Let me know primolute N side effect

Let me know primolute N side effect

Kikubwa kabisa na ambacho ni rahisi hata wewe mwenyewe kukishuhudia ni kwamba hizo dawa zinaweza kubadilisha ratiba ya siku zako za kuingia na kumaliza mzunguko wako wa hedhi.

Kama ulizoea kuingia after every 28 days basi usishangae ukaingia after 29 days na mwezi mwingine ukaingia hata baada ya siku 33, na kama unaingia kwa 5 days usishangae ukapiga siku 7 bado uko na pedi tu.

Zinasumbua sana hizo dawa.

Nina ushahidi wa kina kutoka kwa ubavu wangu flani wa kushoto.
sasa hiyo ndio kazi yake, kubadili mzunguko wa hedhi hasa kwa watu ambao mzunguko wao ulikuwa hauelewekieleweki, inaweza kusimamisha kabisa hedhi na kuruhusu homoni kukaa sawa ili baadaye mzunguko uanze upya kwa tarehe mpya
 
kweli eeh
asante mkuu
 
  • Trouble sleeping
  • Acneiform eruptions
  • Facial hair growth
  • Bulging of eyes
  • Migraine like headache
  • Dizziness and fainting
  • Weakness in arms, hands, legs or feet
  • Depressed mood
  • Allergic skin reaction
  • Irregular menstrual periods
  • Enlargement of breasts
  • Stomach discomfort and pain
  • Weight loss or weight gain
Ktk yote umeacha ovarian cysts
 
Back
Top Bottom