Let say hii nyimbo ya Darasa/#Mziki, ingukua ni ya WCB/Diamond plus ths December

Let say hii nyimbo ya Darasa/#Mziki, ingukua ni ya WCB/Diamond plus ths December

Tatizo hajui kutumia fursa. Huu wimbo unaweza ukaenda hadi ukachuja na asiingize kitu cha maana. Kumbe kwa wanaojua muziki biashara, huu ndio ungekuwa muda muafaka wa kupiga hela.
Sawa kakusikia asije zeeka maskin bureee
 
Ni kweli kabisa hata Mimi namshangaa darasa anakomaa na show za geita,mara mtwara,Ifakara, iringa badala ya kutafuta shows za Kampala, Nairobi, kigari,Jo'burg na huko Europe
Mbona nyie mmeanza komaa na za ndani hahahaha kama hazilipi si mfocus huko nje.
 
...afanye remix na chibu....ya wimbo wa muziki ili chibu amsaidie kumtanganza beyond borders mf ug...kenya. And kiinternationally........maana diz song ins bamba sana mkuu.....approximately views utube watakuwa 5millions in 1 week......
Yaaa...inaweza ikalea mabadiliko makubwa, ila asubiri kwanza muda upitepite...kama April hivi.

Ona ZIGO remix ilivyogeuza mchezo...AY hakuwahi kupata view nyingi vile, sasa ina view 8m+ na hana/hakuwahi kupata hizo views kabla.
 
Real HipHop ndo tunataka kuiskia Yani underground,Sio haya mambo ya kuskia sikio moja inatokea skio la pili.
 
Nyinyi timu maharage wa mondi ndiyo mnaoona kuwa kila msanii anayekuja juu anabattle na mondi, kila mtu na wakati wake mazee, wapi davido, wapi P square. Kama naija mtu moto kwa sasa ni tecno so huwez sema mashabiki wake ni haters wa davido. Same here, achen watu wengine wapasue anga, msione kuwa adui zenu
umepata lunch?
maana sijakuelewa
 
Back
Top Bottom