Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
- Thread starter
- #41
Haya sawa, mi sina la kusema hapo, matho tu! š¤£Tutapimaje kitu ambacho hakipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sawa, mi sina la kusema hapo, matho tu! š¤£Tutapimaje kitu ambacho hakipo...
Hatuchezi na media, hata hao media wenyewe wanaonyesha picha za watu kadha wa kadha wanavyojiachia bila wasi na hii ni kwa sababu sio kila mtu ana akili sawa ya kutii, kuna wanaokuwa na dharau /kutojali.
Lakini ujue idadi kubwa ya wananchi wa Kenya wanafuata maagizo yaliyotolewa na ministry of health. Na kwa taarifa yako, mikusanyiko yote ya watu imepigwa ban na rais Kenyatta, hata mazishini na harusini, ni watu kadhaa wanakubaliwa kwenda (close family members)
Kuna wengi wetu hatufuati, nikiwemo pia mara moja moja najikuta nikilegeza, hata barakoa naikumbuka tu pale ninapotoka maana ya kuogopa kukamatwa na mapolisi, ila yote cha msingi na muhimu ni kwamba sio sera za serikali, hatuna sera za rais eti yeye ndiye aseme corona imeisha kwa maombi kwa hivyo wote kama mifugo wasio na akili tumfuate kauli zake na kuacha kuchukua tahadhari.
Serikali iko pale pale imesimamia miongozo ya kisayansi maana hili ni tatizo la kisayansi na serikali yenyewe kama zilizvyo serikali zote duniani huwa zimebuniwa kisayansi, cheo cha urais kimebuniwa kwa miongozo ya kisayansi, waulize waliosomea "social science".
Mimi ni muumini wa Kikristo na namuamini Yesu, ila hiyo ni imani yangu binafis, haimuhusu hata mke wangu au mwanangu, sipaswi nilazimishe kwao, la sivyo haitakua tofauti na majihadi malshababi wanaokata watu vichwa kisa hawaabudu katika imani yao.
Lockdown ilianza tangu wimbi la kwanza, hufatilii news wewe, sisi ndio tunajua. Tena curfew kuwekwa usiku ni kwa sababu wakati huo ndio watu hujiachia sana bila kujali afya, kwenye mahoteli, bar, parties lazma watu watajiachia kiholela na ujue askari hawawezi kuchunga kila kona ya Kenya hadi manyumbani kwa watu. Lakini, mchana kila mmoja yuaenda kazini na hata wale wako mtaani lazma utakuwa mvaaji barakoa na kunawa mikono sababu ya sheria zilizowekwa kazini na pia kuogopa kudakwa na polisi na kutozwa fine kubwa. That's why!Sasa mkuu mnapoweka curfew inamaanisha mchana woooteee virusi vimelala ila usiku saa mbili vinaamka na kukumba watu. Hii mikusanyiko imepigwa ban juzi juzi tu hapa baada ya kuibuka kwa wimbi la tatu mngekaza tangu wimbi la kwanza mngekua mbali mno hasa ukizingatia mna chanjo
Lockdown ilianza tangu wimbi la kwanza, hufatilii news wewe, sisi ndio tunajua. Tena curfew kuwekwa usiku ni kwa sababu wakati huo ndio watu hujiachia sana bila kujali afya, kwenye mahoteli, bar, parties lazma watu watajiachia kiholela na ujue askari hawawezi kuchunga kila kona ya Kenya hadi manyumbani kwa watu. Lakini, mchana kila mmoja yuaenda kazini na hata wale wako mtaani lazma utakuwa mvaaji barakoa na kunawa mikono sababu ya sheria zilizowekwa kazini na pia kuogopa kudakwa na polisi na kutozwa fine kubwa. That's why!
āļø
Hakuna aliyesema virusi hulala mchana na kukurupuka usiku, hayo ni mawazo yako. Curfew haiwezi kuwekwa mchana, why? Watu wataendelea vipi na maisha yao ya kila siku, na uchumi wa nchi je, si utapungua watu wakifungiwa.Huku bongo hakuna aliyetulazimisha bali ndio uhalisia wetu. Mkuu ulivyokua unamuona Hayati maneno na vitendo vyake ni kopiraiti ya watanzania wengi japo watabisha. Ndo maana aliposema corona imeisha tukashangilia,tunapenda kuishi kwa matumaini kuliko uhalisia ambao hatuwezi kuukubali na kuukabili
Hii Miongozo ya kisayansi mnaipindisha hasa kwenye curfew virusi gani vinavyolala mchana na kukurupuka saa mbili usiku?
