Lethal Covid strain

Lethal Covid strain

Corona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.
Hizo juhudi mngeelekeza kupambana na Kipindupindu
JamiiForums1245506249.jpg
 
Yaani unavyoongea mtu anaweza sema kenya mnafata sana masharti ya corona kumbe mnacheza tu na media mikusanyiko yenu barakoa chache no distancing.
Hatuchezi na media, hata hao media wenyewe wanaonyesha picha za watu kadha wa kadha wanavyojiachia bila wasi na hii ni kwa sababu sio kila mtu ana akili sawa ya kutii, kuna wanaokuwa na dharau /kutojali.
Lakini ujue idadi kubwa ya wananchi wa Kenya wanafuata maagizo yaliyotolewa na ministry of health. Na kwa taarifa yako, mikusanyiko yote ya watu imepigwa ban na rais Kenyatta, hata mazishini na harusini, ni watu kadhaa wanakubaliwa kwenda (close family members)
 
Sasa kwa ule mrundikano wa wiki lililopita kwenye Kumuaga Rais si hadi sasa hospitals zingekuwa overwhelmed?? But Nothing people are just okay with their life??
Mbona mnataka tuwakumbushe kutumia akili zenu?
Hatuhitaji kukumbushwa lolote lile. Sisi tunapigana na yetu huku, nyinyi chapeni kazi tu.
 
Wakenya ni majuha sana, no wonder mnaongozwa na Mvuta Bangi,
Mngeanza kufanyia kazi hygiene ili msife kwa kipindupindu. View attachment 1736372

Hivyo vifo vipo kwa mataifa mengi ila vinafahamika namna vinashambulia maana kwa mfano ngoma unaepuka tu kuwatafuna machangu bila kinga, ila hii ya corona ndio imeanza na haina namna ya kuiepuka zaidi ya kuchukua tahadhari zilizotajwa, kwenu huko mumejifanya majuha kisha mkaanza kulaumu Museveni na Kagame hawajaja kuomboleza na nyie kwenye misiba yenu.
 
Corona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.

Hawa tulijaribu kuwapa hii elimu wakagoma, na mpaka leo wameshupaza ila wanakua wa kwanza kulalamika kwanini dunia haiombolezi na wao.
 
Usichokijua bwana John ni kwamba Corona isipopigwa vita huwa inafanya mutations na kuzalisha kirusi hatari zaidi ambacho hakijali umri wa mtu,hali ya mwili wa mtu wala mikwara ya watu.Ni kinaua fast,effectively and efficiently!
Wanasahau UKIMWI hauna dawa wala chanjo, na wanasayansi wakubwa duniani wapo!
✌️
 
Ni kawaida kwa Virus yoyote kumutate,
Unaposema isipopigwa vita unamaanisha nini?
Wewe una knowledge yoyote ya science au utaandikaandika tu kama mwendawazimu
Unajua kusoma?Umesoma nilichoandika hapo?Wapi nimesema kuwa siyo kawaida kwa virus kufanya mutations?
 
Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.

Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.

Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.

Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Like Wakenya watano watatu Wana Covid..mbona hamuongelei hichi kitu
 
Hili suala limegeuzwaje likawa ni majadiliano kuhusu Kenya? Researchers sio wakenya na COVID-19 ni janga la kimataifa. Nchini Kenya shirika la utafiti la KEMRI limekuwa makini sana na limekuwa likifatilia kirusi hicho na strain zote ambazo zimepatikana nchini Kenya. Upumbavu wa hali ya juu ni huu ujuha wa kujaribu kuilaumu nchi jirani kwa mapingufu yenu.
 
Eti kemri [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eti kemri [emoji3][emoji3][emoji3]
COVID-19 Genome Sequencing Report ya kwanza kutoka kwa Kenya Medical Research Institute(KEMRI)-Centre for Virus Research(CVR) ilikuwa 'deposited' kwenye World Gene Bank mwezi Juni mwaka uliopita. Hiyo ni miezi kadhaa tu baada ya virusi hivyo kuanza kuonesha makali yake na KEMRI tayari walikuwa wamegundua strain 9 tofauti nchini Kenya. Sasa nyie hapo mnalialia kwanini, kama mnangoja hadi wengine wapate vitu kama hivyo kutoka kwa wasafiri wanaotoka Tz, wakati mnao 'wataalamu' wenu?
 
Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.

Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.

Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.

Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Mpambane na hali zenu,kwani kwenu covid iliisha tangu muanze kupima,lockdown etc
 
Hata Mimi Nina corona ila siwazi Maisha yanaendelea..corona haiui ndugu zangu sii hatari Kama inavyosemekana
True ?, ila unajua mutation na kubadilika ?, Ya China tuliishinda, ya Afrika Kusini ikaja na yake (mbaya kuliko ya China) zote hizo zikaondoka na wakuondoka tuliobaki tukawa tumetengeneza immunity yake....

Hii mpya kama ni kweli hatuelewi ubaya wake... Busara inasema tuendelee na uchunguzi na kupigana nayo kwa ushirikiano, Dunia ni moja na mchuma janga hula na wakwao (na hapa wakwao ni dunia nzima, (kirusi hakitambui mipaka)
 
Like Wakenya watano watatu Wana Covid..mbona hamuongelei hichi kitu

So point yako nini hapa, sisi tunasema na tunatangaza wazi hatujajichokea kama kwenu huko ambapo mpo mpo tu.
 
Back
Top Bottom