way. You will have to live with the consequences, because it can no longer be cured simply by removing toxins from the human body, as is the case with a person with a genetic defect like Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic cardiac arrest, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc.,because the genetic defect is forever!

This means clearly: if a vaccination symptom develops after an mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because the damage caused by the vaccination will be genetically irreversible. In my opinion, these new vaccines represents a crime against humanity. As Dr. Wolfgang Wodarg, an experienced doctor has said,"In fact, this so called 'promising vaccine' for the vast majority of people should be FORBIDDEN, because it is genetic manipulation! "

The vaccine, developed and endorsed by Anthony Fauci and funded by Bill Gates, uses experimental mRNA technology. Three of the 15 human guinea pigs (20%) used in testing the vaccine experienced a "serious adverse effects".

Note: messenger RNA or mRNA is the Ribonucleic Acid that transfers the genetic code of the DNA of the cell nucleus to a ribosome in the cytoplasm, that is, the one that determines the order in which the amino acids of a protein bind and act as a mold or pattern for the synthesis of that protein.

Everybody please watch and share quickly! This will probably be taken down soon!...

Also follow this link where a test guinea pig dies and women spontaneously become infertile and abort babies.

Please also follow the following link to see how the C-19 will change even our genome!

Elimu na taarifa kubwa sana hii, hongera sana mtoa mada
 
Pythagoras do you really believe in what you have written?Hivi kweli niamini kwamba huijui agenda ya vaccines.Hivi kweli niamini kwamba hujui watoto wachanga wanavyofia matumboni mwa mama zao hata kabla ya kuzaliwa na hata baada ya kuzaliwa?Hivi niamini kwamba hujui akina mama wanavyoteseka na mauvimbe matumboni na cancers mbali mbali?Hivi kweli huoni watoto wetu walivyoharibika na wasivyo eleweka kabisa?Je, umeshajiuliza kwa nini?Kama hujawahi kujiuliza wewe ni zuzu,nyamaza usi-mislead wenzio.Pythagoras,it seems you are a loon,retard or you have a vested interest in vaccines,sisi wengine hatuna,kwa hiyo tutapiga vita vaccines kwa nguvu zetu zote, kwa kuwa ni hatari na hazifai kabisa kwa maisha na matumizi kwa wanadamu, hasa hii inayokuja ambayo ni mRNA vaccine.Ni ajabu kwamba unafumba macho hata huoni athari ambazo zineshawekwa wazi.

Nirudie wewe ni zuzu,loon,retard au una vested interest in vaccines.

Finally nikuambie wazi, mimi sichanji watoto wangu na wako vizuri kweli kweli.Wa kwanza amemaliza MSc.Degree na wadogo zake wana either also MSc degrees or BScs, na wa mwisho yuko Form VI na hawajawahi kupata any problem. Mine is a good example of the uselessness of vaccines!Mtu anayetaka kujifunza,kama kweli yuko serious aje kwangu.Vaccines ni utapeli wa Wazungu,they have never helped anybody,they cannot help anybody,and they will never help anybody.They are a gene altering stealth deadly weapon for control and genocide.
Uko vizuri mzee
 
Israeli study finds Pfizer vaccine 85% effective after first shot .....
 
Sisi Ni CCM, tunasema hivi, tuna Vita ya kiroho na ya uchomi, mabeberu wanatamani utajiri wetu. Wanataka tufe wooooooote warithi nchi
Bubuji,angalia wanavyolifanya anga letu,halafu eti watu wanawachekea Wazungu na kujipendekeza pendekeza kwao,inauma frankly.Ona watu wanavyokufa sasa kwa magonjwa ya kupumua,halafu wanatudanya eti ni ugonjwa wa Corona.Hivi tutabaki kuwa wajinga kiasi hicho mpaka lini?
Sisi Ni CCM, tunasema hivi, tuna Vita ya kiroho na ya uchomi, mabeberu wanatamani utajiri wetu. Wanataka tufe wooooooote warithi nchi
Bubuji inaudhi kuona mtu anampenda Mzungu.Uovu wanaotufanyia unatisha.Ona👇jinsi wanavyolichafua anga letu,halafu wanasingizia eti magonjwa ya njia ya mfumo wa hewa,yanaletwa na C-19!Si kweli this👇is the cause.

Unataka evidence?Associations of doctors all over the world and independent doctors all over the world testifies to this.Wewe ni nani hata upinge,tena mpuuzi tu ambae hata biology haikupanda O-level! Usituletee ujuaji wa kijinga hapa.Tafuta taarifa mwenyewe, sina muda mchafu wa kufanya kazi hiyo.Wewe ni mpotoshaji,kuadi na collaborator wa NWO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wtf man? realy? mpaka umepanick . sikutarajia kama una weak mind and so emotional kiasi hiki.

slow down bro sio ugomvi huu, maana povu ulilotoa si la nchi hii.
associatian of doctors, which association? maana kuna associations kibao za madkari hapa duniani.

but then again where is the evidence? any papers , links, scientific research publications, disclosed docs around the world. gimme those not words.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wtf man? realy? mpaka umepanick . sikutarajia kama una weak mind and so emotional kiasi hiki.

slow down bro sio ugomvi huu, maana povu ulilotoa si la nchi hii.
associatian of doctors.. which association? maana kuna associations kibao za madkari hapa duniani.
but then again where is the evidence? any papers , links, scientific research publications, disclosed docs around the world. gimme those not words.
Mimi mtu anayetetea in anyway the activities of the NWO frankly ananichefua sana.

Majitu yanayo-commit genocide all over the world against humanity unayatetea! Kwa kweli unastahili povu, tena zaidi!
 
Chuki zako tupa kule. Dawa zote unazomeza na hospitali zote unazokwenda hakuna hata dawa moja imetengenezwa na mwafrika.
Pythagoras unashangaza sana.Kwa hiyo wamekuweka hapa kutudhalilisha kwamba sisi Waafrika hatuwezi wao wanaweza.Hivi wewe ni mmoja wao?Hueleweki ujue.Pythagoras hivi niamini kwamba wewe ni mbumbu kiasi kwamba hujui jinsi wajinga kama ninyi mlivyotumiwa kuharibu elimu yetu.

Hivi niamini kwamba hujui jinsi pia wajinga kama ninyi mlivyotumiwa kufuta historian yetu, ili tujione kwamba hatuwezi, hatufai na hivyo tujidharau, jambo ambalo unatumia nguvu zako zote kuli-promote.

Pythagoras but who are you exactly and what do these psychopaths pay you to rebel against your fellow Africans. No Pythagoras this is intolerable.
 
Pythagoras unashangaza sana.Kwa hiyo wamekuweka hapa kutudhalilisha kwamba sisi Waafrika hatuwezi wao wanaweza.Hivi wewe ni mmoja wao?Hueleweki ujue.Pythagoras hivi niamini kwamba wewe ni mbumbu kiasi kwamba hujui jinsi wajinga kama ninyi mlivyotumiwa kuharibu elimu yetu.Hivi niamini kwamba hujui jinsi pia wajinga kama ninyi mlivyotumiwa kufuta historian yetu,ili tujione kwamba hatuwezi,hatufai na hivyo tujidharau,jambo ambalo unatumia nguvu zako zote kuli-promote.Pythagoras but who are you exactly and what do these psychopaths pay you to rebel against your fellow Africans.No Pythagoras this is intolerable.
Kubali tu acha maneno mengi wewe hapo unaweza nini zaidi ya porojo tu.
 
Back
Top Bottom