Lete fyokofyoko ukutane na Tavor ya Kiisrael

Lete fyokofyoko ukutane na Tavor ya Kiisrael

Ak47 ya rusia..... Ama SMG 1956 ya mchina zitabaki kua bora hakuna zaid ya hzo........sema silaha hizi za kisasa Ni modern ya hzo........[emoji110][emoji110][emoji110][emoji110]wanapunguza uzito ...wanaweka usawa wa mtutu iskose malengo na pia mapambano ya ana kwa ana zaid ya hapo...it nothing...........riffles za vita zitabak .....Ak47&&&M4...
[emoji185][emoji185][emoji185][emoji40][emoji56][emoji102]
 
Ni haki yake kikatiba kama Raisi Wa Nchi kulindwa, kama wengine hawakutaka its there choice , ila naamini ile ishu ya makirikia tu ilikua inamuweka katika wakati mgumu sana kiulinzi kwani tunajua hizi taasisi Kubwa za kibiashara zikishindwaga mezani huwa zinajaribu any means take a vivid example to what happens to the previous zambia presdaa , alifanya kama anayofanya rais wetu na hawakumkawiza ni jukumu letu kumwombea raisi magufuli kwani amethubutu kuwagomea hao ma capitalist katika ishu nyeti kabisa kama madini then ni kama amejitoa muhanga vile, viva tanzania , viva JPM wewe ni kiongozi wa kweli na mwansiasa nguli hasaa basi tupeleke nchi ya kanaani ndugu zako Mungu atakulipia.
Amegomea ma capitalist wakati juzi tu hapa amelalamika kuhusu gesi huko Kusini, mabilioni yetu ya makinikia hatujalipwa Na bado amekusanya mabilioni ya hela kwenda kununua ndege kwa hao hao ma capitalist. Embu tumia akili yako kufikiri na sio makalio kabla ya kuanza kusifu na kuabudu
 
Ukienda wikipedia user wa hizo silaha Tanzania haimo, record haioneshi kama ziliuzwa Tanzania, ila Rwanda imo na nchi zingine.... Rwanda nimejitajia tu haina uhusiano wowote ule.
....mkuu mbona inasemekana kuwa hao jamaa wanaozishikilia hapo ni wanyarwanda??
 
True, ila Tanzania haipo,
283wog7yznf81.jpg
 
Kwa hiyo hao ni wanyarwanda?
Zipo bongo
Za kwetu zine granade luncher
 
nenden mkasome israel mtaziona live hukohuko
IMG-20221204-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom