Halina ubani ni jibu, methali yangu sasa inasema, Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi nipeni jibu apoLugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia.
Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua wengine wakijibu nao watoe zao, hapa kuna watu watajifunza na kuanza kuzitumia wasizojua.
La kuvunda .....
Nipeni jibu kisha mlete zenu
Hiyo siyo methali bali ni kitendawili.Halina ubani ni jibu, methali yangu sasa inasema, Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi nipeni jibu apo
Unaninyaka πππ ni kama mstari wa dizasta"Hata Nyeke Anajua,,Hii Chata.........???