Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Wajumbe igweee.....
Wale mnaosema sijui nahitaji mwanasaikolojia, hebu Njooni hapa muone Hawa mabaharia wanavyoteseka.
Wale mnaosema soon naoa, aisee kilicho bora kwasasa ni KUTAFUTA HELA.
Hawa ni wanaume wenzangu NAWAONEA SANAA HURUMA.
Ukute wengine nawajui sema ni ID tu ndio zimetufanya tusijuane.
Ila si niliwaambia WASIOE?
Ila HAWAKUSIKIA.
Hebu angalia Hawa wajumbe wanavyoteseka ......
Angalia wapitayo.
1. Scenario 01
Baharia hebu tafuta hela upate amani.
Achana na kutafuta amani kwa binadamu mwenzako.
2. Scenario 02
Ya nini kumlazimisha Simba kula majani? ACHANA NAE.
3. Scenario 03.
Braza business is the separate legal individual..!!!
Mapenzi na Profit WAPI na WAPI?
4. Scenario 04.
Mkulungwa your so young.
Hebu ishi DUNIA inakusubiri.
5. Scenario 05.
My friend we tafuta hela uone kama yatakutesa
6. Scenario 06.
Mahawara hawaachanagi hata.
Tena huwa hawatongozi.
Just one call UTAMU WANAPEWA bila ahizi.
Komaa na kutafuta pesa ndugu.
7. Scenario 07
Baharia yotee haya ya nini?
Just tumia hiyo akili yotee kutafutia pesa badala ya kumuwinda.
8. Scenario 08
The point is have money yaani more money.
You did it, Ndoa piga chini.
9. Scenario 09.
Dah tumepoteza baharia kisa ndoa..!!
10. Scenario 10
Hawa ndio mnao waoa..
MungU awe nanyi..
After all tuliagizwa "ZAENI MUONGEZEKE" na sio "ISHINI MTESEKE"
Achana nayo kama huielewi.
Kwanini unang'ang'ania kinachokuumiza.
Ndoa NGUMU
Ndoa NDOANO
""If you think money does not bring happiness, then go and ask HOMELESS and the JOBLESS""
#YNWA