Lete fyokofyoko ukutane na Tavor ya Kiisrael

Rais wa wanyonge na "chaguo la mungu" analindwa hivi. Sijui Mohamed Abdullahi wa Somalia au Bashar al-Assad wa Syria ulinzi wao upoje?
 
Nilishangaa sana kuziona siku anazindua stendi ya msamvu hapa morogoro nilikaa mita nne hivi toka aliposimama askari jeshi, silaha zipo kama plastiki dizaini fulani amazing, nimeziona jana tena CDF amefikia hoteli fulani hivi kule mikumi hatari sana.
 
Rais wa wanyonge na "chaguo la mungu" analindwa hivi. Sijui Mohamed Abdullahi wa Somalia au Bashar al-Assad wa Syria ulinzi wao upoje?
Mwz ilikuwa kituko msafara kabla haujafika helicopters mbili zilikuwa zireck eneo la tukio. Na ulipofika ulisindikizwa na helicopters hizo na kuendelea kuranda juu ya makutano hayo .
Huku upande wa ziwani ikiwa imewekwa chini ya ulinzi wa wana maji (marine boats 6).

Kubwa zaidi kila aliyeingia Mwz south alisachiwa kwa mtambo .
Nikajiuliza hofu na wasiwasi wa nini ?! Kwa kiongozi wa watu tena anayekubalika!! .

Kubwa najuwa gharama za ulinzi wa mkuu lazima ziwe zaidi ya maradufu.
Sijui sababu zake ni nini ?! .
 
View attachment 857872
TAVOR YA ISRAEL -inayomlinda mkuu wa nchi
images

View attachment 857907
kwa pozi ili wadunguaji wakiamua kufanya yao fasta tu huku iyo mijamaa imesimama na tavor zao
 
Mwz ilikuwa kituko msafara kabla haujafika helicopters mbili zilikuwa zireck eneo la tukio. Na ulipofika ulisindikizwa na helicopters hizo na kuendelea kuranda juu ya makutano hayo .
Huku upande wa ziwani ikiwa imewekwa chini ya ulinzi wa wana maji (marine boats 6).

Kubwa zaidi kila aliyeingia Mwz south alisachiwa kwa mtambo .
Nikajiuliza hofu na wasiwasi wa nini ?! Kwa kiongozi wa watu tena anayekubalika!! .

Kubwa najuwa gharama za ulinzi wa mkuu lazima ziwe zaidi ya maradufu.
Sijui sababu zake ni nini ?! .
Huwezi kukubalika na watu wote halafu suala la ulinzi liko kikatiba acha alindwe tu
 
Ni haki yake kikatiba kama Raisi Wa Nchi kulindwa, kama wengine hawakutaka its there choice , ila naamini ile ishu ya makirikia tu ilikua inamuweka katika wakati mgumu sana kiulinzi kwani tunajua hizi taasisi Kubwa za kibiashara zikishindwaga mezani huwa zinajaribu any means take a vivid example to what happens to the previous zambia presdaa , alifanya kama anayofanya rais wetu na hawakumkawiza ni jukumu letu kumwombea raisi magufuli kwani amethubutu kuwagomea hao ma capitalist katika ishu nyeti kabisa kama madini then ni kama amejitoa muhanga vile, viva tanzania , viva JPM wewe ni kiongozi wa kweli na mwansiasa nguli hasaa basi tupeleke nchi ya kanaani ndugu zako Mungu atakulipia.
 
Rais wa wanyonge na "chaguo la mungu" analindwa hivi. Sijui Mohamed Abdullahi wa Somalia au Bashar al-Assad wa Syria ulinzi wao upoje?
Umeambiwa wa Syria au Somaria sio maraisi wa wanyonge? Wanyonge ni shahania tu
 
Mwz ilikuwa kituko msafara kabla haujafika helicopters mbili zilikuwa zireck eneo la tukio. Na ulipofika ulisindikizwa na helicopters hizo na kuendelea kuranda juu ya makutano hayo .
Huku upande wa ziwani ikiwa imewekwa chini ya ulinzi wa wana maji (marine boats 6).

Kubwa zaidi kila aliyeingia Mwz south alisachiwa kwa mtambo .
Nikajiuliza hofu na wasiwasi wa nini ?! Kwa kiongozi wa watu tena anayekubalika!! .

Kubwa najuwa gharama za ulinzi wa mkuu lazima ziwe zaidi ya maradufu.
Sijui sababu zake ni nini ?! .
Mambo ya ulinzi yaache yana taratibu zake.. Hayo mambo ni maji marefu mkuu yaache tu Kama yalivyo
 
Back
Top Bottom