Leta experience yako na ushuhuda kuhusu baadhi ya wadada wa kazi (housegirls) na vitendo vya kishirikina

Na ke asipokuroga hujengi Milele sababu hutakaa utulie kila ukipata unaiona km maji ya mgando unaenda mbele!! lkn ukirogwa unatulia tuli!! ukirogwa tena unaanzisha familia nyingine!

Halafu Me hamjui tu kuna ke wengine ni kama anafungua mirija ya mafanikio km Hela, Safari tena za kimataifa, kupendwa na kujaliwa kazini, hata humu JF utapendwa yaani kifupi kimavi mavi kinakutoka kabisaa,

km wewe ni Mwandishi wa habari utaandika sana, km ni Mwana JF unakuwa Maarufu km Eclat, Mshana nk Nyie niliowataja msiwaache wake na waume zenu!!! Na huwezi jua mpaka uonje onje!!

Na km akipatikana mtoto hapa kwa uzinzi huu wa kuvizia mara nyingi kuliko zote ndo wana Run Dunia! chunguza!!!!!! Napoleon, Hitre, Idd amin...nk
 
Unaonyesha akili yako ilipoishia. Sisi wanaume hatutumii lugha mbovu kama hizi kujibu hoja. Au wewe ni yule kumbuka? Wewe sio mwanaume mwenzetu nafikiri.


Hata hivyo sijawahi pata Division 0, 4, wala 3, lakini hiyo hainifanyi nijivune naona ni ujinga mtupu. Mtaani wapo Division 0 lakini wana maisha mazuri na very smart upstairs kuliko hata PHD holders.



Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Alaf ilo jambo likifanywa oman au dubei tunaanza sema waarabu wana roho mbaya... Kumbe ni kila mtu na tabia yake
 
Hahahahaaaa.

Hiyo Kali sana baba kugongana na mwanae kwenye windo
 
Dish limeyumba? Lugha mbovu au Tusi liko wapi hapo?? wa Mkoa matatizo sana!! hamtuwezi!! Sikia dogo kimavi mavi siyo tusi ni Jinsi mtu alivo!! sasa km hutongozwi na ke hili linakuhusu hata ulie vepe!!

Km hujivunii Mafanikio ya division 1 eti ni ujinga basi ulifanya ujinga!! hukushinda kihalali!! ok!! u said ''wewe siyo mwanaume!! je siyo tusi hilo?? linganisha na kimavi mavi!! theories zina sema ukipungukiwa nguvu za kiume akili ina hama!!!

Padoogo tu! nakupa dogo kwa kuwa Nina Mashaka na ufaulu wako what's PHD en' it do stand for what!!... in comparison with Phd!!!

Maprofessors km Maji marefu! Proffessor J,nk ni wasomi pia! wapo wengi tu Mtaani kwenu huko, ndo wasomi unaojua, Phd Holders kabisa wee ni moto ule !! labda pia huijui!!! kamwe nakuhakikishia hakai Wilayani kwenu hapo!!

achilia mbali Mtaani kwenu!! sababu najua kuwa najua Maana halisi ya Phd holders!! ... hata hivo division 1 mpo fake wengi tu mtaani!! zinachongwa zile! siku hizi!

Tena huko mbele wanapokwenda further studies wanashangaza Umma kwa umaamuma, wengi wanarudishwaga Makwao! sometimes wanapewa paper ileile si unajuaga zile Pre test km haitoshi unapigwa tena post test unazijua hizo??

mpaka leo ndiyo mtindo ni huo huo!! usijidanganye kwenda kifua mbele weee wanapimwa ati!!! victims ndo hao ukiwa pamoja na wewe na PHD yako hiyo kweli mko wengi huko kwenu na mtakuwa wengi sana!! lkn siyo waleee tunao wajua poleee!

Bila house girl kukuweka sawa!!! dish litayumba tuu!! au nao hawakupendi ??? Daaa!! kwa kuwa na wao huchagua bro! usiwaone vile ukawachukulia poa!! Nabii Ibrahim na ujanja wake woote alikolea pale!! sema tu hupendeki!! tukusaidie!
 
Hahahhaha wewe uliona wapi bakheresa anaenda kwa maganga ili apate utajir

Wanaoroga nia ambao hawana mvutoo
 
Najisumbua bure wewe ni punguani na bwabwa.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
watani nyie 😀😀
 
Najisumbua bure wewe ni punguani na bwabwa.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Yes Nimejua!! kwa nini hata H/girls hawakutaki!!! Unaonekana tu!!! sasa hivi??? km huunijui una Lugha km hii! kwa vipi unae lala na kuamka nae? Duuu!! pole sana huu mzigo ni mzigo mkubwa kwa wadada!!!

Spritually umejiroga zaidi, hata huyo unae mpumulia atakukimbia, hakika yangu amini nakwambia!! Maneno uumba!! usifungiwe kaa ivoivo!
 
Sasa hata kasichana ka kazi tu!! hakakutaki wala Mpango na wewe wa kuku baka, haupo!! hujastuka tu!! so sad!! kifupi huna huna mvuto kwa ke Mkuu!! kaoge katikati ziwani!!!
 
Sasa hata kasichana ka kazi tu!! hakakutaki wala Mpango na wewe wa kuku baka, haupo!! hujastuka tu!! so sad!! kifupi huna huna mvuto kwa ke Mkuu!! kaoge katikati ziwani!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jamaa unatumia nguvu sana kuonyesha umahili wako

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We jamaa unatumia nguvu sana kuonyesha umahili wako

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Kma Msaada wa kuponya nafsi yako nakupa!! ... tena bure uupokee tu! eti Unaona ni ''natumia nguvu'' tena kama haitoshi ukaongezea neno 'sana'' zaidi eti ukazidisha na neno ''umahaili wangu''
Daaa! na hapo hujawahi niona popote!! wala kunisikia!!

Je cku ukiniona Kitaa !!! ukaambiwa ''Tata Nyarusare Nyamtibhita huyooooo!! ..... si utazimia Mkuu??........ au naongea na Mtoto mdogo?
 
Unatumia nguvu kubwa kuonyesha umahili kwenye mambo ya kipuuzi.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
kaka si wadada wa kazi pekee wanaoweza kukuroga yani kiufupi sisi wanaume ukishapata kazi na kubadili mfumo wa maisha yako kuna watu wanakuja kwenye maisha yaki hutarajii na mostly of tyme unajikuta unamuwaza kuhusu yeye mpka unajiuliza umepatwa na nni. Inafika hatuwa kanajileta unapiga then ndo unalowea alfu ukimlinganisha na uliye naye hawafanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…