Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi walikuja Tanzania ni Wengi Sana hasa kutoka Uturuki, China, Vietnam, Malawi, Africa kusini, Uganda, Kenya, Burundi, Congo, Commoro, Madagascar n.k pia alifanikiwa kufungua ubalozi nchini Israel, Madini ameyasimamia vilivyo Sasa Burembo mpiga madili anasema et KABUD aliharibu mahusiano!!!Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo watakaotupa ukweli wa mahusiano aliyoyavunja Mwenda zake JPM . Vingenevyo tuache uongo chuki na fitina zisizojenga taifa letu.
1. Mtupe majina ya nchi Na jumuia za Kimataifa tulixovunja mahusiano ktk awamu ya JPM Na mwaka tuliouvunja uhusiano huo.
2. Mtwambie ni marejesho gani yanayofanyika sasa ya mahusiano ambayo awali aliyavunja Magufuli?
3. Mtwambie MIKOPO iliyokopwa kipindi cha JPM ilikopwa kutoka taasisi Na jumuia zipi za kimataifa ambazo kwa sasa mnakopa yeye alishindwa?
4. Ziara zilizofanywa Na viongozi wa mataifa mbali mbali kutoka nje ya nchi kuja tanzania walikuwa wakija Na kusaini mikataba Na JPM haikuwa sehemu ya mahusiano ambayo sasa kitakwimu hayapo?
5. Ni nchi ngapi zilifunga balozi zake hapa nchini kutokana na kuvunjika kwa mahusiano Kati yetu Na wao kipindi cha JPM?
6. Tanzania ilifunga balozi ngapi nje ya nchi Baada ya JPM kuingia madarakani Na baada ya kuondoka kwake sasa zimefunguliwa?
Vinginevyo kaeni kimya mwacheni mama Samia atimize wajibu wake kwani ndiye rais wetu Na Mwenye dhamana kwa sasa Na ni wajibu wake kuleta maendeleo ya taifa hili.
Uongo ni dhambi Na kumsingizia Marehemu uongo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.
Mama anatakiwa ajue kuwa amezungukwa na wahuni wengi a kina ulimbo na genge Lao,kazi Yao ni kumhadaa na kumsifia kinafiki ili awape nafasi ya kupiga wao na mifumo Yao.watamdanganya kuwa Jpm alikuwa hafai ili wamteke kifikra aone yeye ni bora kuliko Jpm .Lengo Lao ni ovu ajue amebeba dhamana ya watu zaidi ya mil 60.Nacho imo mikononi mwake asiyumbishwe.Wanajifanya eti nchi ni Yao kwa kuwa Ccm ni yao.Hawana haya.Nonsense.Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo watakaotupa ukweli wa mahusiano aliyoyavunja Mwenda zake JPM . Vingenevyo tuache uongo chuki na fitina zisizojenga taifa letu.
1. Mtupe majina ya nchi Na jumuia za Kimataifa tulixovunja mahusiano ktk awamu ya JPM Na mwaka tuliouvunja uhusiano huo.
2. Mtwambie ni marejesho gani yanayofanyika sasa ya mahusiano ambayo awali aliyavunja Magufuli?
3. Mtwambie MIKOPO iliyokopwa kipindi cha JPM ilikopwa kutoka taasisi Na jumuia zipi za kimataifa ambazo kwa sasa mnakopa yeye alishindwa?
4. Ziara zilizofanywa Na viongozi wa mataifa mbali mbali kutoka nje ya nchi kuja tanzania walikuwa wakija Na kusaini mikataba Na JPM haikuwa sehemu ya mahusiano ambayo sasa kitakwimu hayapo?
5. Ni nchi ngapi zilifunga balozi zake hapa nchini kutokana na kuvunjika kwa mahusiano Kati yetu Na wao kipindi cha JPM?
6. Tanzania ilifunga balozi ngapi nje ya nchi Baada ya JPM kuingia madarakani Na baada ya kuondoka kwake sasa zimefunguliwa?
