Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Halafu mnaanza kuwasema Museveni na Kagame kwamba hawajaja kwa msiba wa kujitakia....
Ninavyowaitaga wakenya wanga na wachawi muwe mnanielewa. Kwa hiyo rais wetu alipenda na akachagua kufa?
CC: joto la jiwe
mkorinto
Geza Ulole
NDINDA
Mwanzi1
ichoboy01
mbingunikwetu
game over
kabombe
The best 007
sky soldier
Hehehe!! Umeita MATAGA kama wote, sidhani kama watakuja kukusaidia maana kwa sasa wote wameelekeza nguvu zao kutetea mamilioni ya dola zinazopatikana mumefukia manyumbani.
Kwa corona mnatakiwa mchukue tahadhari za kisayansi, mumeimbiwa kila siku mnajifanya makomando dhidi ya corona, eti hamtaki kuvaa barakoa, hamtaki kuskliza chochote mnakaidi. Hawa wanaovaa hizi barakoa kwenye haya mapicha usidhani ni wajinga....
Nimeona mnajisifu eti nyomi ilihudhuria mazishi bila barakoa.....
Hivi uchawi mtaacha lini? Sijawahi sikia mtu anatoa kauli za kujitakia kifo kwa mtu makini kama JPM.
Anyways, mnafahamika kwa uchawi eneo lote hili.
Mkuu,hebu ongeza ufikiri wako japo kidogo tu,utajuaje kua mtu ana corona au hana bila kupima?Sisi hatuna habari na barakoa wala social distancing kea miezi acha hizo wiki mbili!! Ingekuwa ni hivyo wote tungeshaugua !! Subiri basi hizo wiki mbili halafu uone kama watu watajazana mahospitalini kwa corona!
Kwa taarifa yako hakuna mtu wa kawaida unayamsema aliyeugua hiyo kitu. Halafu kwanini tuumize kichwa na kitu ambacho hata hao unawaita madaktari hawakijui? Wote wako wapiga ramli tu kama wewe. mnachojua ni kuvaa barakoa tu.Namuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.
Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.
Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.
Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Uchawi upi, mimi nazungumza mambo ya sayansi kama vile umuhimu wa barakoa ila wewe umekomalia vya uchawi.... masuala ya ushirikina mnaongoza ukanda huu.
JPM amesemwa na vyombo vyote vya habari dunia hii (kasoro vya Tz kwa uwoga) namna alivyokaidi tahahdhari zote za kisayansi na kusema corona imemamlizwa kwa maombi.
Halafu nimeshangaa sana hiyo nyomi iliyohudhuria msiba wake na kujisifia kutokuvaa barakoa walikufa watu 40, duh! Nyie bana yaani Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli
Sayansi inasema mtu akifa ushangilie. Nikiwaita wachawi, muwe mnaelewa.
Umeshafiwa ndugu yako au jamaa yako wa damu kwa Covid? Please jibu ndio au hapana.Acha utani mzee, watu wanakufa kweli na huu ugonjwa.
Sasa mtu akiwa na Corona lakini hafi inanisumbua na nini??[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,hebu ongeza ufikiri wako japo kidogo tu,utajuaje kua mtu ana corona au hana bila kupima?
Unajua kua mtu anaweza kua na Corona ila asionyeshe any symptoms?
Ugonjwa huthibitishwa kwa vipimo na sio kwa macho.