Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio ndio π na hadi dini nilibadilishaKwenye jumba lako unakaa na familia ya watu 6, kwani umeoa?
Hongera sana! Mkeo anafaidiNdio ndio π na hadi dini nilibadilisha
Santo sana πHongera sana! Mkeo anafaidi
Tunataka kusikia sautiUnakuta kitu anaweza andika sms lkn yeye anapiga
Hi nimegundua iko Kwa wengiii wanaume wanapendelea kupiga wakat Sisi tunapendelea kuchartTunataka kusikia sauti
Uduguu hivi unajua njomba nchumari blue tick bye bye π€£π€£π€£
Siwezi kufanya hivyoWewe siumenuna jamaniπ€
Kuchat mnaweza kutumia muda mwingi na mkawa mnarudia mada ile ile ila call ni chaap shida imeishaHi nimegundua iko Kwa wengiii wanaume wanapendelea kupiga wakat Sisi tunapendelea kuchart
ππππHi nimegundua iko Kwa wengiii wanaume wanapendelea kupiga wakat Sisi tunapendelea kuchart
Nimesevu kwenye pc hii πππ