Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaahaaaaa kuna wanaume wanatamani kuposwa na waisrael!israel hata wakitengeneza koleo. Utasikia koleo la waisrael ni nomaa.
hahaha
Kenya wanaitumia pia.Ukienda wikipedia user wa hizo silaha Tanzania haimo, record haioneshi kama ziliuzwa Tanzania, ila Rwanda imo na nchi zingine.... Rwanda nimejitajia tu haina uhusiano wowote ule.
Kenya wanaitumia pia.
mkuu wale wababe kwenye msafara wa mkuu huwa hawana. maana kuna ile mijamaa mirefu huwa imeshika mitutu njenje huwa naona kama iko dizaini hiyo.Ukienda wikipedia user wa hizo silaha Tanzania haimo, record haioneshi kama ziliuzwa Tanzania, ila Rwanda imo na nchi zingine.... Rwanda nimejitajia tu haina uhusiano wowote ule.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]israel hata wakitengeneza koleo. Utasikia koleo la waisrael ni nomaa.
hahaha
True, ila Tanzania haipo,
Ulitaka wamlinde na kombeo au Rungu na mikuki.mkuu wale wababe kwenye msafara wa mkuu huwa hawana. maana kuna ile mijamaa mirefu huwa imeshika mitutu njenje huwa naona kama iko dizaini hiyo.
Poa Mkuu, kuogelea kwemaKuna Mchafuko wa Bahari baadae mkuu.
wako vizuri, sema zile mashine nilikuwa nauliza kama ndio hizo za kiiizrael maana kama zinafanana.Ulitaka wamlinde na kombeo au Rungu na mikuki.
mkuu lkn hiyo si bidhaa tu kama simu au laptop ya apple. tukihitaji inaingia muda wowote nchini (kama haipo lakini).
Sawa Mkuu tuache hilo maana lipo juu ya uwezo wetu ila nachojua Kikosi cha ulinzi wa rais hutumia nyenzo za kisasa kwa ajili ya utendaji kazi uliotukuka.wako vizuri, sema zile mashine nilikuwa nauliza kama ndio hizo za kiiizrael maana kama zinafanana.
mkuu mimi sina shida hata alindwe na B52 ninachohitaji amani hata tusipoendelea flesh tu.
kweli mkuu alindwe tu. akiwa salama na sisi hoehae tunakuwa na konfidensi ya kutembea barabarani kutafuta ngawila.Sawa Mkuu tuache hilo maana lipo juu ya uwezo wetu ila nachojua Kikosi cha ulinzi wa rais hutumia nyenzo za kisasa kwa ajili ya utendaji kazi uliotukuka.
kweli mkuu alindwe tu. akiwa salama na sisi hoehae tunakuwa na konfidensi ya kutembea barabarani kutafuta ngawila.