October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Ninyi mnajua kuwaua watoto wa watu halafu mnajisifu. Mliua ndugu zetu kama mbwa. Mlitisha sana, mkajiona hamfi, hamuguswi, na kwamba nyinyi ndiyo mna bunduki. Lakini mtajua tu.
Tukitoka mkatuue tena, sawa? Jiandaeni na hizo bunduki zenu. Mnajiona kama hamtakufa, sisi tu ndiyo tunakufa—sio habari zenu. Halafu mnakuja kutuambia ‘maridhiano’?
Mliua ndugu zetu tukubali. Je, tucheke? Mnataka tusaliti damu ya ndugu zetu? Kama kweli mnataka maridhiano, jiuzuluni kwanza, na mkabiliane na kesi za mauaji.