Corona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.