RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
- #81
Mie simlipii mume wangu mgegedo ni wako analipa mgegedo mume wangu mie wala hanipi stress kwasababu anamipaka naongea tu hivyo ujue tu.
Hata kama ni malaya hawalali mahouse girl [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Sijawahi kumfumania au mdada aniambie wewe unaokota hadi vinuka mkojo.
Unajitaji maombi kwa hili.
Unalogwa hadi na mahouse girl wewe michepuko yako inaonekana inatisha .
Kwetu wote maji ya kunde wala carolite hatupaki kama wewe.
Siwezi kupigana na wewe ukikoment sijibu mie na majukumu ya familia yangu siwezi kukuadd na wewe kwenye shida zangu
Kumbe naongea mwanamke wa type yako?? Nilijua naongea na mtu wa maana kumbe mswahili mswahili km wewe? Nitolee stress za kusalitiwa na mmeo mpk unajua ni jinsi gani kakuchoka mpk anakudharau! Unaambiwa hili unajibu lile ilimradi unataka uonekane bingwa wa kujibu mi sibishanagi na wanawake wanaopewa stress na waume zao na kutaka kuja kuwapa stress wengine.