ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
sasa hiyo ndio kazi yake, kubadili mzunguko wa hedhi hasa kwa watu ambao mzunguko wao ulikuwa hauelewekieleweki, inaweza kusimamisha kabisa hedhi na kuruhusu homoni kukaa sawa ili baadaye mzunguko uanze upya kwa tarehe mpyaKikubwa kabisa na ambacho ni rahisi hata wewe mwenyewe kukishuhudia ni kwamba hizo dawa zinaweza kubadilisha ratiba ya siku zako za kuingia na kumaliza mzunguko wako wa hedhi.
Kama ulizoea kuingia after every 28 days basi usishangae ukaingia after 29 days na mwezi mwingine ukaingia hata baada ya siku 33, na kama unaingia kwa 5 days usishangae ukapiga siku 7 bado uko na pedi tu.
Zinasumbua sana hizo dawa.
Nina ushahidi wa kina kutoka kwa ubavu wangu flani wa kushoto.