Lethal Covid strain

Sasa mkuu mnapoweka curfew inamaanisha mchana woooteee virusi vimelala ila usiku saa mbili vinaamka na kukumba watu. Hii mikusanyiko imepigwa ban juzi juzi tu hapa baada ya kuibuka kwa wimbi la tatu mngekaza tangu wimbi la kwanza mngekua mbali mno hasa ukizingatia mna chanjo
 
Huku bongo hakuna aliyetulazimisha bali ndio uhalisia wetu. Mkuu ulivyokua unamuona Hayati maneno na vitendo vyake ni kopiraiti ya watanzania wengi japo watabisha. Ndo maana aliposema corona imeisha tukashangilia,tunapenda kuishi kwa matumaini kuliko uhalisia ambao hatuwezi kuukubali na kuukabili

Hii Miongozo ya kisayansi mnaipindisha hasa kwenye curfew virusi gani vinavyolala mchana na kukurupuka saa mbili usiku?

Miongozo ya kutandika watu viboko sio ya kisayansi
 
Lockdown ilianza tangu wimbi la kwanza, hufatilii news wewe, sisi ndio tunajua. Tena curfew kuwekwa usiku ni kwa sababu wakati huo ndio watu hujiachia sana bila kujali afya, kwenye mahoteli, bar, parties lazma watu watajiachia kiholela na ujue askari hawawezi kuchunga kila kona ya Kenya hadi manyumbani kwa watu. Lakini, mchana kila mmoja yuaenda kazini na hata wale wako mtaani lazma utakuwa mvaaji barakoa na kunawa mikono sababu ya sheria zilizowekwa kazini na pia kuogopa kudakwa na polisi na kutozwa fine kubwa. That's why!
✌️
 
Habari nafatilia kila kona.Lockdown ingekuwepo tangu wimbi ka kwanza isingetangazwa hii nyingine mkuu. Halafu lockdown zenu sio zile za ulaya.

Japo museveni alijaribu kuiga ila ikawa ngumu. Africa hatuiwezi lockdown.

Curfew yenyewe mnaishia kupigana na kuongeza vitendo vya rushwa tu.
 
Hakuna aliyesema virusi hulala mchana na kukurupuka usiku, hayo ni mawazo yako. Curfew haiwezi kuwekwa mchana, why? Watu wataendelea vipi na maisha yao ya kila siku, na uchumi wa nchi je, si utapungua watu wakifungiwa.
Mambo ya askari kukuadhibu wakati umepatikana ukivunja sheria ni makosa lakini kama hutaki kuchapwa, tii sheria iliyowekwa, Simple.
 
Kwani lockdown maana yake nini mkuu?
 
Lockdown ilikuwepo, juzi tu ndio iliinuliwa kidogo watu watulie, curfew iko pale pale. Alafu ujue hata hao huko Ulaya kama France, Britain, Brazil na Hapa kwetu Afrika SA, waliweka Lockdown na curfew zao kali, na bado variant mpya zinajitokeza kila kukicha, na ukumbuke sisi huku ni developing nation, so ni mwendo wa kujaribu pahala tumefikia sasa hivi.
 
Kwani lockdown maana yake nini mkuu?
lockdown is a restriction policy for people or community to stay where they are, usually due to specific risks to themselves or to others if they can move and interact freely.


curfew is a regulation requiring people to remain indoors between specified hours, typically at night.
 
Sasa mkuu hapo mlipo mna lockdown na curfew.

Umeshasema curfew haiwezi kuwekwa mchana kulinda uchumi ila bado unatetea lockdown hayo si ni maigizo mkuu. Mgechagua moja muende nayo mpaka pale mtakapoona mmeshenda vita
Huku kwetu tumebaki wapenzi watazamaji tu japo majirani mnatucheka lakini kimoyo moyo mnatutamania
 
Cholera haina mkopo wa WHO na haiwatangazi ulimwenguni. Wakenya wanapenda kujulikana. Ni ile aina ya too much know
If this is the case.
Then kenya should put much efforts on cholera. It's shame to deal with something of less threat and leave alone the most devastating disease, cholera.
 
Cholera haina mkopo wa WHO na haiwatangazi ulimwenguni. Wakenya wanapenda kujulikana. Ni ile aina ya too much know

But cholera kills Kenyans like no other diseases. For how long, are they going to leave the situation like this???
Tena tofauti ya vifo ni kubwa sana, mashariki na magharibi.

Kenya bila kipindupindu inawezekana.
 
Lockdown imewekwa sehemu tano pekee, zenye wingi wa maambukizi;NAIROBI, KIAMBU, KAJIADO, MACHAKOS na NAKURU.
Curfew iko Kenya nzima, tangu phase one ianze hadi waleo
 
Hapo ndipo panaponitatiza kwenye lockdown curfew ya nini?au kuna kitu sijaelewa.
Lockdown imewekwa sehemu tano pekee, zenye wingi wa maambukizi;NAIROBI, KIAMBU, KAJIADO, MACHAKOS na NAKURU.
Curfew iko Kenya nzima, tangu phase one ianze hadi waleo
 
Hope wataibuka na mikakati mikubwa. Maana kenya ipo kwenye wakati mgumu,huku wasomali wanawasumbua,huku kipindupindu bado corona
But cholera kills Kenyans like no other diseases. For how long, are going to leave the situation like this???
Tena tofauti ya vifo ni kubwa sana, mashariki na magharibi.

Kenya bila kipindupindu inawezekana.
 
If this is the case.
Then kenya should put much efforts on cholera. It's shame to deal with something of less threat and leave alone the most devastating disease, cholera.
Hao hata hawajui wanasimamia wapi kama nchi, wanapopelekwa wanaenda kama ng'ombe
 
Hope wataibuka na mikakati mikubwa. Maana kenya ipo kwenye wakati mgumu,huku wasomali wanawasumbua,huku kipindupindu bado corona

Inasikitisha kuona kwamba Kenya wanatumia nguvu kuubwa kwa kitu chenye madhara kidoogo mno. Wakati cholera gives them a hard time ever.
But again, how a less complicated sporadic disease causes such huge life loss.
 

Hujaeleweka, nenda kajipange tena.

Halafu pia uje na jibu kati ya cholera na uviko-19 ipi inaua sana nchini Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…