Miongozo ya kutandika watu viboko sio ya kisayansi
Hakuna aliyesema virusi hulala mchana na kukurupuka usiku, hayo ni mawazo yako. Curfew haiwezi kuwekwa mchana, why? Watu wataendelea vipi na maisha yao ya kila siku, na uchumi wa nchi je, si utapungua watu wakifungiwa.
Mambo ya askari kukuadhibu wakati umepatikana ukivunja sheria ni makosa lakini kama hutaki kuchapwa, tii sheria iliyowekwa, Simple.
Lockdown ilikuwepo, juzi tu ndio iliinuliwa kidogo watu watulie, curfew iko pale pale. Alafu ujue hata hao huko Ulaya kama France, Britain, Brazil na Hapa kwetu Afrika SA, waliweka Lockdown na curfew zao kali, na bado variant mpya zinajitokeza kila kukicha, na ukumbuke sisi huku ni developing nation, so ni mwendo wa kujaribu pahala tumefikia sasa hivi.Habari nafatilia kila kona.Lockdown ingekuwepo tangu wimbi ka kwanza isingetangazwa hii nyingine mkuu. Halafu lockdown zenu sio zile za ulaya.
Japo museveni alijaribu kuiga ila ikawa ngumu. Africa hatuiwezi lockdown.
Curfew yenyewe mnaishia kupigana na kuongeza vitendo vya rushwa tu.
lockdown is a restriction policy for people or community to stay where they are, usually due to specific risks to themselves or to others if they can move and interact freely.Kwani lockdown maana yake nini mkuu?
Hizo juhudi mngeelekeza kupambana na Kipindupindu
View attachment 1736384
Huku kwetu tumebaki wapenzi watazamaji tu japo majirani mnatucheka lakini kimoyo moyo mnatutamanialockdown is a restriction policy for people or community to stay where they are, usually due to specific risks to themselves or to others if they can move and interact freely.
curfew is a regulation requiring people to remain indoors between specified hours, typically at night.
Lockdown ilikuwepo, juzi tu ndio iliinuliwa kidogo watu watulie, curfew iko pale pale. Alafu ujue hata hao huko Ulaya kama France, Britain, Brazil na Hapa kwetu Afrika SA, waliweka Lockdown na curfew zao kali, na bado variant mpya zinajitokeza kila kukicha, na ukumbuke sisi huku ni developing nation, so ni mwendo wa kujaribu pahala tumefikia sasa hivi.
If this is the case.
Then kenya should put much efforts on cholera. It's shame to deal with something of less threat and leave alone the most devastating disease, cholera.
Cholera haina mkopo wa WHO na haiwatangazi ulimwenguni. Wakenya wanapenda kujulikana. Ni ile aina ya too much know
Lockdown imewekwa sehemu tano pekee, zenye wingi wa maambukizi;NAIROBI, KIAMBU, KAJIADO, MACHAKOS na NAKURU.Sasa mkuu hapo mlipo mna lockdown na curfew.
Umeshasema curfew haiwezi kuwekwa mchana kulinda uchumi ila bado unatetea lockdown hayo si ni maigizo mkuu. Mgechagua moja muende nayo mpaka pale mtakapoona mmeshenda vita
Huku kwetu tumebaki wapenzi watazamaji tu japo majirani mnatucheka lakini kimoyo moyo mnatutamania
Lockdown imewekwa sehemu tano pekee, zenye wingi wa maambukizi;NAIROBI, KIAMBU, KAJIADO, MACHAKOS na NAKURU.
Curfew iko Kenya nzima, tangu phase one ianze hadi waleo
š šš¤£Hapo ndipo panaponitatiza kwenye lockdown curfew ya nini?au kuna kitu sijaelewa.
But cholera kills Kenyans like no other diseases. For how long, are going to leave the situation like this???
Tena tofauti ya vifo ni kubwa sana, mashariki na magharibi.
Kenya bila kipindupindu inawezekana.
Hao hata hawajui wanasimamia wapi kama nchi, wanapopelekwa wanaenda kama ng'ombeIf this is the case.
Then kenya should put much efforts on cholera. It's shame to deal with something of less threat and leave alone the most devastating disease, cholera.
Hope wataibuka na mikakati mikubwa. Maana kenya ipo kwenye wakati mgumu,huku wasomali wanawasumbua,huku kipindupindu bado corona
Hili suala limegeuzwaje likawa ni majadiliano kuhusu Kenya? Researchers sio wakenya na COVID-19 ni janga la kimataifa. Nchini Kenya shirika la utafiti la KEMRI limekuwa makini sana na limekuwa likifatilia kirusi hicho na strain zote ambazo zimepatikana nchini Kenya. Upumbavu wa hali ya juu ni huu ujuha wa kujaribu kuilaumu nchi jirani kwa mapingufu yenu.