Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

Viongozi walikuja Tanzania ni Wengi Sana hasa kutoka Uturuki, China, Vietnam, Malawi, Africa kusini, Uganda, Kenya, Burundi, Congo, Commoro, Madagascar n.k pia alifanikiwa kufungua ubalozi nchini Israel, Madini ameyasimamia vilivyo Sasa Burembo mpiga madili anasema et KABUD aliharibu mahusiano!!!
 
Mama anatakiwa ajue kuwa amezungukwa na wahuni wengi a kina ulimbo na genge Lao,kazi Yao ni kumhadaa na kumsifia kinafiki ili awape nafasi ya kupiga wao na mifumo Yao.watamdanganya kuwa Jpm alikuwa hafai ili wamteke kifikra aone yeye ni bora kuliko Jpm .Lengo Lao ni ovu ajue amebeba dhamana ya watu zaidi ya mil 60.Nacho imo mikononi mwake asiyumbishwe.Wanajifanya eti nchi ni Yao kwa kuwa Ccm ni yao.Hawana haya.Nonsense.
 
Jamaa hilo linataka kuzeeka vibaya.
 
Wajinga hao eti kisa rais alikuwa hasafiri nje ya tz ndo ikaonekana kuwa kavunja uhusiano na mataifa ya nje shenzxy kabisa
 
Bulembo Bulembo bulembooo kakamatwa. Kumbe kibaaaaka.

Tuwe makini Na njaaa zetu zinatushusha heshima jamani.
 
Na watuambie ni lini ubalozi wa TZ na Israel umeanza?
 
Yaaani hewa jamaa wajinga sana viongozi walikuwa wanakuja hapa kila siku Bulembo anatuletea ujinga lakini pia tatizo shule kichani hamna kitu!
 
Ooooh Kuku walichomwa Moto mpakani

That’s nonsense.

Watanzania wangapi wamefungwa mipakani?
Mali zao, kutaifishwa au kuharibiwa kwa mazuio ya kihuni upande wa Pili wa nchi jirani?

Jamani tuwe serious Na tunaojitambua tuache ushabiki wa kinazi usiokuwa faida kwa wananchi wetu.
 
Muhuni no 1 anajulikana kupitia kwa komredi H. Polepole Na si nwengine ni Nepe Nuye.
Sukuma GANG poleni sana, mnapuyanga mno kulinda legacy, mimi nawaelewa sana.
Hivi mnasahau mlivyokua mnawatukana MABEBERU..
Utawala wa HAYAWANI si ndio tuliona wasaidizi wa Magufuli wanapigwa MARUFUKU kwenda USA ,
kwa kuua raia na kuwatupa baada ya kuwateka na kikosi cha SHUJAA cha watu wasiojulikana. Kudhurumu haki za watu kuishi . Walisema USA .
 
Watakwambia alichoma vifaranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…