Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

Tobaaaaaah wee Heaven Sent plz mom njoo ona hapa. Khaaaaah
 
Hakuna uchawi mchawi ni wewe ambaye ulishindwa ku manage hisia zako na kuhamisha concentration kwa huyo binti kuhusu hizo chungu maybe bint wa watu alikuwa anatumia kujifukiza manukato.
 
Hakuna uchawi mchawi ni wewe ambaye ulishindwa ku manage hisia zako na kuhamisha concentration kwa huyo binti kuhusu hizo chungu maybe bint wa watu alikuwa anatumia kujifukiza manukato.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hii comment inaendena na jina lako aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nimecheka sanaaaaaaaa kaka
 
Duuu,umaskini huu,huenda kalikosa mtu wa kumpeleka hata ufundi kakimbie shida ya kuingia huo umaid.Na huenda wazazi wake hawakujua kama wanampeleka mtoto nyumba ya wazinifu! Pole kwake maid,huenda ndo njia yake nae aliyopangiwa kuishi duniani.
 
Chief hakakua kabaya wala kazuri...yaani nilikua nakaona ona tu hata sikuwahi kukatilia consideration.
 
Mpaka narud home sikua mionzi kiasi hicho jombaa! Narudigi tu mara nyingi niko mionzi ila sikuwahi kuwazia ule upuuzi.
 
Aiseee! Mlitishanhuyo binti alikua ni kiboko!! Kujua afya zao ni muhimu hata kwa maslahi ya watoto anaowalea.
 
Hakuna uchawi mchawi ni wewe ambaye ulishindwa ku manage hisia zako na kuhamisha concentration kwa huyo binti kuhusu hizo chungu maybe bint wa watu alikuwa anatumia kujifukiza manukato.

Kwa sababu huo ni mtazamo wako siwezi kukubishia! Km na maneno aliyoyakiri kwa kinywa chake nayo ni uongo basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…