Lete fyokofyoko ukutane na Tavor ya Kiisrael

Sniper itapendeza.😉

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukienda wikipedia user wa hizo silaha Tanzania haimo, record haioneshi kama ziliuzwa Tanzania, ila Rwanda imo na nchi zingine.... Rwanda nimejitajia tu haina uhusiano wowote ule.
Kenya wanaitumia pia.
 
Ukienda wikipedia user wa hizo silaha Tanzania haimo, record haioneshi kama ziliuzwa Tanzania, ila Rwanda imo na nchi zingine.... Rwanda nimejitajia tu haina uhusiano wowote ule.
mkuu wale wababe kwenye msafara wa mkuu huwa hawana. maana kuna ile mijamaa mirefu huwa imeshika mitutu njenje huwa naona kama iko dizaini hiyo.
 
wako vizuri, sema zile mashine nilikuwa nauliza kama ndio hizo za kiiizrael maana kama zinafanana.
mkuu mimi sina shida hata alindwe na B52 ninachohitaji amani hata tusipoendelea flesh tu.
Sawa Mkuu tuache hilo maana lipo juu ya uwezo wetu ila nachojua Kikosi cha ulinzi wa rais hutumia nyenzo za kisasa kwa ajili ya utendaji kazi uliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…