Leta methali, akikosekana wa kukujibu wewe ndiye mshindi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Lugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia.

Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua wengine wakijibu nao watoe zao, hapa kuna watu watajifunza na kuanza kuzitumia wasizojua.

La kuvunda .....

Nipeni jibu kisha mlete zenu
 
Halina ubani ni jibu, methali yangu sasa inasema, Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi nipeni jibu apo
 
Back
Top Bottom