Let me know primolute N side effect

Let me know primolute N side effect

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
Habari Wana JF,
Kama kuna yeyote anafahamu side effect za primolute N anijuze tafadhali....

Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: Lee
  • Trouble sleeping
  • Acneiform eruptions
  • Facial hair growth
  • Bulging of eyes
  • Migraine like headache
  • Dizziness and fainting
  • Weakness in arms, hands, legs or feet
  • Depressed mood
  • Allergic skin reaction
  • Irregular menstrual periods
  • Enlargement of breasts
  • Stomach discomfort and pain
  • Weight loss or weight gain
 
  • Trouble sleeping
  • Acneiform eruptions
  • Facial hair growth
  • Bulging of eyes
  • Migraine like headache
  • Dizziness and fainting
  • Weakness in arms, hands, legs or feet
  • Depressed mood
  • Allergic skin reaction
  • Irregular menstrual periods
  • Enlargement of breasts
  • Stomach discomfort and pain
  • Weight loss or weight gain
lugha mkuu[emoji22] [emoji22]
 
  • Kutopata usingizi vizuri
  • Kupata vichunusi
  • Kutoa ndevu
  • Macho kuonekana makubwa
  • Kuuwa sana na kichwa ...kipandauso
  • Kupata kizunguzungu au kuzimia
  • Miguu na mikono kuishiwa nguvu
  • Kupata Sonoma
  • Kupata mzio
  • Kupata hedhi isiyo na mpangilio
  • Matiti au maziwa kujaa au kuvimba
  • Maumivu ya tumbo
  • Uzito kuongezeka au kupungua
 
  • Kutopata usingizi vizuri
  • Kupata vichunusi
  • Kutoa ndevu
  • Macho kuonekana makubwa
  • Kuuwa sana na kichwa ...kipandauso
  • Kupata kizunguzungu au kuzimia
  • Miguu na mikono kuishiwa nguvu
  • Kupata Sonoma
  • Kupata mzio
  • Kupata hedhi isiyo na mpangilio
  • Matiti au maziwa kujaa au kuvimba
  • Maumivu ya tumbo
  • Uzito kuongezeka au kupungua
hizi ni side effect wakati natumia dozi ya primolute N au ni dalili za ugonjwa gani
 
hizi ni side effect wakati natumia dozi ya primolute N au ni dalili za ugonjwa gani
Refer mada yako ndugu.umeomba misaada na nimekujibu kwa mujibu wa swali lako ktk mada yako.

Na kumbuka side effects siyo lazima zimtokee mtumiaji wa hiyo dawa!

Dawa zote Dunia zina list ndefu ya side effects minor na major lakini sio lazima zimtokee mtumishi.

Kumtokea mtu kunatoka na baadhi ya sababu kwa mtumiaji mwenyewe kumbuka kiasili tumetofautiana mtu mmoja na mwingine.
 
nmekusoma mkuu ,ila hapo pa hedhi isiyo na mpangilio
ndo pananiogofya maana mimi narekebisha hedhi isiyo n mpangilio halafu unaniambia side effect hio hio
 
Zipo side effects zake japo utumiaji wa hii kitu unategemea sana kwanza na mwili wa huyo mtumiajii make miili inatofautiana na ikumbukwe ingredient ya tablet hii ambayo ina fanya kazi kama sex hormone (progesterone?) Yapo mazuri yake na mabaya yake ...mengi tramadol kaeleza
 
Asante mkuu na kweli kabisa namshukuru kwa kumsaidia mtoa mada.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ukianza kuangalia side effects za dawa hautatumia hata paracetamol maisha.

Angalia kusudio la matumizi ya dawa hiyo.
sawa mkuu....ila nmeuliza kwasababu niko natumia halafu kichwa kinauma ,na uchovu sana kama homa ndio maana nikauliza

asante
 
Habari Wana JF,
Kama kuna yeyote anafahamu side effect za primolute N anijuze tafadhali....

Asanteni
we tumia kwa amani kama umepewa na daktari, side effects zake nyingi huwa hazitokei kwa wengi na hata hivyo ni ndogo ndogo, labda ishu kubwa ambayo huwa inawaogofya watumiaji ni kuchelewa kupata mimba baada ya kusitisha dozi, japo ni nadra kutokea ila huwa ikitokea huwa inasumbua sana akili.
 
Kikubwa kabisa na ambacho ni rahisi hata wewe mwenyewe kukishuhudia ni kwamba hizo dawa zinaweza kubadilisha ratiba ya siku zako za kuingia na kumaliza mzunguko wako wa hedhi.

Kama ulizoea kuingia after every 28 days basi usishangae ukaingia after 29 days na mwezi mwingine ukaingia hata baada ya siku 33, na kama unaingia kwa 5 days usishangae ukapiga siku 7 bado uko na pedi tu.

Zinasumbua sana hizo dawa.

Nina ushahidi wa kina kutoka kwa ubavu wangu flani wa kushoto.
 
Nashukuru sasa hivi hazinisumbui kama mwanzo kwakweli
 
Kikubwa kabisa na ambacho ni rahisi hata wewe mwenyewe kukishuhudia ni kwamba hizo dawa zinaweza kubadilisha ratiba ya siku zako za kuingia na kumaliza mzunguko wako wa hedhi.

Kama ulizoea kuingia after every 28 days basi usishangae ukaingia after 29 days na mwezi mwingine ukaingia hata baada ya siku 33, na kama unaingia kwa 5 days usishangae ukapiga siku 7 bado uko na pedi tu.

Zinasumbua sana hizo dawa.

Nina ushahidi wa kina kutoka kwa ubavu wangu flani wa kushoto.
Mmh
niliwahi kuzitumiaga zamani ,zilirekebisha siku zangu ,baada ya kuwa naenda siku5 mzunguko 32
ikawa naenda siku3 mzunguko 28 na siumwi tumbo kabisa
 
Back
Top Bottom