Vinginevyo kaeni kimya mwacheni mama Samia atimize wajibu wake kwani ndiye rais wetu Na Mwenye dhamana kwa sasa Na ni wajibu wake kuleta maendeleo ya taifa hili.
Uongo ni dhambi Na kumsingizia Marehemu uongo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.
Jamaa hilo linataka kuzeeka vibaya.Viongozi walikuja Tanzania ni Wengi Sana hasa kutoka Uturuki, China, Vietnam, Malawi, Africa kusini, Uganda, Kenya, Burundi, Congo, Commoro, Madagascar n.k pia alifanikiwa kufungua ubalozi nchini Israel, Madini ameyasimamia vilivyo Sasa Burembo mpiga madili anasema et KABUD aliharibu mahusiano!!!
Bulembo lete dataWewe ni mmoja wa wahuni waliopo kwenye pango ambao akiwahitaji Mr. Slow anawapulizia Moshi mnatoka pangoni kumjibia mashambulizi
Hii kali inaakisi ukweli kwa kiwango cha juumahusiano mazuri ya kimataifa ni sawa na kuruhusu mkeo kushikwa makalio na jirani.
Na watuambie ni lini ubalozi wa TZ na Israel umeanza?Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo watakaotupa ukweli wa mahusiano aliyoyavunja Mwenda zake JPM . Vingenevyo tuache uongo chuki na fitina zisizojenga taifa letu.
1. Mtupe majina ya nchi Na jumuia za Kimataifa tulixovunja mahusiano ktk awamu ya JPM Na mwaka tuliouvunja uhusiano huo.
2. Mtwambie ni marejesho gani yanayofanyika sasa ya mahusiano ambayo awali aliyavunja Magufuli?
3. Mtwambie MIKOPO iliyokopwa kipindi cha JPM ilikopwa kutoka taasisi Na jumuia zipi za kimataifa ambazo kwa sasa mnakopa yeye alishindwa?
4. Ziara zilizofanywa Na viongozi wa mataifa mbali mbali kutoka nje ya nchi kuja tanzania walikuwa wakija Na kusaini mikataba Na JPM haikuwa sehemu ya mahusiano ambayo sasa kitakwimu hayapo?
5. Ni nchi ngapi zilifunga balozi zake hapa nchini kutokana na kuvunjika kwa mahusiano Kati yetu Na wao kipindi cha JPM?
6. Tanzania ilifunga balozi ngapi nje ya nchi Baada ya JPM kuingia madarakani Na baada ya kuondoka kwake sasa zimefunguliwa?
Vinginevyo kaeni kimya mwacheni mama Samia atimize wajibu wake kwani ndiye rais wetu Na Mwenye dhamana kwa sasa Na ni wajibu wake kuleta maendeleo ya taifa hili.
Uongo ni dhambi Na kumsingizia Marehemu uongo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.
Kwani BEBERU linamaanisha nini?Wakati ule walipewa jina baya la mabeberu na kilicho badilika ni kuitwa jina zuri
Yaaani hewa jamaa wajinga sana viongozi walikuwa wanakuja hapa kila siku Bulembo anatuletea ujinga lakini pia tatizo shule kichani hamna kitu!Viongozi walikuja Tanzania ni Wengi Sana hasa kutoka Uturuki, China, Vietnam, Malawi, Africa kusini, Uganda, Kenya, Burundi, Congo, Commoro, Madagascar n.k pia alifanikiwa kufungua ubalozi nchini Israel, Madini ameyasimamia vilivyo Sasa Burembo mpiga madili anasema et KABUD aliharibu mahusiano!!!
Sukuma GANG poleni sana, mnapuyanga mno kulinda legacy, mimi nawaelewa sana.Muhuni no 1 anajulikana kupitia kwa komredi H. Polepole Na si nwengine ni Nepe Nuye.
Watakwambia alichoma vifarangaEnyi walimwengu