PostGE2025 Leteni vitisho tena tutaheshimiana walahi bado siku 12

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Basi kumbe mpuuzi kabla baba ake hawajamshuti alijua atakufa baba ake nani?
Ni kama Sheikh Sharif Majini aliyesema waandamanaji wadhibitiwe na internet izimwe akaishia yeye kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake.
 
Anasema kafiwa na baba yake.
Nahisi uongo, huyu anaogopa kushitakiwa ICC kwa alivyo shiriki au kuchangia watu wauwe kikatili vile.
 
Reactions: naa
Bado hatujaheshimiana mbona. Mpaka nao wapelekewe turubai wazike kipande cha nguo. Tutaenda nao hivihivi. Tunataka watumalize wao waishi milele
Ni mwendo wa kwenda nao kiulalo ulalo au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…