RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
- #121
kaka si wadada wa kazi pekee wanaoweza kukuroga yani kiufupi sisi wanaume ukishapata kazi na kubadili mfumo wa maisha yako kuna watu wanakuja kwenye maisha yaki hutarajii na mostly of tyme unajikuta unamuwaza kuhusu yeye mpka unajiuliza umepatwa na nni. Inafika hatuwa kanajileta unapiga then ndo unalowea alfu ukimlinganisha na uliye naye hawafanani
Kabisa ni shidaa! Wanaume tuna tabu sana yaani tumuombe sana Mungu.