PostGE2025 Leteni vitisho tena tutaheshimiana walahi bado siku 12

PostGE2025 Leteni vitisho tena tutaheshimiana walahi bado siku 12

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Basi kumbe mpuuzi kabla baba ake hawajamshuti alijua atakufa baba ake nani?
Ni kama Sheikh Sharif Majini aliyesema waandamanaji wadhibitiwe na internet izimwe akaishia yeye kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
 
Mtoa mada utakuwa umefiwa na either demu wako au basha wako kwa kula chuma cha kichwa siku ya maandano (RIP marehemu), maana sio kwa kupiga u-turn namna hiyo. Maana ulikuwa huishi kupiga watu mikwara humu kabla ya maandamano ya oct 289 ukijiona na wewe ni sehemu ya wauwaji. Mpo wengi tunawazoom mliokuwa mnawazarau GenZ ya bongo.
Anasema kafiwa na baba yake.
Nahisi uongo, huyu anaogopa kushitakiwa ICC kwa alivyo shiriki au kuchangia watu wauwe kikatili vile.
 
  • Kicheko
Reactions: naa
Back
Top Bottom